Joto kampeni za uchaguzi Uganda lapanda, Museveni akacha mdahalo
Kampeni za uchaguzi nchini Uganda zimezidi kupamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa Januari 15...
Kampeni za uchaguzi nchini Uganda zimezidi kupamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa Januari 15...
🔴KUMEKUCHA: AMANI....DISEMBA 03, 2025
Hotuba ya Rais kwa Taifa kupitia Wazee wa Dar es Salaam. Je, imetoa mustakabali na mwelekeo wa nchi ?
Mamlaka ya Libya ilisema Jumanne kwamba itaongeza kasi ya kuwarejesha wahamiaji wa Kiafrika walio chini ya Jangwa la Sahara katika nchi zao, lakini ikasema wakimbizi wa Sudan watachukuliwa kama Walibya…
🔴#MAGAZETI: "WEWE NANI UTUPANGIE"..DISEMBA 03, 2025
Rais wa Russia, Vladimir Putin, ameishambulia vikali Ulaya katika matamshi yake ya jana Jumanne, akitangaza utayarifu wa nchi yake kupigana vita dhidi Ulaya, anayoituhumu kuwa inafanya jitihada za kuharibu makubaliano…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DESEMBA 03, 2025
Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, amesema Caracas haitainama mbele ya shinikizo la kijeshi na kisiasa kutoka Washington, akisisitiza taifa hilo linapinga aina yoyote ya amani ambayo ni sawa na "utumwa"…
Watu takribani 100,000 wamelazimika kuyakimbia makazi yao kaskazini mwa Msumbiji ndani ya wiki mbili pekee. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya Jumanne ya Shirika la Umoja wa Mataifa la…
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO limetoa mwongozo wake wa kwanza kuhusu matumizi ya kundi jipya la dawa za kupunguza uzito, hatua inayowakilisha mabadiliko makubwa katika sera…
Ujumbe wa upatanishi wa ngazi ya juu kutoka Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ulifanya mkutano Jumatatu na viongozi wa mpito wa Guinea-Bissau kujadili njia ya amani…
Jana Jumanne, jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wametupiana lawama za kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano.
Vyombo vya habari vimeripoti tukio la kuuwawa kwa mwandishi wa habari kulikotokana na shambulizi la Israel katika eneo la Ukanda wa Gaza,
Yemen imegundua utajiri mkubwa wa rasilimali za madini, ikiwa ni pamoja na akiba kubwa ya dhahabu, chuma, titani na madini ya viwandani. Rasilimali hizi zinaweza kufungua njia ya maendeleo ya…
Haiti iliyoathiriwa na magenge imepiga hatua kuelekea kufanya uchaguzi wake wa kwanza katika takriban muongo mmoja baada ya mamlaka kutangaza kwamba nchi hiyo ya Caribbean itafanya uchaguzi majira ya kiangazi…
Rais Emmanuel Macron anaelekea China kwa ziara ya siku tatu inayolenga biashara na mazungumzo ya kidiplomasia, huku rais wa Ufaransa akitaka kuishirikisha Beijing katika kushinikiza Urusi kusitisha mapigano na Ukraine.
Mjumbe Maalum Steve Witkoff anarejea Marekani kwa lengo la kumjulisha Rais Donald Trump kuhusu mazungumzo yake ya Jumanne na Rais wa Urusi Vladimir Putin mjini Moscow.
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limevilaumu vikosi vya RSF nchini Sudan vinavyopigana na jeshi la serikali+++Israeli imesema matokeo ya uchunguzi wa mabaki yaliyorudishwa huko kutoka…
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wametupiana lawama za kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano jana Jumanne, ikiwa ni siku mbili kabla…
Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki duniani, analenga kuanza ziara yake hiyo kwa kuitembelea kwanza nchi ya Algeria.
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 02 DESEMBA 2025
#HABARI: Rais wa Kenya, William Ruto, amesema hana mpango wa kufanyia Katiba marekebisho yatakayomruhusu kuendelea kuongoza taifa hilo zaidi ya vipindi viwili vya miaka mitano vilivyowekwa kikatiba. Ruto amesisitiza kuwa…
#HABARI: Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimekutana na zaidi ya walimu viongozi 400 kutoka mikoa sita ya Nyanda za Kusini na Mashariki, kujadili changamoto na masuala mbalimbali ya kiutumishi ambapo…
Katika taarifa yake kuhusu mapigano hayo, Jeshi la Ulinzi la nchini DRC (FARDC), limeituhumu Rwanda kwa kushirikiana na kikundi cha waasi wa M23 kwa kuratibu mfululizo wa mashambulizi katika maeneo…
Pantev alichukua mikoba ya kuwafundisha ‘Wekundu wa Msimbazi’ mwezi Oktoba 2025, akitokea Gaborone United ya Botswana.
Watu watatu akiwemo mwanamke mwenye umri wa miaka 65, wamekamatwa na askari wa maliasili kwa madai ya kukutwa wakilima ekari tisa za dawa za kulevya aina ya bangi katika Kijiji…
Katika kuleta mabadiliko ya kijamii na uchumi katika sekta ya elimu, Shule ya Rahma World iliyopo Dodoma, imeanzisha program maalum ijulikanayo kama ‘zaidi ya kijifunza’, ambapo wanafunzi wanatumia ujuzi wanaoupata…
Wakazi zaidi ya 3000 wa vijiji vya Nangumi na Likonde, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara vijijini wamedai upatikanaji wa maji safi na salama umekuwa kwa kiwango cha chini tangu kuanza…
#HAARI: Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Dalmia Mikaya, amepongezwa kwa hatua kubwa za kuboresha Mazingira ya Utendaji wa Baraza la Wazee la Ushauri la Wilaya ya Kigamboni, ikiwemo kuwapatia ofisi…
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 02, 2025 -RAIS SAMIA AELEZA KUHUSU MUSTAKABALI WA TAIFA
#HABARI: Wakulima wa zao la Korosho, katika Wilaya ya Mtwara, wameiomba Bodi ya Korosho, kuwapa elimu ya ubora wa zao hilo, ambalo kipindi hiki cha mauzo wamekuwa wakipata bei isiyoridhisha,…
#MICHEZO: Mwanariadha wa Mbio Ndefu wa Kimataifa kutoka Tanzania, mwenye rekodi ya medali ya dhahabu katika Mashindano ya Dunia ya Tokyo Japan, amerejea nchini na kushika nafasi ya pili katika…
TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesitisha udahili na usajili wa wanafunzi wa shahada ya udaktari wa binadamu kwa mwaka wa masomo 2025/26 katika Chuo Kikuu cha Mwanza, kutokana na…
Saa chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia Taifa na kubainisha mambo mbalimbali...
Vyama vya kitaaluma, likiwemo Baraza la Madaktari Tanzania (MAT), vimesema utaratibu...
Kampuni ya Strategis Insurance imewahimiza wamiliki wa shule nchi nzima kuhakikisha kwamba...
Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya Umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imetwaa ubingwa...
Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania kutoka Jeshi la Wananchi (JWTZ), Staff Sajenti Alphonce Simbu, amerejea nchini leo Desemba 2, 2025 akitokea jijini Monaco, Ufaransa, ambako alishiriki kuwania tuzo za mwanariadha…
Meya mteule wa Manispaa ya Geita, Leonard Bugomola ameahidi kusimamia ujenzi wa uwanja wa mpira...
Cologne imeteuliwa kuwa jiji kuu katika jitihada za eneo la Rhine-Ruhr kuwania kuandaa Michezo ya Olimpiki, ikiahidi michezo endelevu, yenye miundombinu tayari na uwezo wa kupokea watazamaji milioni kadhaa.
Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, imetwaa ubingwa wa CECAFA U17 baada ya kuichapa Uganda mabao 3-2 kwenye mechi ya fainali…
Mama na mtoto wake wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kuteketea kwa moto...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kahama leo Jumanne, Desemba 2, 2025 imewaachia huru na...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeipa Serikali na wajumbe wa Tume ya Rais ya...
KLABU ya Simba, leo Desemba 2, 2025 imetangaza kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba na Meneja Mkuu, Dimitar Pantev pamoja na wasaidizi wake wawili.
HALMASHAURI SONGWE YAPATA VIONGOZI WAPYA #HABARI: Wajumbe wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe, iliyopo mkoani Songwe, wamemchagua kwa kura za ndio Bw. Abraham Sambila, ambaye ni…
#HABARI: Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mtwara ya Ligula, Ddara ya Watoto imesema kuna ongezeko kubwa la watoto wanaozaliwa njiti, huku sababu mbalimbali zikitajwa ikiwemo ya wanawake wajawazito kukosa lishe…
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imeondoa marufuku ya FIS na kuruhusu wanariadha wa Urusi na Belarus kushiriki mashindano ya kufuzu kwa Olimpiki ya Majira ya Baridi ya 2026, wakitimiza…
Baada ya uongozi wa klabu ya Simba kufikia makubaliano ya kumfuta Meneja Dimitar Pantev, klabu hiyo inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika, imeanza harakati za kusaka mrithi wa kubeba mikoba yake.