“Kazi yetu ni ile ile moja tunatangaza injili ya Mungu aliye juu”- @kibambetz, Mwanamuziki wa nyimbo za Injili
"Kazi yetu ni ile ile moja tunatangaza injili ya Mungu aliye juu"- @kibambetz, Mwanamuziki wa nyimbo za Injili
"Kazi yetu ni ile ile moja tunatangaza injili ya Mungu aliye juu"- @kibambetz, Mwanamuziki wa nyimbo za Injili
Baraka zote hapa Kitivoni Jioni ya Leo zimetoka kwa @kibambetz, Mwanamuziki wa nyimbo za Injili. Kupitia muziki wake wa Injili tumebarikiwa! #LainiYaWana #sentroCloudstv #Clouds26Nyoosha
Kwako ni sawa best Friend wako kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na ndugu yako? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057…
🔴#KIPIMAJOTO: HOTUBA YA RAIS KWA TAIFA KUPITIA WAZEE WA DAR ES SALAAM JE IMETOA MUSTAKABALI NA MWELEKEO WA NCHI
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limezindua rasmi mfumo wa matumizi ya mita janja ambazo tayari zimeshaanza kutumika husasani kwa wateja wapya wanaounganishiwa umeme, huku wateja wa zamani wakitarajiwa kubadilishiwa mita…
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imepongezwa kwa kufanya vizuri kwenye udhibiti wa matumizi ya fedha na kushinda tuzo ya Taasisis za Umma zilizofanya vizuri zaidi…
Wafanyabiashara nchini wanatarajiwa kupata ahueni ya mitaji ya biashara kupitia mpango wa mkopo wa kupata mali za biashara ‘Asset Finance’ baada ya Benki ya I&M Tanzania kuingia kwenye ushirikiano na…
Mwaka mmoja uliopita familia ya mwandishi wa Azam TV, Benson Eustace iliingia katika rekodi baada ya kufanikiwa kupata pacha wanne. Baada ya zaidi ya siku 366, familia hiyo inaeleza 'tamu,…
Wakazi wa kijiji cha Njomlole kilichopo wilayani Njombe wameiomba serikali kumalizia ujenzi wa zahanati ya kijiji hicho ambayo ilianza kujengwa na wananchi hao miaka minane iliyopita kama anavyoeleza Emmanuel Kalemba.…
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imeanza kutoa vibali kwa kampuni za usafirishaji wa abiria kwenda mikoa mbalimbali ili kukabiliana na uhitaji mkubwa wa wasafiri wanaotoka Dar es Salaam…
#SentroYaCloudsTv #Clouds26Nyoosha #LainiYawana
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 05, 2025 - POLISI WAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA DESEMBA 9
DAR ES SALAAM: THE HCG Gas Ltd, an investment company based in India, has shown interest to invest in Tanzania’s City Gas Distribution and CNG project. Company’s representative, Ms Rekha…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewanasihi Viongozi wa Dini na Waumini kuhimizana kulinda Amani ya Nchi na kuwa tayari kuiombea kwa…
LEO inafanyika droo ya makundi Kombe la Dunia 2026. Fuatilia droo hii mbashara kupitia AzamSports2HD kuanzia saa 2:00 usiku. #FCWC #WorldCup2026
Jeshi la Polisi nchini limepiga Marufuku Maandamano ya aina yeyote kuanzia Disemba 9 na Kuendelea kwa kuwa Maandamano hayo yanayohamasishwa kupitia Mitandao ya Kijamii hayana Kibali na yanaandaliwa kinyume cha…
#HABARI: Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini, imekamata na kuteketeza dawa za kulevya aina ya mirungi, zenye uzito wa zaidi ya kilogramu 374.…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge, ametoa wito kwa watumiaji wa maji kwa shughuli za kilimo katika maeneo ya kingo za Mto Ruvu, kusitisha matumizi ya maji…
#HABARI: ‎Waziri wa Nishati, Mh. Deogratius Ndejembi, amesema mara baada ya Serikali kuwekeza fedha zaidi ya Trilioni 13, katika miradi mbalimbali ya umeme hapa nchini, Wizara ya Nishati kupitia Shirika…
Mwenyekiti mpya wa Halmashauri ya Karatu, Engelbert Aloyce Qorro ameainisha vipaumbele...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimewataka wanachama wake kuwa makini na matumizi ya...
Safari ya utekelezaji wa Mpango wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (MMMAM) mkoani...
Umoja wa Mataifa umeonya kuwa Tanzania imeongeza kasi ya kuwakandamiza wapinzani wake baada ya uchaguzi wa Oktoba uliokuwa na utata na ambao ulikumbwa na vurugu kubwa.
Mapigano yameendelea kupamba moto mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo siku moja Rais Trump wa Marekani kuwaalika viongozi wa Kongo na Rwanda mjini Washington kusaini makubaliano mapya ya amani.
Serikali ya mrengo wa kulia ya Sweden imesema, inasitisha misaada kwa nchi nne za Afrika na kufunga balozi tatu katika marekebisho makubwa ili kupata fedha za kuisaidia Ukraine.
Wabunge nchini Ujerumani wameidhinisha mpango wa mageuzi tata ya pensheni yaliyopendekezwa na serikali ya muungano ya Kansela Friedrich Merz. Hatua hiyo imepitishwa baada ya miezi kadhaa ya msuguano wa kisiasa.
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kupitia timu yake ya wanamichezo wanaoshiriki mashindano ya SHIMMUTA 2025 wametembelea Kituo cha kulelea watoto wenye ulemavu cha Erick Memorial…
Idadi ya vifo kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyoambatana na Kimbunga Ditwah nchini Sri Lanka wiki iliyopita imeongezeka hadi 607, Kituo cha Usimamizi wa Maafa (DMC) kimetangaza leo…
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kwa kauli moja kimeunga mkono hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Oktoba 3 na kusema kuwa hotuba hiyo inaoonyesha dhamira ya…
Serikali imesema imekusudia kunufaisha wananchi milioni 2.85 kupitia mradi wa Mradi wa Mawasiliano ya Simu Vijijini - Awamu ya 10, ambapo Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki…
Serikali ya Marekani imetangaza mkakati mpya wa usalama wa taifa unaobadili sera yake ya kuwa na ushawishi wa dunia na kuelekeza nguvu zake katika ushawishi wa kikanda.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUVUMA - DISEMBA 05, 2025
Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeonya leo Ijumaa, Desemba 5, kuhusu “ukandamizaji uliokithiri” dhidi ya wanachama wa upinzani nchini Tanzania tangu uchaguzi wa mwishoni mwa Oktoba.…
Sehem ni moja tu JEMA Auto. Karibu tuingie Mnadani pamoja, ujipatie gari kwa bei kitonga Mnada si lazima kusafiri kwenda Japani, tunamalizana hapa hapa bongo Tupigie sasa 0710 011 241…
TANGA: The Tanzania National Parks Authority (TANAPA), in collaboration with the Tanga Regional Administration and Mkinga District Council, has begun implementing a compensation exercise for residents of Makota Village, Mwakijembe…
DODOMA: THE Police, in collaboration with other security and defense organs, continues to prepare for appropriate measures against criminal activities being planned and promoted on social media and by certain…
#KIPIMAJOTO: HOTUBA YA RAIS KWA TAIFA KUPITIA WAZEE WA DAR ES SALAAM JE IMETOA MUSTAKABALI NA MWELEKEO WA NCHI ?
HAKUNA anayejua nini kinachoendelea wakati dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufunguliwa Januari mwakani, lakini ni kwamba kama hujui nyota wa zamani wa Simba na Yanga Mukoko Tonombe, Yacouba Songne na…
Ujumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa umefanya ziara ya kwanza Syria na kuahidi kuiomba jumuiya ya kimataifa kuisadia, siku kadhaa kabla ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert, Chalamila amesema pamoja na mambo mengine yanayodaiwa kuongeza chuki kwenye jamii ni pamoja na utekaji, kukosekana kwa ajira kwa vijana, wananchi…
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imepanga kuongeza bajeti ya elimu kutoka Sh864 bilioni...
MWANZA: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has today, December 5, 2025, inspected the Kisesa Ward Executive Office, Mwanza Region, which was damaged during violence that occurred on October 29, 2025.…
Serikali ya Tanzania imetangaza rasmi kufuta hadhi ya ukimbizi na kuzifunga kambi za wakimbizi wa Burundi waishio mkoani kigoma nchini Tanzania kabla ya mwezi Juni mwaka ujao wa 2026.
BAADA ya vigogo vya soka Simba na Yanga kumaliza kazi juzi kwa ushindi nyumbani dhidi ya Fountain Gate na Mbeya City mtawalia, uhondo wa Ligi Kuu Bara unaendelea leo Jumamosi…
BAADA ya vigogo vya soka Simba na Yanga kumaliza kazi juzi kwa ushindi nyumbani dhidi ya Fountain Gate na Mbeya City mtawalia, uhondo wa Ligi Kuu Bara unaendelea leo Jumamosi…
Meya wa Jiji la Zanzibar, Kamal Abdulsatar Haji amesema atahakikisha anatunza siri za serikali...