Zaidi ya wafanyakazi 900 wa shamba la maua la VASSO lililopo Kibosho wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, wamegoma kuingia kazini wakidai kuongezewa mishahara.

Wafanyakazi hao wamesema mishahara yao haiendani na gharama za maisha, huku wakiiomba menejimenti kusikiliza madai yao ili kurejesha utulivu na kuendelea na uzalishaji.

#azamtvupdates

Enos Masanja
Mhariri | @claud_jms Masanja
Mhariri | @claud_jm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *