Marekani yathibitisha kumkamata Rais Maduro wa Venezuela
Rais Donald Trump wa Marekani amethibitisha kuwa nchi yake imemkamata mwenzake wa Venezuela Nicolas Maduro.
Rais Donald Trump wa Marekani amethibitisha kuwa nchi yake imemkamata mwenzake wa Venezuela Nicolas Maduro.
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani imefanya “mashambulizi makubwa” dhidi ya Venezuela na kwamba imemkamata Rais wa nchi hiyo, Nicolás Maduro, pamoja na mke wake. Katika taarifa aliyochapisha kwenye…
Leo ni Jumamosi 13 ya mwezi Rajab 1447 Hijria mwafaka na 3 Januari 2026 Miladia.
FROM our neighbourhoods to vast plains of Greater Serengeti Ecosystem, friendship between parts needs commitment from each individual. There may be different ways of showing the level or kind of…
DAR ES SALAAM: TANZANIA Railways Corporation (TRC) has officially released the new Standard Gauge Railway (SGR) timetable between Dar es Salaam and Dodoma, effective January 3, 2026. According to a…
Gazeti la Marekani la Axios limeandika kuwa: Katika mwaka uliomalizika majuzi wa 2025, ambao ulikuwa mwaka wa kwanza wa urais wa Donald Trump, uchumi wa Marekani ulifika kwenye ukingo wa…
Katika ajali hiyo, watu wawili wamejeruhiwa, akiwemo kondakta wa basi la Kidia One na abiria...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameliagiza Shirika la Reli Tanzania (TRC) kutanguliza usalama wa wananchi kwa kutoa taarifa mapema pale panapobainika uwezekano…
NAIBU Waziri wa Afya, Dk Florence Samizi, kwa niaba ya Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa, ametembelea na kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya basi na lori iliyotokea usiku wa…
DAR ES SALAAM: INDIA has pledged to continue its collaboration with the Tanzanian government to ensure that the relationship continues to flourish for the benefit of both countries and their…
Wambura alihukumiwa Aprili 25, 2024 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, baada ya...
#HABARI: Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kumkamata Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro pamoja na mke wake na kudai kuwa tayari wamesafirishwa nje ya nchi hiyo. Huku pia akidai kuwa…
Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza taifa lake kumkamata rais wa Venezuela, Nicholas Maduro na mkewe.�Kupitia kurasa za mitandao ya kijamii, Trump ameandika kuwa wanajeshi wa Marekani wamefanya mashambulizi makubwa…
MBEYA City inajipima na mechi za kirafiki kujiandaa na Ligi Kuu Bara, huku ikiwa tayari imeshacheza dhidi ya Ken Gold iliyowafunga mabao 2-1 na kushinda dhidi ya Kombaini ya Mbeya…
Vijana wa watu kila mtu ana mzigo wake 🥹
BAADA ya kurejea uwanjani akiwa fiti akitoka kuwa majeruhi, kiungo wa KMC, Ahmed Bakari 'Pipino' amesema huu ni muda mwafaka wa kuunganisha nguvu na wenzake kuipambania timu hiyo kuondoka mkiani.
STAA wa Transit Camp, Adam Uledi amesema licha ya kuongoza katika Ligi ya Championship kwa idadi ya mabao, lakini matokeo waliyonayo hayaendani na mahitaji akizitaja mechi tano tu zitakawapa mwanga…
#HABARI: Waasi wanaohusishwa na Kundi la Islamic State wameua takriban watu 15 katika vijiji vitatu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, maafisa wa eneo hilo wamesema. Mashambulizi hayo yalitokea…
#HABARI: Rais Nicolás Maduro wa Venezuela ametangaza hali ya dharura katika eneo lote la taifa hilo kufuatia mashambulizi ya Jumamosi yanayoelezwa kufanywa na Marekani. Taarifa ya Serikali inasema hatua hii…
TIMU ya Alliance FC ya jijini Mwanza imemrejesha kocha wake wa zamani, Mirambo Camil kuongoza benchi la ufundi baada ya mwenendo usioridhisha katika First League.
DAR ES SALAAM: THE Mining Commission has asked all miners in the country to fully comply with issues of Safety, Health, and Environmental Protection to avoid possible risks and damage…
Rais Nicolás Maduro wa Venezuela ametangaza hali ya dharura katika eneo lote la taifa hilo kufuatia mashambulizi ya Jumamosi yanayoelezwa kufanywa na Marekani. Taarifa ya serikali inasema hatua hii ni…
Waasi wanaohusishwa na kundi la Islamic State wameua angalau watu 15 katika vijiji vitatu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, maafisa wa eneo hilo wamesema. Mashambulizi hayo yalitokea usiku…
‘RAHA ya mpira bao’. Ni kauli ya Kocha Mkuu wa Mbeya City, Mecky Maxime akielezea mipango yake akiahidi mambo mazuri pale Ligi Kuu Bara itakaporejea mapema mwezi huu. Maxime alitambulishwa…
Ripoti kadhaa kutoka vyombo vya ndani na nje zimemeripoti kuhusiana na mlipuko katika sehemu mbalimbali za jiji la Caracas, ikiwemo kambi za kijeshi. Mashuhuda wanasema kwamba uwanja wa ndege wa…
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imetinga hatua ya 16 bora ya Mashindano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) na kuweka rekodi ya aina yake, tangu timu hiyo ianze…
DAES SALAAM: THE former Tanzanian President and Chancellor of the University of Dar es Salaam, Jakaya Kikwete, has appointed Prof. Rose Acen Upor as Deputy Vice Chancellor – Academic of…
SERIKALI imesema kuwa itajenga Kiwanda cha Kutengeneza chakula cha samaki jijini Mwanza kwa lengo la kuwapunguzia gharama wafugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ili kuongeza uzalishaji wa samaki nchini.…
Venezuela imelaani “uchokozi mkubwa wa kijeshi” leo Jumamosi baada ya milipuko kutikisa mji mkuu wa nchi hiyo usiku kucha, na Rais Nicolas Maduro kutangaza hali ya hatari. Imechapishwa: 03/01/2026 –…
Kiasi hicho ni zaidi ya lengo la Sh181.9 bilioni walilopangiwa kukusanya katika kipindi hicho.
Unguja. Leo Jumamosi kuna mechi mbili za Kombe la Mapinduzi 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan...
Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) imefanikiwa kuvuka lengo la makusanyo ya mapato kwa Desemba...
#Happybirthday | @jbkazumba #Cloudsmediagroup inakutakia maisha marefu na mafanikio zaidi 2026 #NYOOSHA
Dear Aunt Sophia, Wai, shangazi witu Sophia! My dear aunt, I begin this letter with our warm Nyamwezi greeting to let you feel, even from far away, the embrace of…
Wiki za mwisho za mwaka 2025 ziliangaziwa na mvutano mpya kati ya Misri na Marshal Khalifa Haftar, mbabe wa zamani wa kivita mashariki mwa Libya, ambaye anadhibiti eneo hilo na…
Mamlaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetangaza operesheni kubwa ya usalama iliyofanywa wakati wa sherehe za mwisho wa mwaka huko Kinshasa ili kupambana na ukosefu wa usalama mijini.…
Aidha kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii wa Instagram, Baba Levo amethibitisha tukio...
WATAALAMU wa uchumi wametoa ushauri wa namna ya kukabiliana na hali ngumu ya kifedha mwezi Januari ikiwamo kuweka akiba mapema na kujiepusha na madeni mapya. Pia, wameshauri kutumia kipato vizuri…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres, siku ya Ijumaa, Januari 2, ameitaka Israel ibadilishe uamuzi wake wa kupiga marufuku mashirika mengi ya kimataifa ya kibinadamu kuingia Ukanda wa…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema serikali haitakwama kutekeleza miradi mikubwa kwa fedha za ndani kutokana na kasi nzuri ya ukusanyaji wa mapato. Ameyasema hayo wakati akikagua ujenzi wa Bwawa…
Milipuko mikubwa iliyoambatana na sauti zinazofanana na ndege zinazoruka juu ya ardhi imesikika yapata saa 2:00 asubuhi (7:00 asubuhi saa za Ufaransa) leo Jumamosi huko Caracas, mwandishi wa habari wa…
GAMBIA: At least seven people have died and many others are missing after a boat carrying about 200 migrants attempting to reach Europe capsized off the coast of The Gambia,…
DAR ES SALAAM: THE Institute of Adult Education (IAE) has updated eight general subjects’ modules, prepared syllabi and vocational subjects’ modules for stage one (Form One to Form Two) for…
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S national cross-country athletics team is scheduled to depart on Tuesday for the United States ahead of the World Cross Country Championship that will commence on January…
DAR ES SALAAM: TAIFA Stars Head Coach Miguel Gamondi has urged his players to continue working hard and avoid complacency as Tanzania prepares for a historic Africa Cup of Nations…
#HABARI: Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, kwa niaba ya Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa, ametembelea na kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya basi na lori iliyotokea usiku…
KATAVI: KATAVI National Park, is found on the western part of Tanzania, it was formerly a game reserve; the park was established in 1974. It was originally 1,823 square kilometres…
KARATU: THE construction of Laja Secondary School under the Tanzania Social Action Fund (TASAF) through the fourth Tanzania Poverty Reduction Project (TPRP IV) has improved access to education and enhanced…