Serikali kuwasilisha bungeni muswada wa usajili wa watoto wachanga Nida
Lengo la hatua hiyo ni kuweka msingi imara wa utambuzi wa wananchi mapema, kurahisisha...
Lengo la hatua hiyo ni kuweka msingi imara wa utambuzi wa wananchi mapema, kurahisisha...
Amesisitiza umuhimu wa jamii, hususan vijana, kubadilisha mtindo wa maisha ili kupunguza hatari...
🔴TAARIFA YA HABARI YA JANUARI 03, 2026 - MOTO WAUNGUZA MAGHALA YA VINYWAJI, 50 WANUSURIKA KIFO GEITA
#TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 03/1/2026
#HABARI: Zaidi ya watu hamsini waliokuwa wakiburudika katika kumbi za Suzzy Lounge mji wa kibiashara wa Katoro mkoani Geita, wamenusurika kifo baada ya moto ambao chanzo chake hakijafahamika kuzuka na…
Kwa kipindi cha siku nane, watu wanne wapoteza maisha kwa kusombwa na maji jijini Mbeya, huku...
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, watu 15 wameuawa baada ya kushambuliwa na waasi wa ADF wanaohusishwana kundi la Islamic State. Imechapishwa: 03/01/2026 – 16:57 Dakika 1 Wakati wa…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika salamu za mwaka mpya 2026, kimetaka kuachiwa...
Akizungumza na gazeti la The New York Times saa chache baada ya kutangaza operesheni hiyo...
Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kuachiwa kwake leo Januari 3...
Wanajeshi wanaoungwa mkono na Saudi Arabia, siku ya Jumamosi, Januari 3, 2026, wamesonga mbele, kulingana na maafisa wa kijeshi, katika jimbo lenye utajiri wa rasilimali la Hadramaut kusini mwa Yemen.…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA SHINYANGA - JANUARI 03, 2026
Nchini Iran, maandamano mapya yamefanyika siku ya Ijumaa, Januari 2, huko Tehran na miji ya majimbo, huku waandamanaji wakiimba nyimbo zinazoipinga serikali. Askari wa vikosi vya usalama aliuawa “kwa kisu…
Umoja wa Ulaya unasimama na raia wa Venezuela na unaunga mkono mpito wa amani na kidemokrasia nchini, amesema Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen siku ya Jumamosi,…
Alitakiwa kulipa faini ya ng'ombe 51 (sawa na Sh36 milioni) kwa mujibu wa mila na desturi za...
Siku chache baada ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutoa taarifa ya makusanyo ya mapato 2025 - 2026 ongezeko la mapato ya serikali, jumuiya ya wafanyabiashara nchini wameipongeza Serikali ya…
Rise of The Planet Of the Apes, ndio mzigo utakaohusika leo saa 4:00 usiku katika movie ya weekend kupitia AzamTWO. Movie hii imetafsiriwa kwa Kiswahili. #AzamTWO
#HABARI: Msanii maarufu na mjasiriamali, @officialshilole amepata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo katika eneo la Malagarasi, mkoani Kigoma, alipokuwa safarini akirejea Dodoma baada ya kuhudhuria sherehe za Mwaka…
Wananchi wa Kijiji cha Nyanguge wilayani Bariadi mkoani Simiyu, wameiomba Serikali, kurekebisha Miundombinu ya kujifunzia ikiwemo kukarabati wa vyumba vya Madarasa ambavyo ni chakavu kwa muda mrefu, pamoja na madawati…
DAR ES SALAAM: ARUSHA National Park, found in Arusha, Tanzania, was mentioned by CNN Travel in their latest article published on December 31, 2025, recognizing not only the park but…
BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa nusu msimu mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Yacouba Songne amekamilisha dili la kuitumikia Mbeya City.
Milipuko ilisikika katika mji mkuu wa Caracas wakati Rais Nicolas Maduro alipokamatwa na jeshi la Marekani
DAR ES SALAAM: THE Dar es Salaam Port has received the luxury cruise ship The Crystal Symphony, carrying a total of 516 tourists who arrived in the country to visit…
Vijiji vinavyohusika katika mradi huo ni Stahabu, Bweni, Mzambarauni, Mikinguni na Mwera...
Februari 2025 inaweza isisahaulike katika uhai wa dereva Mtanzania, Jumanne Maganga aliyekamatwa na kufungwa nchini Sudan kwa kosa la kumgonga na kumsababishia kifo askari wa jeshi la nchi hiyo. Ilikuwaje?…
Tangazo la Rais Nicolás Maduro la kuwa tayari kufanya mazungumzo na Marekani limejibiwa chini ya saa 24 baadaye kwa mashambulizi makali ya kijeshi dhidi ya Caracas, huu ukiwa ni mtindo…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Rais wa Venezuela Nicolas Maduro amekamatwa na kuondolewa nchini mwake. Tangazo la Trump limejiri baada ya wanajeshi wa nchi yake kuripotiwa kutekeleza mashambulio mazito…
Ili kuwa na mipango inayokamilika unahitaji kujua unataka nini katika maisha yako. Je, una muongozo wa kufuata katika kufanikiwa malengo yako? Muelimishaji na mshauri mwelekezi wa stadi za maisha Brightness…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kwa msaada wa Mwenyezi Mungu taifa hili litashinda njama zote na kumpigisha magoti adui.
Sunland Sunflower Oil Pika kwa mwanga. Kula kwa busara. Ishi kwa afya. @mainlandgrouptz
Kwa mujibu wa ratiba, shule za msingi na sekondari nchini zitafunguliwa Januari 13, 2026.
Historia ya kisiasa ya Marekani imejaa visa vingi vya kuvamia nchi za kigeni ili kukamata viongozi. Tukio la sasa la kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, linadhihirisha mtindo huu.
Moto huo ulizuka majira ya saa 6:15 mchana, Ijumaa Januari 2, 2026, wakati shughuli zikiendelea...
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo amesema hayo alipopewa nafasi na Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba...
Mapigano makali yamejiri leo Jumamosi kati ya waasi wa wenye silha wa kundi la M23 na vikosi vinavyoiunga mkono serikali ya Kinshasa katika miji kadhaa karibu na mji wa Uvira,…
RABAT: The Deputy Minister for Information, Culture, Arts and Sports, Paul Makonda, has said Tanzania is ready to shock the world by making history with a victory over Morocco in…
Katika maisha ya kila siku unahitaji kuwa na mipango ambayo ni muongozo wako wa kila siku wa maisha yako. Ili uweze kuwa mtu wa kuweka malengo lazima ujifunze kuwa mtu…
Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, watoto wa Gaza walilipa gharama kubwa mwaka uliomalizika wa 2025 kutokana na vita na mzingiro wa utawala wa Israel dhidi ya…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema “ana hofu kubwa” juu ya mkwamo wa miezi ya hivi karibuni kati ya Marekani na Venezuela, hali iliyofikisha kitendo cha asubuhi…
Fahamu kuwa mwezi Januari ni mwezi wa kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu saratani ya shingo ya kizazi, lengo ni kuongeza ufahamu dhidi ya ugonjwa huu ambao kila dakika mbili husababisha…
Mwili mmoja ulihifadhiwa Kituo cha Afya Mikese na tayari ulishatambuliwa.
Chombo cha diplomasia cha Iran kimesisitiza kuwa imesisitiza katika taarifa yake kwamba: Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inalaani vikali mashambulizi ya kijeshi ya Marekani…
Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa Chioma wa Side kutoka #NomaSeries ungana nasi kumtakia maisha marefu @ngelikah
DAR ES SALAAM: THE President of the United Republic of Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan, has awarded the national football team, Taifa Stars, 500m/- after they successfully qualified for the…
Trump amesema operesheni hiyo ilifanywa kwa ushirikiano na vyombo vya sheria vya Marekani na...
Mashavu Kikala maana halisi ya niguse unase 😅