SAMIA’S 100-DAY PROMISE: UHI kicks off
DODOMA: AS government is set to roll out the Basic Essential Services Package under the Universal Health Insurance (UHI) next week, Regional Commissioners across the country have been tasked with…
DODOMA: AS government is set to roll out the Basic Essential Services Package under the Universal Health Insurance (UHI) next week, Regional Commissioners across the country have been tasked with…
Duke wa Sussex ametoa wito kwamba kujitoa kwa wanajeshi wa NATO kujadiliwe kwa ukweli na kwa heshima”, baada ya rais wa Marekani kudai kuwa washirika “walikaa nyuma” kutoka mstari wa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amemkosoa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky kwa kuingilia masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu, na kumwambia bayana kwamba dunia…
Tawi la Kisiasa la Harakati ya Muqawama ya Hizbullah katika Bunge la Lebanon limeonya kwamba, vitisho vya maneno vya Marekani dhidi ya Iran na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu,…
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer ametaka Rais wa Marekani Donald Trump aombe radhi kwa madai yake kwamba wanajeshi wa Ulaya hawakuwa mstari wa mbele katika vita vya kivamizi vya…
Beki wa kulia wa England, Trent Alexander-Arnold, hajaambiwa aondoke Real Madrid.
Kiongozi wa chama cha Democratic Alliance cha Afrika Kusini (DA), John Steenhuisen amekadhibisha madai ya kuwepo "mauaji ya kimbari ya Wazungu" nchini Afrika Kusini.
Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban amesema kwamba Ukraine inajaribu kushawishi na kuathiri matokeo ya uchaguzi ujao wa bunge nchini Hungary, akisitiza kuwa nchi yake haitaruhusu Ukraine kujiunga na Umoja…
Rais Lula da Silva wa Brazil amemkejeli Rais Donald Trump wa Marekani kutokana na tweet nyingi za kutatanisha anazoandika katika mitandao ya kijamii.
Leo ni Jumamosi 4 Shaaban 1447 Hijria awa na 24 Januari 2026 Miladia.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Zein ameamua kumwaga sifa zote kwa Sara #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amesema serikali itazingatia masuala ya kitaalamu, ushauri wa kisayansi na tafiti katika kuendeleza sekta za mifugo na uvuvi. Mhe.…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeanza mkakati wa kubaini walipakodi wanaoficha taarifa zao nje ya nchi kwa lengo la kukwepa kodi. Hayo yamebainishwa katika kikao cha pamoja baina ya Kamishna…
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba, ameagiza watendaji wa Kituo cha Kuratibu Utafutaji na Uokozi cha Kikanda – Mwanza kuhakikisha kinaendeshwa kwa saa 24 na kwa ufanisi mkubwa. Amesema hayo leo…
Hili nalo litapita #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
Ushindi huo umeifanya Al Ahly kuendelea kuongoza msimamo wa kundi B ikifikisha pointi saba.
YANGA imeruhusu nyavu zake kuguswa mara mbili ikikubali kuchapwa 2-0 na Al Ahly katika mchezo wa makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, leo Ijumaa, lakini makosa mawili tu ya wachezaji…
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, maarufu “Mahakama ya Ufisadi...
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imeanza hatua za dharura kushughulikia ucheleweshaji katika...
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amezindua rasmi meli ya Mv New Mwanza, ambayo ni kubwa zaidi...
Mvutano huo umekuja baada ya Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Wakili Dk Rugemeleza Nshala...
KIUNGO Mshambuliaji wa zamani wa Simba na Yanga, Hassan Dilunga amesaini mkataba wa kuichezea Mbeya City inayonolewa na kocha Mecky Maxime.
Serikali imeshindwa kuwasilisha mahakamani majibu yake dhidi ya madai waziri wa zamani, Geofrey...
Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran, Hujjatul Islam Walmuslimin Haj Ali Akbari, amezungumzia matukio ya hivi karibuni na mashambulizi ya maadui kwenye maeneo mbalimbali yakiwemo ya ya…
Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BOT) Emmanuel Tutuba amesema taasisi hiyo itaendelea kuienzi...
Watuhumiwa walikamatwa na dawa hizo ndani ya basi lenye namba za usajili wa Msumbiji, wakati wa...
Shirika la Ujasusi la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetoa taarifa likisema, machafuko ambayo yamekuwa yakifanyika nchini tangu mwishoni mwa Desemba yalikuwa sehemu ya "fitina iliyopangwa" na…
Mkutano wa Uchumi wa Dunia uliofanyika Davos nchini Uswisi kwa siku tano kuanzia Januari 19...
Amesema ilipofika usiku alipoanza kukohoa, alishangaa kusikia wanaambizana “huyu bibi vipi...
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imetangaza katika ripoti yake kwamba mwaka jana (2025) walowezi na jeshi la Israel waliua Wapalestina 240 katika Ukingo…
Akwilapo amesema ndani ya Wizara ya Ardhi, licha ya mazuri mengi yaliyopo, bado kuna madudu na...
Kujiondoa kwa Marekani katika Shirika la Afya Duniani (WHO) kunaweza kudhoofisha mifumo na...
Benki ya NMB imedhihirisha kiwango cha juu cha ubunifu, baada ya kuwa ya kwanza nchini kuzindua...
#HABARI: Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ambaye pia ni mwanafamilia wa marehemu Mzee Edwin Mtei, amejibu hoja mbalimbali zilizoibuliwa mitandaoni zikidai kuwa CHADEMA haijapewa…
Leo usiku katika #TheStoryofJuana ni kuanzia saa 1:00 usiku #AzamONE #WeSpeakSeries (Feed generated with FetchRSS)
#LIVE:UZINDUZI WA MELI YA MV MWANZA (Feed generated with FetchRSS)
“…kwanza umesema kuna kufuata mkumbo hasi na kufuata mkumbo chanya, kwa kweli kufuata mkumbo ni hasi kufuata mkumbo chanya tunasema ni kujifunza " Saldin Kimangale- Mtaalamu wa Saikolojia. Powered by…
Waziri wa fedha wa Afrika Kusini, Enoch Godongwana, amethibitisha kwamba nchi hiyo itaachana na ushirikiano wake na kundi la mataifa tajiri na yale yanayoinukia kiuchumi duniani G20 wakati wa urais…
Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Songwe zimesababisha kupungua kwa kasi ya ujenzi wa barabara ya Ruanda–Idiwili, inayojengwa kwa kiwango cha lami kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 40. #AzamTVUpdates Mhariri…
“…yani kwamba mtu anakwemda kinyume na matashi yake anapoteza uhuru wake kwa hiyo atajikuta anafanya kitu ili awe sehemu ya grupu fulani au awe sehemu ya kitu fulani kwa hiyo…
Afisa Uhusiano wa Miss World Tanzania, Hassan Suleiman amesema mashindano ya ulimbwende yana mchango mkubwa katika kulitambulisha taifa kimataifa, huku yakitoa ajira kwa watu wa fani mbalimbali za urembo na…
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Tanzania (TIB), Deogratius Kuyukwa amesema benki...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa pamoja wamekamilisha ujenzi wa Mradi mkubwa na wa kimkakati wa Kusambaza Gesi Asilia katika…
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umewahimiza wananchi waliopitiwa na mradi wa gesi asilia katika Mkoa wa Lindi kutumia fursa ya kuunganishwa na mradi wa usambazaji wa gesi asilia ya kupikia…
Mkuu wa Jeshi la Uganda na mwana wa Rais aliyechaguliwa tena, Yoweri Museveni, amesema leo Ijumaa kwamba wafuasi 30 wa upinzani wameuawa na 2,000 wamekamatwa kufuatia uchaguzi wa karibuni nchini…
#HABARI: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Mheshimiwa John Heche, amefika msibani kwa marehemu Mzee Edwin Mtei katika eneo la Tengeru, wilayani Arumeru, mkoani Arusha. Mheshimiwa…
Katika ajali hizo, wanaume waliopoteza maisha mwaka 2025 ni 210 na wanawake ni 23...