Niger yaishutumu Ufaransa, Benin, na Côte d’Ivoire baada ya shambulio Uwanja wa Ndege wa Niamey
Siku ya Alhamisi, Januari 29, siku moja baada ya shambulio la uwanja wa ndege wa Niamey na watu wenye silaha, maisha yamererejea katika hali ya kawaida katika mji mkuu. Imechapishwa:…