Guterres aonya kuongezeka kwa ghasia Sudan Kusini, atoa wito kupunguza mvutano haraka
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameonesha wasiwasi mkubwa kuhusu kuongezeka kwa ghasia nchini Sudan Kusini, akionya kuwa mapigano mapya, hasa katika Jimbo la Jonglei, yanaathiri vibaya raia…