Wahimiza kushughulikia chanzo cha watoto wenye uhitaji
Sababu moja wapo iliyotajwa na msimamizi wa kituo cha kulelea watoto cha masista wa Passionist...
Sababu moja wapo iliyotajwa na msimamizi wa kituo cha kulelea watoto cha masista wa Passionist...
Maandamano yaliyosababishwa na ugumu wa maisha nchini Iran yanafuatiliwa kwa karibu na jamii ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na viongozi mahasimu wa taifa hilo, Israel na Marekani.
DAR ES SALAAM: THE public has been urged to take precautions and remain vigilant during the rainy season to avoid possible dangers caused by flooding in road infrastructure areas. The…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 07, 2025
DAR ES SALAAM: THE Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Mahmoud Thabit Kombo has awarded certificates to 900 graduates of various academic levels and disciplines at the Dr…
Kufuatia hatua hiyo, Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Mataifa (UN) wametoa kauli kulaani hatua...
@drnicasMawazo, Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa Kibaha akitoa kilio chake kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kutokana na kukosekana kwa maji katika Mji…
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewataka wazazi na walezi kuwapeleka wanafunzi shuleni kwa wakati muhula mpya wa masomo wa mwaka 2026 unapoanza, hata kama sare na mahitaji mengine…
Serikali imewataka wavuvi wanaojihusisha na uvuvi haramu katika Ziwa Victoria kujisalimisha na kuacha matumizi ya zana zilizopigwa marufuku kabla ya kuanza kwa operesheni kabambe ya ukamataji. Akizungumza na wadau wa…
Wakitajwa waigizaji 10 bora kutoka India jina la Hrithik Roshan nyota anayefanya vizuri katika...
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran, Meja Jenerali Amir Hatami amesema Jamhuri ya Kiislamu inayatazama matamshi ya vitisho na kichochezi ya maadui zake kuwa tishio la moja kwa moja dhidi…
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia mkandarasi wa kampuni ya Bugeta Engineering Ltd kwa tuhuma za kughushi mkataba wa ujenzi wa madarasa, matundu ya vyoo na mabweni katika Shule ya…
SERIKALI ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imewekeza nguvu nyingi katika elimu inayojenga umahiri, ujuzi na maadili ili kuwaandaa vijana wenye uwezo wa kifi kra, kubuni…
Mashambulizi ya anga ya hivi karibuni ya Saudi Arabia dhidi ya silaha za Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Yemen yameweka wazi tofauti kubwa za sera za kigeni kati ya…
Waziri Sangu amesema Serikali imezipokea changamoto za wadau wa sekta ya uvuvi na kuahidi...
Mama ataweza kuharibu mapenzi ya Zein kwa Sara Usikose kutazama uhondo wote huu kwenye THE PRICE leo saa 3:00 USIKU. #AzamTwo
Wang Yi atazitembelea Ethiopia,Somalia,Tanzania na Lesotho, wakati nchi yake ikitafuta kutanuwa zaidi ushawishi wake kwenye bara hilo na hasa kiuchumi
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 07, 2025
Uganda itafanya uchaguzi mkuu, Januari 15 huku rais wa muda mrefu Yoweri Museveni akiwa tayari kukabiliana na wagombea wengine saba kwenye kinyang'anyiro cha urais.
Jamhuri ya kiislamu ya Iran imeonya dhidi ya vitisho vya mataifa ya kigeni, ikisema haitokaa kimya kuacha iendelee kuchokozwa,baada ya Israel na Marekani kuunga mkono maandamano ya wananchi Iran
Venezuela imetangaza wiki moja ya kuwaomboleza wanajeshi waliouawa katika shambulio la Marekani. Cuba pia yatangaza siku mbili za kuwaomboleza wanajeshi waliouawa nchini Venezuela.
ZANZIBAR: IN the rice paddies of Kibonde Mzungu, early morning mist clings to the surface of flooded fields while farmers set to work transplanting seedlings. For these families, rice is…
Makadinali wadaiwa kutaka kupewa fursa ya kuwa sehemu ya maamuzi katika masuala ya kanisa kwenye ngazi ya kimataifa
Timu ya mwisho iliyokuwa ikiwakilisha eneo la la Afrika Mashariki na Kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeyaaga mashindano ya AFCON baada ya kufungwa na Algeria bao 1-0 katika…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amewataka askari wa Idara ya uhamiaji nchini kuongeza ufanisi katika kutoa huduma bora kwa wageni ikiwemo watalii wanaoingia nchini ambao uliingizia taifa…
TANGA: THE government has handed over 2.76bn/- to women, youths and persons with disabilities in Tanga under the 10 per cent loans scheme, as part of the fulfillment of President…
FOR too long, the image of Tanzanian youth online has been dominated by tales of wasted hours, viral distractions and the “hazardous” side of internet use. Yet there is a…
Huku Aziza anaendelea kupambania familia yake, Jemo naye kazua balaa. Usikose kutazama 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO
Zaidi ya mabinti 200 wamenusurika kukeketwa wilayani Tarime, Mkoa wa Mara baada ya kuokolewa na...
Mawaziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, Ufaransa na Poland wanatarajiwa kukutana mjini Paris, ambapo uungaji mkono wao kwa Ukraine utakuwa miongoni mwa ajenda kuu za mazungumzo.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuiwajibisha Israel kwa uhalifu wa kivita, kufuatia wimbi la mashambulizi mabaya dhidi ya Lebanon, na kukanyaga makubaliano…
Wau wasiopungua 11 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na athari za mvua kubwa ambazo zimekuwa zikinyesha nchini Madagacar kwa wiki kadhaa sasa.
Vyombo vya habari vya Saudi Arabia vimefichua mpango wa Umoja wa Falme za Kiarabu wa kujenga kambi ya kijeshi ya Israel karibu na mpaka wa nchi hizi mbili za Kiarabu.
Wakazi wa Mkoa wa Morogoro wameishukuru Serikali kuanzisha Huduma za msaada wa Kisheria bila malipo kwa kuwa inasaidia wenye kipato cha chini na kupunguza migogoro. Wakizungumza kwenye Kliniki ya siku…
#HABARI: Mtoto mwenye umri wa miaka 10 mkazi wa Kata ya Nyansha wilayani Kasulu mkoani Kigoma anaomba msaada wa matibabu baada ya kupata changamoto ya afya kwa kupoteza fahamu kwa…
@drnicasMawazo, Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa Kibaha akielezea mikakati ya kuwainua vijana kiuchumi katika wilaya hiyo. #LiveonClouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI -07/01/2026
DAR ES SALAAM: IN today’s world, where governance continues to improve, multiparty general elections are a cornerstone of democratic life. Such an election environment allows citizens to choose leaders, debate…
Rais Donald Trump alimueleze mtangazaji wa kipindi cha MS NOW, Joe Scarborough, kwamba Marekani inapanga “kuchukua mafuta,” kufuatia mashambulizi yaliyofanyika nchini Venezuela na kukamatwa kwa Nicolás Maduro.
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa operesheni ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
DAR ES SALAAM: THE year 2025 stands out as a defining moment that ignited renewed hope for a resilient energy future in Africa, with Tanzania firmly at the centre of…
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imesema kumekuwa na ongezeko kubwa la mahitaji ya huduma za kibingwa za moyo ambapo takribani wagonjwa 1,000 hupatiwa huduma kila siku. Akizungumza kuhusu…
Rais wa Marekani, Donald Trump, amedokeza kuwa anazifikiria nchi nyingine baada ya kumteka Kiongozi wa Venezuela, Nicolas Maduro.
ARUSHA: Deputy Minister for Labour, Employment and Industrial Relations, Rahma Riyadh Kisuo, has conducted two key working visits to inspect the implementation of strategic projects being undertaken by the Public…
#MEZAHURU: Kipi kifanyike kuwapa kipaumbele WAHANDISI VIJANA NA UBUNIFU ili kutimiza ndoto zao ndani ya Tanzania..?
Soma zaidi hapa...
Hatimaye mkongwe wa muziki wa dansi na Mwenyekiti wa Bendi ya Twanga Pepeta, Asha Baraka 'Iron...
DODOMA: MINISTER for Education, Science and Technology, Prof Adolf Mkenda, has called on school inspectors to perform their duties diligently, describing them as the ‘eyes of the government’ in education…
DODOMA: MINISTER for Home Affairs, Mr George Simbachawene, has directed the construction of modern dams in the hilly areas of Iyenge, Ludi, Vibewele and Mzogole villages in Mpwapwa District, Dodoma…