Sheiza/Mussa amuweka wazi Hamida kuwa hayuko tayari đĽš
Sheiza/Mussa amuweka wazi Hamida kuwa hayuko tayari đĽš
Sheiza/Mussa amuweka wazi Hamida kuwa hayuko tayari đĽš
AZAM FC ipo katika mazungumzo na mshambuliaji Ben Malango ambaye kocha Florence Ibenge anatamani uzoefu wake uongeze nguvu ndani ya timu.
DAR ES SALAAM: Washiriki wa Kozi Ndefu katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC-TZ) leo wamepatiwa mhadhara maalum ulioangazia mchango wa sekta binafsi katika maendeleo ya uchumi wa Taifa,…
Kupitia ithibati hiyo, Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam inaendelea kuwa hospitali pekee...
Serikali ya Burkina Faso imejieleza kuhusu jaribio la mapinduzi la hivi karibuni, ambalo lilishindwa Jumamosi, Januari 3. Katika mahojiano yaliyorushwa kwenye televisheni ya umma, Waziri wa Usalama ameeleza kwamba wahusika…
Cyprus, Ugiriki na Israel zinatarajia kutanua luteka na mafunzo ya pamoja ya kijeshi. Hata hivyo, Uturuki inaonekana kuwa na wasiwasi zaidi kutokana na nchi mbili wanachana wa Umoja wa Ulaya…
Washtakiwa hao walionekana katika video iliyosambaa mtandaoni jana, wakiwa ndani ya geti baada...
Mfanyakazi katika shirika la usalama wa nyuklia la Japani amepoteza simu yake ya kazini ambayo ina taarifa nyeti, wakati wa ziara binafsi nchini China, vimeripoti vyombo vya habari vya Japani.…
BAADA ya jana kupigwa mechi nne za Ligi ya Wanawake (WPL), leo saa 12 jioni itaendelea Simba Queens itakapoikaribisha JKT Queens.
BAADA ya jana kupigwa mechi nne za Ligi ya Wanawake (WPL), leo saa 12 jioni itaendelea Simba Queens itakapoikaribisha JKT Queens.
Bei ya mafuta yashuka kidogo leo Jumatano baada ya Donald Trump kutangaza siku ya Jumanne kwamba Venezuela “itakabidhi” hadi mapipa milioni 50 ya mafuta kwa Marekani. Hii inakuja huku mvutano…
Washtakiwa hao walionekana katika video iliyosambaa mtandaoni jana, wakiwa ndani ya geti baada...
Washtakiwa wanakabiliwa na mashtaka matatu ambayo ni usafirishaji haramu wa biandamu na kufanya...
DAR ES SALAAM: THE Secretary-General of Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dr Asha-Rose Migiro, has urged ten-cell leaders not to merely receive orders from above, but insteady instructions should come from…
Waziri wa mambo ya nje wa Uchina, Wang Yi, ameanza ziara rasmi barani Afrika ambapo atatembelea nchi kadhaa katika kile ofisi yake imesema ni kumarisha uhusiano wa kidiplomasia na mataifa…
Kwenye kunyoosha sasa đ¤Łđ¤Łđ¤Ł #Clouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
ZANZIBAR: THE Tanzanian Minerals Commission has encouraged Tanzanians to apply for Small-Scale Mining Licenses and establish small factories for cutting, processing, polishing gemstones to increase value before bringing them to…
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaweza kuwa imetolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa njia ya kuhuzunisha, lakini shabiki wake mmoja ameacha hisia ya kudumu kwenye mashindano…
#HABARI: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kinondoni, imefanikiwa kuwakamata raia wawili wa China, Yao Licong na Wang Weisi, wakiwa na kiasi kikubwa cha fedha haramu…
â#MICHEZO: Tanzania imeandika historia mpya katika ramani ya michezo ya dunia baada ya Timu ya Taifa ya Kriketi chini ya miaka 19 kufuzu kwa mara ya kwanza kushiriki Kombe la…
DAR ES SALAAM; Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema imebaini baadhi ya watu wasio na sifa wamerejea kutekeleza majukumu ya kihabari baada ya kukamilika kwa Uchaguzi Mkuu.…
DAR ES SALAAM: THE Ministry of Health has organised a Tanzania Pharmaceutical Production Investment Forum on January 19, 2026, a high-level platform aimed at attracting domestic and international investment into…
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Dkt. Gervas Kasiga ameipongeza #AzamMediaLimited kwa kuendelea kudhamini Tuzo za filamu nchini kwa misimu minne mfululizo. Ametoa pongezi hizo leo kwenye mkutano na…
Mkuu wa Chaneli ya #SinemaZetu @sophiamgaz amesema kuelekea usiku wa Tuzo za Filamu Tanzania 2025, kampuni ya Azam Media imejipanga kurusha matangazo hayo mubashara kwa viwango vya juu. Amesema pia…
Wataalamu wanaonya kuwa hatua ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela inaweza kufungua njia ya kuhalalisha mashambulizi dhidi ya viongozi wa mataifa mengine ambayo yamewahi kuwa katika mvutano na utawala wa…
''Katika filamu 2,360 zilizopokelewa, tulikuwa tuna jumla ya filamu 239 kutoka Tanzania na 2,121 kutoka nje ya Tanzania,,,tamasha sasa linabadilika kuwa ni la Kimataifa'' Dkt. Gervas Kasiga, Katibu Mtendaji Bodi…
Njama ya kumuua kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim TraorĂŠ, imezuiwa, limetangaza taifa hilo la Afrika Magharibi. Mpango huo ulikuwa umepangwa na Luteni Kanali Paul Henri Damiba, afisa…
Huyu Kares bey kuna jambo analitafuta. Usikose kufuatilia mkasa huu wa OTTOMAN kuanzia saa 4:00 usiku. #AzamTWO
Sehemu ya vipindi vya watoto vitakavyoruka wiki hii kwenye kisimbuzi chako cha AzamTV. Kwa kifurushi cha shilingi 35,000 unapata chaneli hizi za watoto. #Kids #AzamTV
Sehemu ya series zitakazoruka wiki hii ndani ya kisimbuzi chako cha AzamTV. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama series hizi na nyingine. #Azamseries #AzamONE
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. đđđľđŽ-đżđźđđ˛ đ đśđ´đśđżđź amewasisitizia Mabalozi wa mashina na viongozi wengine wa chama kuendeleza mahusiano mazuri na jamii kwakuwa hayo ndiyo yanayopelekea kuongeza…
â....sasa kuna mashindano ya Kitaifa ya ubunifu tulikuwa na huyu Bwana (Injinia, Yassin Sanga kutoka TANTECK Machinery) vyuo vya ufundi vyote nilikuwa mshindi wa kwanza kwa ubunifu wa ile gari…
KATIKA dunia ya leo ambako utawala bora unaendelea kuimarika, uchaguzi mkuu katika mfumo wa siasa wa vyama vingi ni msingi wa maisha ya kidemokrasia. Mazingira hayo ya uchaguzi ndiyo huwezesha…
DODOMA: THE Chancellor of the University of Dodoma and the retired Chief Justice of Tanzania, Prof Ibrahim Juma, has appointed Prof Jefta Sunzu as Deputy Vice Chancellor for Planning, Finance…
âKwa hiyo tukabuni ili jina TANTECH tukimaanisha Tanzania Technologic kwa kifupi tukapata TANTECH lengo letu ni hizi product tutazokuja kuzitengeneza popote zitakapokuwa orijino yake ijulikane ni Tanzaniaâ- Injinia Yassin Sanga…
Mvua kubwa ya theluji na hali ya hewa ya barafu imesababisha usumbufu mkubwa wa usafiri kote Ulaya, huku watu sita wakiripotiwa kufariki katika matukio yanayohusiana na hali ya hewa hiyo…
Chama cha National League for Democracy (NLD), kimefanya kikao maalumu cha tathimini ya...
Katika kosa la kwanza, washtakiwa hao wanadaiwa kuwa Oktoba 21, 2025, huko eneo la Sango katika...
China imelaani kitendo cha Marekani kumteka nyara rais wa Venezuela kama ukiukaji wa uhuru na sheria za kimataifa. Wachambuzi wanasema kuwa hatua hiyo inaakisi juhudi pana za Marekani za kutaka…
Halmashauri ya Wilaya ya Nyangâhwale mkoani Geita imewataka wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 kutumia teknolojia ya mawasiliano ikiwemo mitandao ya kijamii kama nyenzo muhimu ya kutangaza, kukuza na kuongeza…
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Film Festival Awards are scheduled to take place on February 14, 2026, at The SuperDome in Masaki, Dar es Salaam. Speaking during the announcement of…
DAR ES SALAAM: THE United Republic of Tanzania said it fully supports the African Unionâs efforts to resolve the conflict in Somalia and strongly opposes any actions aimed at dividing…
CCM inakuja na maelekezo hayo, katika kipindi ambacho kumekuwa na malalamiko kupitia mitandao...
Timu ya Taifa âTaifa Starsâ leo Jumatano inatarajiwa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
đ´MEZA HURU - WAHANDISI - JANUARI 07, 2026
Denmark na Greenland wanatafuta mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, baada ya Marekani kusisitiza kwa mara nyingine nia yake ya kutaka kuidhibiti Greenland â kisiwa…
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu OHCHR imetoa ripoti ya kina hii leo jijini Geneva Uswisi ikieleza hali ya haki za binadamu katika eneo la Ukingo wa…
Wakati nchi ya Uganda ikijiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 15 mwezi huu wa Januari, wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa hii leo wametoa taarifa ikionya kwamba hali ya…
Saratani ya shingo ya kizazi ndiyo saratani inayowapata wanawake wengi zaidi nchini Rwanda kwani takribani kila mwaka kati ya wagonjwa wapya 1230 , 830 hufariki dunia. Ili kupunguza mzigo wa…
Mafunzo kwa vitendo ya kutengeneza kilelezi cha vifaranga au Kinengunengu yaliyoendeshwa mkoani Kigoma kaskazini-magharibi mwa Tanzania na shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO, nchini huko yameendelea…