Trump asema Iran ‘inaogopa’ kukubali kuwa kuna majadiliano huku Tehran ikikanusha ripoti hizo
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran asema "hawana nia ya kufanya mazungumzo kwa sasa", huku Marekani ikisisitiza kuwa malengo yake ya vita yamekaribia kufikiwa.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran asema "hawana nia ya kufanya mazungumzo kwa sasa", huku Marekani ikisisitiza kuwa malengo yake ya vita yamekaribia kufikiwa.
Soma zaidi hapa...
Takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) za Desemba 2025 zinaonyesha kuwa Tanzania...
Jina la Doreen Mangesho linaendelea kujijenga taratibu katika tasnia ya fedha na uongozi wa...
Ripoti ya Umoja wa mataifa inasema familia nyingi zilizokimbia makazi yao kwenye majimbo matatu ya Kordofan nchini Sudan hazijapokea msaada wowote wa kibinadamu katika miezi mitatu iliyopita. Imechapishwa: 26/03/2026 –…
Jeshi la Iran lilikuwa limeathiriwa na vita vya miaka mingi, na vikwazo vya Marekani vilimaanisha kwamba hakukuwa na njia rahisi ya kujenga upya jeshi lenye nguvu.
Mji wa kihistoria wa Bagamoyo umetajwa miongoni mwa vituo muhimu vilivyotumika kusafirisha watumwa katika ukanda wa Afrika Mashariki. Kwa sasa Bagamoyo inatumika kama sehemu ya kujifunza na kukumbuka historia hiyo,…
Al-Ittihad wamefufua upya juhudi zao za kumsajili mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah, mshambuliaji wa Everton Iliman Ndiaye yuko miongoni mwa wanaotazamwa na Manchester United, na Barcelona wanapanga kumsajili beki wa…
Katika mahojiano na televisheni ya kitaifa, Waziri wa mambo ya kigeni wa Iran Abbas Araqchi, aliweka wazi kuwa mapendekezo ya Marekani ya kumaliza vita yanapitiwa na mamlaka ya juu jijini…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
MTONI QUEENS: “…magoli yote mawili ni ya golikipa” Hatua ya sita bora ligi ya wanawake mkoa wa Dar es Salaam inazidi kuwasha moto, ambapo leo Rangi Tatu na Mtoni Queens…
FIFA SERIES | RWANDA “…kama mnavyonijua mimi ni mshindani, napenda kupata matokeo mazuri” Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi anaeleza jinsi atakavyoitumia michuano ya FIFA Series kama sehemu ya maandalizi…
MZIZIMA DERBY: “….tumewafunga mara mbili msimu huu” Azam FC imerejea rasmi mazoezini huku ikianza kuzitupia jicho mechi mbili zijazo kwenye Ligi Kuu ya NBC ikiwemo Mzizima Derby dhidi ya Simba…
ALLY KAMWE: “……rudi mzigoni, lete watu” Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe asisitiza ombi lake kwa rais wa klabu hiyo, Hersi Said kuhusu usajili, afafanua sababu za…
Askofu Paul Kariuki wa Jimbo Katoliki Wote alijiuzulu kutokana na changamoto za kiafya. Papa Leo XIV alimteua Mchungaji Simon Peter Kamomoe kuwa msimamizi wa kitume.
FIFA Yaitambua Morocco kama Bingwa wa AFCON 2025 Baada ya Uamuzi Mtata Ulioipokonya Senegal Ubingwa, Na Kuiinua Safu ya FIFA ya Morocco Kwa Kiasi Kikubwa.
Baba mmoja alikabiliana na malezi na kuuza bidhaa akiwa na mtoto wake mgongoni, akivutia mtandao kwa uthabiti wake baada ya mke wake kumhepa sababu ya umaskini
Soma zaidi hapa...
Rais Ruto aahirisha ziara ya Kisii, aondoa umakini wake Mlima Kenya na kuupeleka iliyokuwa ngome ya Raila huku Gen Z wakitishia kumng'atua kupitia kura ya 2027.
Soma zaidi hapa...
ARUSHA: COMPASSION International Tanzania reached more than 123,000 youth and children in the 2025/26 financial year, as part of its commitment to support vulnerable families across the country. The organisation…
NDOTO za vijana wanaopenda soka kutoka mtaani zimepata fursa mpya kufuatia ushirikiano kati ya Yanga na kampuni ya Emwani ambao utawafanya kupata nafasi ya kujiunga na mradi wa Yanga Soccer…
Ushirikiano huo wa miaka mitatu, unakwenda kuweka msingi imara wa kuunganisha nguvu kati ya...
Mvua kubwa inayoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini imesababisha maafa ya vifo vya watu...
KOCHA Mkuu wa KenGold, Jumanne Challe, amesema kukosa balansi katika eneo la kujilinda na ushambuliaji ndio sababu kubwa ya kikosi hicho kutokuwa na mwenendo mzuri msimu huu, japo, anaridhishwa na…
INAELEZWA kwamba, mshambuliaji wa Coastal Union, Adam Salamba, ameamua kujiweka kando na timu hiyo kwa sasa, baada ya kudaiwa hajamaliziwa kiasi cha fedha za usajili walizokubaliana awali, tangu amejiunga na…
Mbunge Millie Odhiambo aliwalaani Wakenya wanaoeneza uongo kuhusu shambulio la tindikali la Mary Clare. Alisisitiza hatari za kumlaumu mwathiriwa na hitaji la haki.
Soma zaidi hapa...
Brian Okello alizungumzia jaribio lake la kishujaa la kumuokoa mwanamke aliyekuwa anavamiwa na wahudumu wa boda, akielezea kilichotokea akajikuta anapepea mitandaoni
VIWANGO vizuri vinavyoonyeshwa na makipa watatu wa Azam, Aishi Manula, Zuberi Foba na Issa Fofana, vimempa matumaini makubwa ya kufanya vizuri kocha mkuu wa kikosi hicho, Mkongomani Florent Ibenge, katika…
Seneta Edwin Sifuna anaonya dhidi ya vikengeushi kutoka kwa miradi ya Rais Ruto, akisisitiza ukosefu wa usalama na huduma mbovu Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta.
KOCHA wa Singida Black Stars, Mkenya David Ouma amesema safu ya ushambuliaji ya timu hiyo inatakiwa kuongeza umakini wa kutumia vizuri nafasi zinazotengenezwa, huku washambuliaji, Elvis Rupia na Joseph Guede,…
TIMU ya Taifa ‘Taifa Stars’, leo itakabiliana na Liechtenstein katika mechi ya Fifa Series kwenye Uwanja wa Kigali Pele nchini Rwanda kuanzia saa 11:30 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
TIMU ya Mafunzo, imeanza kujinoa kwa ajili ya kumaliza vizuri msimu huu wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) katika mechi kumi zilizobaki ambapo itaanza na KVZ.
KIUNGO mshambuliaji wa Coastal Union, Cleophas Mkandala amesema licha ya kiwango bora alichonacho kwa sasa, lakini hafurahishwi na matokeo ya jumla ya timu hiyo akikiri kuwa inahitajika nguvu ya ziada…
Wataalamu bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu kutoka mataifa zaidi ya 20 duniani,...
Iran imepokea mpango wa mapendekezo 15 kutoka kwa Marekani kuhusu namna ya kumaliza vita vinavyoendelea Mashariki ya Kati, huku Tehran ikisema Marekani inashauriana peke yake kuhusu kumaliza vita. Imechapishwa: 25/03/2026…
Zaidi ya watoto na vijana 120,000 wanaoishi katika kaya zenye mazingira magumu nchini wamepata...
Baba ya Tryver Adisa alisimulia huzuni ya kumpata binti yake akiwa amekata roho. Uchunguzi wa maiti ulifanyika ili kujua sababu ya kifo chake cha ghafla.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuchakachua mbolea na...
Matunda ya kampeni hii yanazidi kuongezeka kwani zaidi ya asilimia 95 ya miamala yote...
Mvutano kati ya Marekani na Iran umechukua sura mpya baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump...
WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba amesema Dira Mpya ya Taifa ya Maendeleo inatarajiwa kuanza kutumika hadi mwaka 2050, huku akiwahimiza wadau kuandaa vipindi vitakavyoelezea historia na hatua za maendeleo zilizofikiwa…
TIMU ya Taifa ya wachezaji wa tenesi kwa watu wenye ulemavu (Wheelchair Tennis) imeomba msaada wa Shilingi milioni 40 ili kufanikisha safari ya kushiriki mashindano ya kimataifa yatakayofanyika nchini Morocco…
Barcelona inapanga kufanya mabadiliko katika kikosi chake kwa kumuuza mshambuliaji Ferran...
Katika nafasi hiyo mpya, Kikwete anatarajiwa kusaidia juhudi za umoja huo kukabiliana na...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Bukoba imemwachia huru Deus Boniphace, baada ya kujiridhisha kuwa...
GHANA: Slavery was the “most horrendous crime that took place in the history of mankind”, Ghana’s foreign minister has told the BBC ahead of a landmark vote at the UN…