Jamaa wa Utawala Ashtuka CCTV Ikiwanasa Wanaume 2 Wakifanya Kitendo cha Kuchukiza Dukani Mwake Usiku
Mfanyabiashara mmoja Utawala alianika video ya cctv za wanaume wawili ndani ya duka lake usiku. Waliiba mitungi ya gesi katika hatua iliyomwacha na huzuni.