‘Tumeimarisha mazingira ya biashara, uwekezaji kukuza viwanda’
DODOMA; Serikali imesisitiza azma yake ya kuendelea kuweka mazingira bora ya ufanyaji biashara na uwekezaji nchini, ili kuchochea ukuaji wa sekta za viwanda, kuongeza fursa za ajira, na kukuza mchango…