Mbunge mwenye hasira amfuta kazi meneja wa mitandao ya kijamii, amtishia adhabu: “Rudisha Kamera”
Mbunge wa UDA ameapa kufanya kazi na wapelelezi kutoka ofisi yz Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) ili kumkamata mfanyakazi huyo aliyemtimua.