đź”´MCHEZO SUPA: BADILISHA MACHI YAKO KWA BUKU TU
đź”´MCHEZO SUPA: BADILISHA MACHI YAKO KWA BUKU TU.. MACHI 16, 2026
đź”´MCHEZO SUPA: BADILISHA MACHI YAKO KWA BUKU TU.. MACHI 16, 2026
Rais mpya wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), Hasheem Thabeet, amekabidhiwa rasmi ofisi, huku akieleza mikakati na vipaumbele vyake…. Hasheem pia amepokea taarifa ya utendaji kutoka kwa rais…
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tabora, imesitisha mkutano wa sherehe ya Injili ya Miujiza ambao ulikuwa ufanyike kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Kazembe Manispaa ya Tabora.…
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba, ameagiza kufanyika kwa uchunguzi wa kina kuhusu ununuzi wa mabati yasiyokidhi viwango yaliyokusudiwa kutumika katika mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Katavi…
“Ni kweli sekta binafsi ndio injini ya uchumi, hii inatoa wito kwa mamlaka za Serikali, kuachana na kufanya vitu ambavyo sekta binafsi inaweza ikafanya….”Bw.David Kafulila-Mkurugenzi Mtendaji PPP #Dakika45 Powered by…
“..Kwa taarifa tu, ni kwamba asilimia 14 ya viwanja vya ndege duniani vinaendeshwa kwa utaratibu wa ubia kufikia mwaka 2023...na vinabeba asilimia 40 ya abiria wote duniani ..”Bw.David Kafulila-Mkurugenzi Mtendaji…
“...Mwisho wa siku Serikali inafanya maamuzi kwa niaba ya wananchi, wananchi wakipiga kelele wanapaswa kusikilizwa, kwenye kuwasikiliza inasaidia kule ndani mnapokuwa mnachakata kusikiliza hivi wakosoaji wa jambo hili wao mawazo…
Zaidi ya kaya 100 katika vijiji vinne vya Halmashauri ya Mtama zimebaki bila makazi baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa, ambayo pia yameharibu mazao mbalimbali. #AzamTVUpdates Mhariri…
Mvutano wa kisiasa duniani umechukua sura mpya baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuonya kuwa endapo nchi wanachama wa NATO hazitashiriki katika juhudi za kufungua Mlango wa Bahari wa…
Mkutano wa Injili uliokuwa ufanyike katika Manispaa ya Tabora kuanzia Alhamisi hii umezuiwa na Mkuu wa Mkoa huo, Paul Chacha kwa hofu ya viashiria vya matendo yaliyo kinyume na maadili,…
#HABARI: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kamati yake ya kudumu Viwanda, Biashara, Kilimo limepongeza mafanikio yaliyotokana na kampeni ya kitaifa ya chanjo na utambuzi wa mifugo nchini…
đź”´DAKIKA 45 NA ARETAS LYMO - DAVID KAFULILA - MKURUGENZI WA KITUO CHA UBIA (PPPC)....MACHI 16, 2026
#HABARI: Vyombo vya Dola mkoani Tabora vimesitisha mkutano wa kidini uliopangwa kufanyika Machi 19 hadi 22, uliotarajiwa kuongozwa na kiongozi kutoka Amerika Kaskazini. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya kubainika usambazaji…
#HABARI: Wizara ya Maliasili na Utalii, kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wilayani Nanyumbu, imetangaza kuwa uzalishaji wa mazao ya nyuki umeimarika kwa kasi na kufikia zaidi ya…
Baadhi ya wananchi wamesema kutokana na gharama kubwa za matibabu na dawa katika hospitali za umma, kuna haja kwa serikali kufanya mapitio upya ili kupunguza mzigo kwa wananchi wasiokuwa na…
#HABARI: Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera, Bw. Faris Buruhani, amekutana na waendesha bodaboda na wajasiriamali katika Stendi Kuu ya Biharamulo ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa Operesheni ya "Vijana…
Mafundisho ya Qur'an katika Mwezi Mtukufu wa Ramadan yameelezwa kuwa yanahimiza amani, upendo na mshikamano katika jamii, jambo ambalo limechangia kuimarisha utulivu na kufanya mazingira kuwa rafiki kwa maisha ya…
"....kwa Wabunge ambao ni wapya kwenye Kamati hii hiki Chuo kina mabadiliko makubwa sana tofauti na kilivyokuwa huko nyuma na mara nyingi Watanzania wengi walipokuwa wanasikia NIT akili yao yote…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Segerea (CHAUMMA), Mhe. Agnesta Kaiza, ametembelea Kituo cha Watoto Yatima cha Mwana Orphanage jijini Dar es Salaam, na kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali yakiwemo chakula,…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Kimira, Kata ya Romu...
Wanawake 15 wa kikundi cha Wasikivu katika Mtaa wa Kabangaja, Manispaa ya Ilemela mkoani...
DAR ES SALAAM: Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kimeboresha mifumo ya Tehama ambayo itasaidia kufundisha kwa njia ya mtandao ndani na nje ya chuo. Akizungumza leo Machi 16, jijini…
#MICHEZO:Tuhuma za timu mbalimbali kuwa na tabia za kupulizia kemikali katika vyumba vya kubadilishia nguo za timu pinzani hazipaswi kupuuzwa. @hoseamchopa kupitia Kambi ya Michezo ya Radio One, amezungumza na…
MOROGORO: WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki amesema bila majisafi na salama jamii haiwezi kustawi, uchumi hauwezi kukua na mazingira hayawezi kuendelea. Kufuatia umuhimu huo jamii inalo…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa Kijiji cha Mlangoni, Wilaya ya...
Wadau mbalimbali wakiwemo wananchi, taasisi wezeshi na uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya...
Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba ameagiza kukamatwa kwa watu wote waliohusika na ununuzi wa...
Maafisa wa upelelezi Kiambu wamewakamata washukiwa wawili akiwemo Mnigeria anayehusishwa na biashara ya mihadarati. Ushahidi muhimu ulipatikana kwenye eneo
MABADILIKO ya sheria za soka ambazo kimsingi zitaanza kufanya kazi wakati wa Kombe la Dunia 2026 kabla ya kuhamia karika ligi mbalimbali, yamemuibua mkufunzi wa waamuzi nchini, Soud Abdi ambaye…
Wizara ya afya ,Wizara ya mambo ya ndani ya nchi ,Wizara ya elimu ,Wizara ya ujenzi pamoja na shirika la maendeleo la watu wa Japan wameandaa mradi wa kuboresha huduma…
DAR ES SALAAM: THE Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Mahmoud Thabit Kombo, has been sworn in as a Member of the East African Legislative Assembly (EALA). The…
Maadhimisho hayo yanatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi wa dini, wanasiasa, wanajamii na wananchi...
Imeelezwa ni siku 12 sasa familia imegubikwa na giza nene kuhusu aliko mtoto huyo kumsaka bila...
DAR ES SALAAM: IN efforts to strengthen Tanzania’s communications infrastructure and expand access to reliable internet services across the country, the Tanzania Telecommunications Corporation (TTCL) has officially launched a new…
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has allocated 4bn/- to Muhimbili National Hospital so that it can continue the construction of a four-floor private ward building worth 21bn/- Speaking today,…
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, amewataka watumishi wa Wizara...
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has announced plans to increase the number of specialists in Information and Communication Technology (ICT), Artificial Intelligence (AI) and Data Science by sponsoring Tanzanian…
Wito wa Trump unakuja wakati vita kati ya Israel, anayeshirikiana na Marekani, dhidi ya Iran...
#HABARI: Watu wawili wamefariki dunia na wengine wanne wa familia moja wamejeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika Kijiji cha Kilosa mpepo, wilayani Malinyi mkoani…
Wakati mwili wa aliyekuwa mtumishi wa afya, Amos Sika (33), ukipatikana, watu wawili wamefariki...
#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, leo Machi 16, 2026 imefanya ziara katika Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania jijini Dar es Salaam (TCAA), na kujionea utendaji kazi…
"....Mheshimiwa Waziri tunaomba umsimamie Mkandarasi yapo malalamiko ya malipo ambayo yanatolewa kwa wafanyakazi ambayo si haki stahiki kwa hiyo ni vizuri mkakaa naye mkaangalia kwa upana mazingira ambayo anawalipa wale…
#HABARI: Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, amesema mdahalo wa wadau kuhusu maji na jinsia ni fursa muhimu ya kuhakikisha wanawake, vijana na makundi maalum wanapata upatikanaji…
Soma zaidi hapa...
DAR ES SALAAM: THE Parliamentary Standing Committee on Infrastructure has urged the government to ensure that workers’ rights are protected and that the contractor is paid on time so that…