Dar, Kinshasa trade soars as cargo hits 6 million tonnes
COAST REGION: CARGO volumes between Tanzania and the Democratic Republic of Congo (DRC) have more than doubled in recent years, rising from 2.95 million tonnes in 2021/22 to 5.995 million…
COAST REGION: CARGO volumes between Tanzania and the Democratic Republic of Congo (DRC) have more than doubled in recent years, rising from 2.95 million tonnes in 2021/22 to 5.995 million…
Maseneta Elizabeth Warren na Chriss Van Hollen wa Marekani wametoa wito wa kutimuliwa Waziri wa Vita wa nchi hiyo, Pete Hegseth, kwa sababu ya kutenda jinai ya kuua watoto wadogo…
Brigedi za Shahidi Izzuddin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) zimepongeza mashambulizi yaliyofanywa na Iran katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) katika kujibu…
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema katika ujumbe kuwa: Watu wakubwa wa Iran kwa mara nyingine wameonyesha kwa hatua zao thabiti mitaani kwamba dhamiri iliyo…
Akiba ya mafuta ya Marekani imepungua hadi kiwango cha chini kabisa katika kipindi cha miaka 44 iliyopita, na hayo ni kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Marekani.
Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC amesema asilimia kubwa ya makombora 30 ya balestiki yaliyovumishwa na Jamhuri ya…
Rais Alexender Lukashenko wa Belarus amelaani mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran na kusema kuwa wavamizi hao hawajifikia hata lengo lao moja.
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka nchi za Kiislamu kuwa macho dhidi ya njama za maadui wa pamoja wa Umma wa Kiislamu.
Waziri Mkuu wa Japan amesema wazi katika kikao cha bunge kwamba nchi yakehaina mpango wa kutuma vikosi vya kijeshi kwa ajili ya operesheni za kuondoa mabomu ya baharini katika Lango…
Gundua mapato ya madereva bora wa WRC wakati Safari Rally ya 2026 inapoendelea Naivasha. Gundua maarifa kuhusu mikataba na hali ngumu wanazokabiliana nazo.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kwamba: “Taifa la Iran, kwa umoja na mshikamano, litaendelea kusimama pamoja na misingi na malengo yake, na halitarudi nyuma kamwe.”
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon ametangaza kuwa, harakati hiyo imejiandaa kwa ajili ya mapambano ya muda mrefu.
Ni wazi kuwa chapa (brand) ya Staa wa Bongofleva, Nandy (33), inazidi kupiga hatua katika...
Kundi moja la wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa limelaani vikali mashambulizi na jinai zinazofanywa na Marekani na Israel dhidi ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya…
Kiongozi mpya wa Iran anaonekana tayari kufanya maji kuwa silaha ya vita katika eneo hilo.
Muonekano mpya wa nguli wa mpira wa miguu Denis Oliech unazua wasiwasi miongoni mwa Wakenya. Baadhi walihoji kama yuko sawa, huku wengine wakimtakia kila la kheri.
Msajili John Cox Lorionokou akataa "Linda Mwananchi Party" ya Charles Wanyonyi, akitoa mfano wa "Linda Mkenya, Boresha Kenya," na kuzua mvutano wa kisiasa.
Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta inaomboleza muuguzi mkongwe Caroline Ruguru Kirimi, ambaye aliwahudumia wagonjwa kwa huruma kwa miaka 28, ameacha urithi wa huduma.
Rapa wa Marekani, Travis Scott pamoja na wenzake wameiomba Mahakama Kuu (Supreme Court of the...
Trump ametoa wito kwa Iran kuweka chini silaha zake na "kuokoa kile kilichobaki cha nchi yao, ambacho si kikubwa".
Ndege zisizo na rubani, makombora na ndege za kivita zimekuwa jambo la kawaida kwa mabaharia wengi waliokwama kwenye meli eneo la Ghuba.
Washauri 21 wa Rais William Ruto wamerejeshwa kazini na Mahakama ya Rufaa, na kuhakikisha mwendelezo licha ya changamoto za kisheria kuhusu uhalali wake kikatiba.
Upinzani ulioungana unapanga mkakati wa kisiasa ambao unatumai utamnyima William Ruto muhula wa pili kwa kukopa mbinu kutoka kwa Uchaguzi Mkuu wa 2002.
Seneta Edwin Sifuna alimzidi ujanja Spika wa Seneti Amason Kingi dhidi ya TikTok, na kuwachekesha Waneya mtabdaoni wakati wa mjadala mkali wa bunge.
Vene jamani bado nyota inang'ara kwake...Cholo anaweweseka baada ya kusikia hivyo. Mwamini hataki kabisa kumsikia mama yake. Usikose kutazama #KombolelaSeries kuanzia saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD chaneli namba 106…
Yavush amerudisha visa upyaaaa...Usikose kutazama 6 of Us leo saa 3:00 USIKU kupitia #AzamTWO pekee. (Feed generated with FetchRSS)
Raphael Tuju anadai uvamizi mkubwa wa polisi katika mali yake ya Dari Business Park huko Karen, Nairobi, bila kudai uhalali wowote wa kisheria kwa operesheni hiyo.
Romero ametoa kauli hiyo Machi 12, 2026 mjini Geneva wakati akihitimisha mjadala uliokuwa na...
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Huwa hana majivuno pale anapofaulu. Akifanikiwa hutumia...
Unaweza kusema dunia imejaa ubinafsi. Hii ni kutokana na tabia ya baadhi ya watu ya nipe ni kupe.
Kuanzia endometriosis na saratani ya shingo ya kizazi, hadi kisukari na matatizo ya tezi dume, wanasayansi wanagundua kuwa damu ya hedhi inatoa fursa ya kujua ustawi wa wanawake.
OSLO, NORWAY: As the world continues to witness the effects of the war between the United States, Israel and Iran, African media outlets have been urged to focus on writing…
Kwa mujibu wa wadau hao, katika zama za sayansi na teknolojia mwanafunzi hapaswi kutishwa na...
Soma zaidi hapa...
Serikali ipo mbioni kuanzisha mpango wa mageuzi ya kijani utakaolenga kukijanisha Tanzania na...
Marcus Rashford anaweza kurudi Manchester United msimu huu wa joto, Tottenham wanatafuta mchezaji wa kuchukua nafasi ya Igor Tudor na Arsenal wanaandaa mkataba na Leon Goretzka.
Lakini kati ya wote waliopo baharini, macho yangu yanavutiwa zaidi na wanawake wawili walioko...
Mtambi amesema mvua tayari zimeanza kunyesha na kwa mujibu wa Tanzania Meteorological Authority...
Raia wa Iran wanasema wanajificha nyumbani na ni mara chache wao kutoka nje kwenye mitaa isiyo na watu huku milipuko ya mabomu ya Marekani na Israel dhidi ya Iran ikiendelea.
| #CAFCL Masandawana kibabe wananyakua alama tatu mbele ya Stade Malien FT: Mamelodi 3-0 Stade Malien Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD Je unadhani Stade Malien watalipa kisasi kwenye mchezo wa marudiano? #CAFCL…
Wakati tathmini za utendaji wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano...
80' | #CAFCL Chuma ya tatu kwa Masandawana..... Mamelodi 3-0 Stade Malien LIVE #AzamSports1HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #MamelodiSundown #StadeMalien (Feed generated with FetchRSS)
Moja ya mafanikio makubwa zaidi ya OSHA hivi sasa ni utoaji wa huduma zake kwa njia ya kidijitali.
58' | #CAFCL Chuma ya pilii.........kwa Mamelodi Mamelodi 2-0 Stade Malien LIVE #AzamSports1HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #MamelodiSundown #StadeMalien (Feed generated with FetchRSS)
Benki ya CRDB imezindua kampeni ijulikanayo kwa jina la “Fainali Ndo Mpango na TemboCard Visa”...
Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya amemtaka mkandarasi kutoka kampuni ya Jasco...
Raphael Tuju alimlalamikia Jaji Mkuu Martha Koome, akidai jaji alimuomba rushwa ya KSh 10 milioni katika kesi yake na Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki.
MAPUMZIKO | #CAFCL Chuma ya Khuliso Mudau imewapa uongozi Mamelodi dakika 45 za mwanzo HT: Mamelodi 1-0 Stade Malien LIVE #AzamSports1HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #MamelodiSundown #StadeMalien (Feed generated with FetchRSS)
Serikali kupitia Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii imejipanga kuimarisha ufuatiliaji na...
Mwanamke mmoja huko Busia hatimaye alipata nyumba ambayo wasamaria wema walikuwa wamemuahidi mara tu baada ya kifo cha mumewe mapema wiki hii. Walimnunulia hata viti