Sherehe za Madaraka Dei 2026: Wajir yajiandaa kwa hafla ya kitaifa, ya kwanza kihistoria
Wajir itakuwa mwenyeji wa Siku ya Madaraka kwa mara ya kwanza tangu uhuru, katika uwanja mpya wa viti 10,000 na maboresho makubwa yanatarajiwa kuangazia eneo hilo.