Waziri: Tunatambua yanayoendelea soko la Darajani
Wakitoa maoni yao kuhusu suala hilo, baadhi ya wananchi wamesema wanasikitishwa na vitendo vya...
Wakitoa maoni yao kuhusu suala hilo, baadhi ya wananchi wamesema wanasikitishwa na vitendo vya...
Hafla ya mazishi ya Mashahidi wa Vita vya Ramadhani imefanyika kuanzia Uwanja wa Mapinduzi (Maidan-e Enqelab) hadi Mi‘raj al-Shuhadaa jijini Tehran, ikiambatana na mahudhurio makubwa ya wananchi waliokuja kutoa heshima…
BUKOBA: THE United Kingdom High Commission has commended the Tanzanian government for the strategies and efforts it implemented in responding to infectious disease outbreaks, particularly the Marburg virus disease that…
Mfanyabiashara Rostam Azizi amesema uwekezaji wake katika kampuni ya Nation Media Group (NMG)...
Linet Mwanja alinusurika katika ajali Kakamega, akishuhudia mkasa huku trela likiwagonga waokoaji na kusababisha vifo vya watu 15 na wengine kadhaa kujeruhiwa.
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz ametangaza mnamo Machi 11 kwamba mashambulizi yaliyoanzishwa kwa pamoja na Israel na Marekani dhidi ya Iran mnamo Februari 28 yataendelea “bila kikomo.” Asubuhi…
ZANZIBAR: THE government of Zanzibar has prohibited the sale of alcohol in all areas of the Isles that don’t involve tourists during the holy month of Ramadan, the Minister of…
Chris Murphy, Seneta wa chama cha Democrat nchini Marekani, kufuatia kikao cha faragha na maafisa wa utawala wa Rais Donald Trump kuhusu uvamizi wa kijeshi dhidi ya Iran, amekosoa mtazamo…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anatarajiwa nchini Uhispania “katika siku zijazo,” Waziri wa Ulinzi wa Uhispania Margarita Robles ametangaza Jumatano, bila kutaja tarehe ya ziara hiyo. Imechapishwa: 11/03/2026 – 13:38…
TABORA: THE Tabora Regional Road Board has approved the 50.9bn/- budget for the Rural and Urban Roads Agency (TARURA) for the maintenance, construction, and rehabilitation of road infrastructure for the…
Eneo la kimkakati la kiuchumi la kisiwa cha Kharg linaiweka katika hatari ya kulengwa kijeshi.
Rapa na mtayarishaji wa muziki kutoka Marekani Dr. Dre ameendelea kuandika historia katika...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amethibtihisha kuuawa kwa raia wa taifa hilo aliyekuwa mfanyikazi wa Umoja wa Mataifa katika shambulio jijini Goma, DR Congo. Imechapishwa: 11/03/2026 – 13:10Imehaririwa: 11/03/2026 –…
Mufti Mkuu wa Russia ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Masuala ya Kidini ya Waislamu wa Shirikisho la Russia ametuma ujumbe akimpongeza Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei kwa kuchaguliwa kuwa…
Mahakama iliamuru kuuzwa kwa nyumba ya Julia Albin ili kulipa deni la mtoto wake, na kumwacha yeye katika hali ya kukata tamaa. Wakazi waliitaka serikali kuingilia.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana alasiri hii kwa saa za New York, Marekani katika kikao cha pili leo kujadili mgogoro unaozidi kuongezeka katika Mashariki ya Kati.
Ofisi ya Pamoja ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, UNJHRO, imeonya kuhusu kiwango kikubwa cha ukatili wa kingono unaohusiana na migogoro katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC),…
Shirika la UNICEF limesema limesikitishwa na kushtushwa na kifo cha mfanyakazi wake Karine Buisset kilichotokea katika shambulio linaloripotiwa kufanywa na droni katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhriy a Kidemokrasia…
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanaonya kuhusu kuongezeka kwa mahitaji ya kibinadamu huku idadi ya watu wanaokimbia makazi yao ikiongezeka, huduma za msingi zikikabiliwa na shinikizo, na kuyumba kwa utulivu…
Baaza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limekutana mjini New York Marekani kujadili hali ya kibinadamu inayozidi kuzorota nchini Lebanon. Akizungumza katika mjadala wa Baraza hilo jijini New York…
Oluwaseun Ayodeji Osowobi, mwanaharakati wa haki za wanawake nchini Nigeria amezungumzia umuhimu wa kushirikisha wanaume katika harakati za kupigania haki za wanawake duniani wasichana. Rashid Malekela na maelezo zaidi.
Mkutano wa 70 wa Kamisheni ya Hali ya wanawake Duniani CSW70 leo unaendelea hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa New York ukiwa umeingia siku ya 3. Na vijana hawakusahaulika…
Kuzimwa kwa huduma ya intaneti na usumbufu mkubwa uliotokea katika siku za hivi karibuni nchini Urusi utaendelea kutumika “kwa muda unaohitajika” ili kuhakikisha “usalama wa raia” licha ya vitisho vya…
DAR ES SALAAM: China has reiterated its commitment to deepen cooperation with Tanzania in industrial development, reinforcing a growing partnership centred on manufacturing, technology transfer and skills development. The assurance…
DAR ES SALAAM: TAIFA Stars and Young Africans defender, Dickson Job has undergone a knee surgery in South Africa today, March 11, 2026, following an injury sustained during their barren…
DAR ES SALAAM: VIJANA ambao wanamiliki kampuni changa wameshauriwa kuwasilisha mawazo yao ya ubunifu, ili kuendelea kujiimarisha kwenye uwekezaji. Akizungumza jana, Rodrique Msechu, mwanzilishi wa kampuni ya Serengeti Business Angels…
Mwanamume mmoja wa Webuye amefiwa na mama na kaka zake watatu kwenye ajali ya barabara ya Webuye-Kitale iliyoua watu 15. Serikali ya Bungoma iliahidi kuwasaidia
Iran bado inaendelea kuishambulia Israel, na kambi za kijeshi za Marekani katika mataifa ya Ghuba kwa kutumia makombora na ndege zisizo na rubani.
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has continued its efforts to build the capacity of laboratory experts from 14 African Union member countries in efforts to ensure they have common…
LAGOS: THE Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority (TISEZA) has convened a high-level Forum in Lagos, Nigeria, led by the Tanzanian High Commissioner to Nigeria, Selestine Kakele, High alongside…
LONDON: THE Minister of State in the President’s Office (Special Duties), Professor Palamagamba Kabudi, held talks with Canada’s Deputy Minister of Foreign Affairs, Robert Oliphant, to discuss ways of strengthening…
DODOMA: THE Ministry of Health has enhanced efforts to strengthen the availability of medicines, medical supplies, diagnostics, and other health commodities across the country, with availability reaching 88.8 percent in…
DAR ES SALAAM: THE Chief Medical Officer of the Government, Dr Grace Magembe, has instructed Tanzanian employers to ensure every employee has guaranteed access to medical care, a move aimed…
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ameagiza viongozi wa halmashauri zote mkoani humo...
KAGERA: Ubalozi wa Uingereza nchini umeipongeza Serikali ya Tanzania kwa mikakati na jitihada za kukabiliana na magonjwa ya mlipuko hasa ugonjwa wa Marburg uliotokea mkoani Kagera kwa vipindi viwili tofauti.…
KIGOMA: The Health Service Quality Assurance Unit, in collaboration with the World Health Organization (WHO), has launched an assessment of the monitoring system for controlling infections associated with healthcare services.…
Siku zote ubunifu huleta upekee. Hilo linajionesha kwa Jean Jacques Ndjoli mbunifu wa picha...
Hastings anaamini vita ambavyo Donald Trump anapigana sasa katika Mashariki ya Kati vinamnufaisha mtu mmoja zaidi kuliko mtu mwingine yeyote katika eneo hilo, yaani Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu
DODOMA: The President of the United Republic of Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan, has officially welcomed a newborn baby girl who was abandoned in Nzega town, Tabora Region, and received…
MOROGORO: MUHIMBILI National Hospital (MNH) in collaboration with Vodacom Foundation, has begun providing free specialist services to citizens in Kilosa District in Morogoro Region. A statement issued by MNH said…
PWANI: Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) wametakiwa kuzingatia uadilifu, uwazi na weledi katika kuwasilisha na kushughulikia changamoto za watumishi wanaowawakilisha, ili kuongeza…
Ziara ya baba mmoja kwa MMUST ilifichua mkasa wa wanafunzi wawili waliopatikana wamefariki, na kuibua wimbi la huzuni mjini Kakamega kwa wakazi wakijiuliza maswali.
Katika taarifa hiyo, Mnyika alimpatia mwawakilishi huyo uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho...
Chen amesema China na Tanzania zimeingia katika makubaliano yanayolenga kuunga mkono maendeleo...
DODOMA: Rais Dk Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike leo Machi 11, 2026 Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Mtoto huyo alipewa jina la Grace Samia Suluhu, alitelekezwa mjini Nzega,…
Maandamano makubwa ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds yanatarajiwa kufanyika katika miji na maeneo yote ya Iran Ijumaa hii.
Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola, amewataka wachezaji wake kucheza kwa kujiamini...
WAKATI Mbeya City ikitimkia Tanzanite Kwaraa mkoani Manyara kwa ajili ya mechi yake dhidi ya Singida Black Stars, kocha mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime ameonesha kuridhishwa na ubora wa…