“…..wakati wa jioni Bunge lilipokuwa limerejea Mheshimiwa Ado Shaibu Ado Mbunge, alipata fursa ya kuchangia hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora……mara bada ya muda wake wa kuchangia kuisha Kiti kilimjulisha juu ya suala hilo…..baada ya maelekezo hayo Mheshimiwa Ado aliendelea kuzungumza……ni vema kujirekebisha na kujiepusha na vitendo hivyo vya utovu wa nidhamu….” Spika wa Bunge – Mussa Zungu.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *