#HABARI: Mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya mwaka mmoja kati ya ndugu watatu wa familia moja na mjomba wao wa Kijiji cha Bukamba Kata ya Lyabusalu wilayani Shinyanga uliodumu kwa zaidi ya mwaka mmoja umemalizika.
Msaada huo ambao umetatuliwa na timu ya msaada wa kisheria ya Mama Samia Legal Aid Campaign baada ya kuzikutanisha pande zote mbili na kutatua mgogoro huo ambao unadaiwa kuivuruga familia muda mrefu.
Awali, kabla ya mgogoro kutatuliwa, ndugu wawili kati ya watatu wameeleza kuwa miaka mitano iliyopita mama yao aliugua akiwa mkoani Morogoro na iliwalazimu kumuuzia mjomba wao ambaye ni ndugu wa mama yao shamba la hekari sita ili waweze kumtibu.
Na hatimaye timu ya Mama Samia Legal Aid imeeleza kuwa kufanikiwa kuutatua mgigoro huo na kumkabidhi Bwana Musa Msingita shamba.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
(Feed generated with FetchRSS)