#HABARI: Zaidi ya shilingi milioni 167.7 fedha za Serikali zilizotumika kinyume na matumizi mkoani Singida zimerejeshwa serikalini baada ya ufuatiliaji wa fedha hizo ambazo ni za utekelezaji miradi mbalimbali ya maendeleo na uchunguzi wa mashtaka kwa kipindi cha kuanzia Januari hadi Machi, mwaka huu.
Hilo limethibitika wakati Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Singida Sosthenes Kibwengo akitoa taarifa ya utekelezaji huo wa miezi mitatu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)
