Wakati tamaduni nyingi za Kiafrika zikiendelea kufunikwa na usasa, jamii ya Wahehe wa Mkoa wa Iringa bado inaendelea kushikilia vazi lao la asili kama alama ya historia, heshima na utambulisho wao.

Vazi hilo, lenye thamani ya zaidi ya shilingi laki mbili, hupatikana katika maduka maalumu na limeendelea kuwa sehemu muhimu ya urithi wa kitamaduni wa jamii hiyo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *