Umaskini bado ni dharura ya kimataifa ya maendeleo – Guterres
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, amesema umaskini bado ni dharura ya kimataifa ya maendeleo na hivyo hatua za haraka za kimataifa zinatakiwa ili kukabiliana na umaskini,. Ameonya…