Viporo vitatu vya Diamond katika muziki
Dar es Salaam. Waswahili husema ahadi ni deni. Licha ya kuwa mwanamuziki wa Bongo Fleva Diamond...
Dar es Salaam. Waswahili husema ahadi ni deni. Licha ya kuwa mwanamuziki wa Bongo Fleva Diamond...
Waislamu na wananchi kwa ujumla nchini wameshauriwa kutumia sikukuu ya Eid El Adh’haa kurejesha...
Serikali mkoani Tanga, imetaka watoto wasimamiwe kuepusha madhara wanaposherehekea Sikukuu ya Eid.
Kaimu Mufti wa Tanzania, Sheikh Ally, amesema dunia inakabiliwa na mmomonyoko mkubwa wa maadili katika nyanja mbalimbali, ikiwemo siasa, uchumi na ustawi wa jamii. Ametoa wito kwa waumini kuungana kukemea…
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Abdulaziz (KAIA) uliopo Jeddah nchini Saudi Arabia umeendelea kuwa mhimili muhimu katika kurahisisha ibada ya Hijja, ukihudumia mamilioni ya mahujaji kutoka mataifa mbalimbali…
Mapambano ya mwanamke wa Afrika Kusini na ugonjwa adimu wa kuzeeka kwa jina Werner, yamezua huruma mtandaoni, yakionyesha vita vyake vya kuhuzunisha na ustahimilivu.
Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Afya, Dk Florence Samizi amesema Tanzania inaendelea na hatua za...
DAR ES SALAAM: MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umekemea vikali mauaji ya aliyekuwa mmliki wa kiwanda cha kuchakata chupa za plastiki cha XIL LI na kuitaka…
Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua alipuuzilia mbali madai kwamba washirika wa Rais William Ruto wanaweza kuvuruga Uchaguzi Mkuu ujao wa 2027 nchini Kenya.
Viongozi wa dini ya Kiislamu wametakiwa kuhakikisha vijana wanapewa kipaumbele katika kufundishwa maadili na misingi ya imani. Wito huo umetolewa na Kaimu Mufti wa Tanzania, Sheikh Ally Ngeruko, wakati wa…
Jeridah Andayi ameelezea jinsi msongo wa mawazo unavyosababisha ale sana, na kauli yake kuzua mjadala mtandaoni. Wanamtandao watoa maoni yao kuhusu kauli yake hiyo.
Mkuu wa mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian, amewataka wananchi kusherehekea sikukuu ya Eid Al-Adha kwa amani, huku wakizingatia ulinzi wa watoto. Akizungumza baada ya sala ya Eid iliyofanyika katika…
Moses Wetang'ula alikosoa ukosoaji wa Kanisa Katoliki katika siasa, akihimiza kutoegemea upande wowote katika siasa na mambo mengine muhimu ya kitaifa.
Simanzi na majonzi vimetawala katika Kitongoji cha Mwitini, Kijiji cha Mwasi Kusini, Wilaya ya...
DAR ES SALAAM: MKURUGENZI wa Kituo Cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC ) David Kafulila amesema Leo ni sikukuu muhimu sana kwa Waislamu wote duniani wakati…
Kulikuwa na uokoaji wa kusikitisha huko Gachie baada ya mtoto mchanga aliyezikwa akiwa hai kuokolewa na Wasahamaria Wema na kupelekwa haraka Hospitalini
Mzozo ulizuka wakati Nyoro alipohoji ni kwa nini Hazina iliongeza bajeti hadi KSh trilioni 4.8, lakini mgao wa mapato kwa kaunti ulibaki vile vile.
Akiwa mmoja wa watoto wa kifalme wanaofuatiliwa zaidi barani Asia. Princess Norodom Jenna...
Kutoka @officialbakhresagroup, #EidAlAdha 🕌 njema. (Feed generated with FetchRSS)
KenGen imetangaza mipango ya kutafuta leseni ya usafirishaji na usambazaji wa umeme ambayo itairuhusu kuuza moja kwa moja kwa wateja na kumaliza ukiritimba wa KPLC
Shirika la kmataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch, limeituhumu nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu UAE, kwa kuwezesha usajili na mafunzo ya mamluki wa Colombia…
Wanasayansi nchini Uganda, wameongeza kasi ya kutafuta chanjo ya virusi vya Ebola aina ya Bundibugyo vilivyoripotiwa nchini DRC, wakati huu wizara ya afya nchini humo ikisema mgonjwa mmoja kati ya…
Watu zaidi ya 30 wameuawa kufuatia mashambulizi mapya ya jeshi la Israeli, Kusini na Mashariki mwa nchi ya Lebanon, baada ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, kuagiza operesheni ya kijeshi dhidi…
Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa vitengo vyake vya ulinzi wa anga vimetungua ndege ya kivita ya Marekani isiyo na rubani, aina ya MQ-9…
Les données de suivi montrent plusieurs vols effectués par des avions de reconnaissance et des drones de l'US Navy au cours de la semaine dernière.
Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa onyo kali kuhusu mashambulizi ya kulipiza kisasi yatakayokuwa “mazito na makali zaidi” iwapo tawala za Marekani na Israel zitafanya uchokozi mpya.
Pakistan imekataa wito wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kuitaka kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel. Waziri wa Ulinzi wa Pakistan, Khawaja Asif, amesema pendekezo hilo…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov, amesema nchi yake inaunga mkono msukumo wa Afrika wa kutaka fidia kutoka kwa madola ya kikoloni. Akizungumza katika hafla ya kuadhimisha…
Waziri Mkuu wa zamani wa Senegal Ousmane Sonko jana alichaguliwa kuwa Spika wa Bunge la nchi hiyo akimrithi El Malick Ndiaye, aliyejiuzulu siku ya Jumapili.
Shirika la afya ya uzazi la Umoja wa Mataifa - UNFPA na Wakfu wa Fistula wanakadiria kuwa visa vipya vya fistula 1,000 hadi 3,000 hutokea nchini Kenya kila mwaka.
Leo ni Jumatano tarehe 10 Dhilhija 1447 Hijria sawa na 27 Mei 2026 ambayo ni sikukuu ya Idul Adh'ha, moja ya sikukuu kubwa za Kiislamu.
Madini muhimu ya Rare Earth Elements, yanaundwa na kundi la kemikali 17 zenye sifa za kipekee, na ni muhimu katika teknolojia mbalimbali za kisasa.
Heri ya Sikukuu ya Eid Al Adha. (Feed generated with FetchRSS)
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 26, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
DAR ES SALAAM: Tanzania is continuing to strengthen its position as a centre of cultural diplomacy, international cooperation and sports development through strategic partnerships that promote peace, dialogue and shared…
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu,Safari Field Challenge Msimu wa 11 inarudi! Tarehe 06 Juni 2026, saa tatu usiku moja kwa moja Azam Sports 3. Mchuano wa kuwania ubingwa unaanza.…
#HABARI: Ukosefu wa kipato katika baadhi ya familia umeendelea kuathiri elimu ya watoto wa kike katika shule za Jiji la Dar es Salaam, ambapo baadhi ya wanafunzi hushindwa kumudu gharama…
Kuelekea mashindano ya UMISSETA kwa shule za sekondari, Mkoa wa Manyara umepokea vifaa vya michezo vitakavyotumika kuimarisha ushiriki wa wanafunzi katika mashindano hayo na kusaidia kukuza vipaji vya michezo mashuleni.…
WCF KUWAFIKIA WAFANYAKAZI SEKTA ISIYO RASMI #HABARI: Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umeeleza kuwa uko katika mchakato wa kuandaa mpango na mazingira wezeshi yatakayowezesha Watanzania wanaojiajiri katika sekta isiyo…
Mtangazaji Waihiga Mwaura alipakia picha akijivunia baraka ya mwanawe na kufichua kuwa yeye na Joyce Omondi walimkaribisha mtoto mwaka jana, jambo lililozua hisia.
Bondia maarufu raia wa Marekani, Terence Crawford ameendelea na ziara yake hapa nchini kwa kutembelea na kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii sambamba na kuhamasisha maendeleo ya mchezo wa ngumi nchini.…
TFF | Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameliambia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuwa milango ipo wazi kwa shirikisho hilo kumuona kwa usaidizi wowote wakati huu…
TFF | Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachocheza michezo miwili ya kirafiki ya katika kalenda ya FIFA dhidi ya Uganda na Rwanda, kinatarajiwa kuingia kambini Mei…
NBCPL | Walima alizeti kutoka mkoani Singida, timu ya Singida Black Stars imeitandika kipigo kizito cha mabao 4-1 Mbeya City FC kwenye Uwanja wa Airtel mkoani Singida. Kwa matokeo hayo…