Serengeti Boys kusaka fainali AFCON U17
TIMU ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Tanzania ‘Serengeti Boys’ itaweka rekodi mbili ikiwa itapata ushindi katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Mataifa…
TIMU ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Tanzania ‘Serengeti Boys’ itaweka rekodi mbili ikiwa itapata ushindi katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Mataifa…
Chama alikuwa miongoni mwa mamia ya vijana waliowashinda nguvu timu ya usalama ya mashirika mengi iliyotumwa kulinda bunge na kupata nafasi ya kuingia kwa nguvu.
Kenya inaunga mkono mpango wa Marekani wa kuwatibu Wamarekani walioathiriwa na Ebola, kwa kuanzisha kituo cha karantini chenye madaktari waliofunzwa na Marekani.
Kufuatia uwekezaji wa Serikali katika kuboresha miundombinu ya sekta ya kilimo, Halmashauri ya...
KOCHA wa Namungo FC, Juma Mgunda amesema matokeo ambayo wamekuwa wakiyapata yamewaweka kwenye presha kubwa kutokana na kushindwa kufanya vizuri katika mechi za Ligi Kuu Bara.
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imesaini mkataba wa umaliziaji wa ujenzi wa...
DAR ES SALAAM: WAFANYABIASHARA watatu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, Kinondoni Dar es salaam wakikabiliwa na mashitaka tisa yakihusisha kuingiza magari yenye namba za usajili za Afrika…
Barcelona imefikia pazuri katika mpango wake wa kumnasa winga wa Newcastle United, Anthony...
Tanga. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imewataka wadau wa sekta ya usafirishaji...
Imamu wa Swala ya Idul Adh'ha iliyofanyika mapema leo mjini Tehran amesema: "Maadui wanatamani taifa la Iran lichoke, lakini kwa neema ya Mungu, wataingia kaburi na matarajio hayo."
Algiers, Algeria: Tanzania’s Ambassador to Algeria, Mobhare Matinyi, presents copies of his credentials to Algeria’s Minister of Foreign Affairs, Ahmed Attaf, in Algiers on Tuesday. Ambassador Mobhare Matinyi arrived in…
Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni Jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashtaka tisa yakihusisha kuingiza magari yenye namba za usajili za Afrika Kusini na kuyatumia nchini…
NYUMA ya kile anachokifanya Feisal Salum ‘Fei Toto’ katika kufunga mabao na kuasisti ndani ya Ligi Kuu Bara, hivi sasa kuna maumivu anakabiliana nayo lakini hana budi kuipambania timu kufikia…
Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya afya baada ya Dkt. Livin Peter Mumburi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kufaulu kuwa daktari bingwa wa magonjwa wa mfumo wa chakula…
June Mosi Mwaka huu, msimu mpya wa ununuzi wa zao la ufuta kwa Mwaka 2026, unatarajiwa kuanza rasmi mkoani Lindi, ambapo zaidi ya tani 50,000 za ufuta na tani 6000…
BEKI wa Dodoma Jiji, Andy Bikoko, ameonekana kuhuzunishwa vikali jinsi kikosi hicho kilivyopoteza mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba kwa kufungwa bao 1-0.
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Fikiri Elias amesema licha ya mwanzo wake mzuri na kikosi hicho tangu alipojiunga nacho, kwa sasa sio muda wa kuangalia suala la mkataba mpya, bali…
HESABU za kocha wa Azam FC, Florent Ibenge ni kukusanya alama nne kuanzia sasa akibakisha mechi tano za Ligi Kuu Bara kwani anaamini zinamtosha kukata tiketi ya kushiriki mashindano ya…
PAMOJA na kubaki na pointi tatu nyumbani, Singida Black Stars imeweka rekodi na historia kwa Mbeya City kwa kuvuna mabao 13 katika michezo mitatu waliyokutana msimu huu.
USHINDI wa mabao 3-2 walioupata Tanzania Prisons dhidi ya Pamba Jiji umeonekana kuwapa matumaini na nguvu mpya wachezaji, benchi la ufundi na mashabiki wa timu hiyo, wakitamba kuwa haijaisha hadi…
Martin Kimani alishiriki tukio la kutisha maisha ya kupoteza kuona baada ya shambulio la mpangaji kwa KSh 50k akifichua safari yake ya kupona na usaidizi wa familia
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)...
Chanzo kimoja cha habari cha Pakistan kimeripoti kuhusu upinzani wa wazi wa Islamabad dhidi ya ombi la Rais Donald Trump wa Marekani la kuitaka nchi hiyo ijiunge na mchakato wa…
Katika hatua inayolenga kuimarisha upatikanaji wa mitaji na kuchochea ukuaji wa sekta ya...
Tulipokubaliana na afisa huyo ndipo tukaenda katika ukumbi ilikoandaliwa sherehe ya kukabidhiwa hundi yangu. Hapo watu walikunywa soda na keki na kucheza mziki kidogo kisha nikakabidhiwa hile hundi. Baadaye nikapeana…
Ullikuwa mwaka 1980. Wakati huo nilikuwa bado mshamba ninayeishi kijijini. Nilikuwa ninaishi katika kijiji cha Kibanda kilichoko wilaya ya Muheza, mkoa wa Tanga.
Kutana na Fikirini Jacobs, Katibu kijana zaidi Kenya akiwa na umri wa miaka 28, aliyesifiwa na Ruto kwa kutetea uongozi wa vijana na kubadilisha uchumi wa ubunifu.
DAR ES SALAAM: THE idea of the Great Lakes regional organisation was born in Dar es Salaam in 2004. More than twenty years later, Tanzania is welcoming the region home,…
Licha ya sekta ya uchumi wa buluu kuwa na fursa nyingi, ili ziweze kufikiwa, imeelezwa kuwa...
Melon Lutenyo wa pacha wa Kakamega atangaza tarehe ya kufunga ndoa na Willys Odhiambo, iliyopangwa kufanyika Septemba 18 katika Kanisa la ACK St Philips Eldoret.
DAR ES SALAAM: ACROSS Sub-Saharan Africa, cities are increasingly under pressure from rapid urbanisation, with expanding populations often outpacing infrastructure, planning systems, and service delivery. Many urban centres are already…
DAR ES SALAAM: CHAMA cha Mapinduzi Women’s Wing (UWT) Dar es Salaam Regional Chairperson, Mwajabu Mbwambo has earned a Doctor of Philosophy (PhD) in Education from the University of Dar…
TABORA: THE Tanzanian government has secured 65m US dollars for the Rural and Urban Roads Agency (TARURA) to implement road maintenance works under the Contingent Emergency Response Component (CERC) following…
Katika taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Kenya, jeshi hilo...
Wafanyabiashara watatu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni...
Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Amref kilizua msisimko baada ya kutangaza fursa za bure za mafunzo ya kitaaluma mtandaoni kwa Wakenya kupitia mpango mpya.
DUSHANBE: THE Tanzanian Water Minister, Jumaa Aweso, has reaffirmed his country’s commitment to expanding clean water access to citizens. The minister made the statement when representing the Prime Minister Mwigulu…
ITALY: Italy’s highest court has ruled a five-star Dolomites hotel was acting lawfully when it refused to provide tap water to a tourist. The woman unsuccessfully argued that “water is…
BRAZZAVILLE: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has highlighted Tanzania’s achievements in strengthening public financial management and implementing reforms in the financial sector during the launch of the African Economic Outlook 2026…
PEMBA: ZANZIBAR President, Dr Hussein Ali Mwinyi has today, May 27, 2026, joined Muslims in Pemba Island for Eid El-Hajj prayers held at Ole Kianga Mosque in South Pemba Region.…
Wakati tozo mpya ya Ada ya Uendelezaji wa Miundombinu ya Bandari (PID) ya asilimia 4.5 ikianza...
LAOS: Rescuers in Laos have found five villagers alive inside a flooded cave after they were trapped for a week following heavy rain and landslides. Two other villagers who were…
CHINA has achieved something remarkable and deserves recognition from any rational and constructive observer of international relations, trade, and investment. Those who witnessed the US president’s state visit to China…