Wizara yasifu hali ya amani, utulivu
DODOMA; WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imesema Tanznaia imeendelea kuwa na hali ya amani na utulivu kutokana na ushirikiano uliowezeshwa na vyombo vya ulinzi na usalama nchini. Kauli…
DODOMA; WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imesema Tanznaia imeendelea kuwa na hali ya amani na utulivu kutokana na ushirikiano uliowezeshwa na vyombo vya ulinzi na usalama nchini. Kauli…
IRINGA: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ametangaza rasmi ujio wa Mwenge wa Uhuru mkoani Iringa kwa mwaka 2026, akiwataka wananchi kujitokeza kwa wingi kuupokea na kuushangilia mwenge huo…
DODOMA; SERIKALI imesema watu 1,066 walipoteza maisha kutokana na matukio ya ajali za barabarani kuanzia Julai 2025 hadi Aprili 2026, ikilinganishwa vifo 1, 275 vilivyotokea kipindi kama hicho mwaka 2024/25.…
IRINGA: Mkoa wa Iringa umepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa maadhimisho ya 29 ya Wiki ya Maziwa nchini yanayofanyika kuanzia Mei 25 hadi Juni 1, 2026 katika Viwanja vya Mwembetogwa…
DODOMA; MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inatarajia kuanza kufanya usajili wa watoto kuanzia umri wa kuzaliwa, ili kutoa namba ya utambulisho ya kipekee ambayo itajulikana kama Jamii Namba. Kauli…
Ripoti mpya ya Bunge la Congress ya Marekani imefichua ukubwa wa hasara za kijeshi za Marekani katika vita vyake na Iran, huku ripoti ikiongezea kuwa jumla ya ndege 42 za…
DODOMA; WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi itatekeleza maeneo nane ya vipaumbele katika bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/27. Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni leo, Waziri wa mambo ya Ndani…
DODOMA; WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imesema katika Mwaka wa Fedha 2026/27 inatarajia kuajiri watumishi wapya 10,919. Kauli hiyo imetolewa bungeni na Waziri wa Mambo ya Ndani ya…
DAR ES SALAAM: THE government has been advised to establish a special fuel price stabilisation fund to help cushion the country against fluctuations in global oil prices and protect consumers…
MWANZA: HEALTH experts at Bugando Zonal Referral Hospital in Mwanza have urged people experiencing symptoms commonly associated with tuberculosis (TB) to undergo comprehensive medical examinations to establish the correct diagnosis…
FINLAND: THE Director General of the Vocational Education and Training Authority (VETA), CPA Anthony Kasore, has emphasised the importance of strengthening vocational skills in mining and mineral value addition as…
ZANZIBAR: THE 29th Annual Research Workshop (ARW) is set to open today in Zanzibar, bringing together policymakers, researchers, development partners and private sector stakeholders to deliberate on strategies for harnessing…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuihakikishia jamii ya kimataifa kwamba haifuatilii silaha za nyuklia.
Iran imetoa onyo kali kwa Marekani, ikisema kuwa itajiondoa kwenye Mkataba wa Kuzuia Usambazaji wa Silaha za Nyuklia (NPT), ikiwa Marekani itaanzisha tena mashambulizi dhidi ya yake.
DAR ES SALAAM: ON May 18th, this year, President Samia Suluhu Hassan, received the outgoing World Bank Country Director, Mr Nathan Belete, at State House in Dar es Salaam, where…
Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, atagombea tena katika uchaguzi mkuu mwezi Januari mwakani baada ya kushinda uteuzi wa chama chake katika kura za mchujo za All Progressives Congress.
Mkuu wa zamani wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ametangaza kuwa mtu mmoja mwendawazimu alianzisha vita dhidi ya Iran na sasa anatafuta njia ya kujiondoa vitani.
ARUSHA: THE East African Community (EAC) Secretariat has called on partner states to heighten surveillance, strengthen emergency preparedness and intensify crossborder coordination following confirmation of a new outbreak of Ebola…
PM says funding will be prioritised for stalled, ongoing project IRINGA: THE government has identified three priority areas aimed at accelerating implementation of stalled and ongoing development projects over the…
IRINGA: DEPUTY Minister for Transport, David Kihenzile has thanked the government for delivering major infrastructure development in the Iringa Region, particularly the rehabilitation of the historic Nduli Airport, where more…
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Revenue Authority (TRA) has issued a clarification regarding complaints submitted to the Prime Minister on Saturday by Odilo Boniface Ngamilaga, concerning allegations that TRA burned…
Zaidi ya mahujaji milioni 1.5 Waislamu kutoka kote ulimwenguni wameondoka kwenda Makka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya ibada takatifu ya Hija, hija kuu ya kila mwaka inayoanza leo Jumatatu,…
NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ameishukuru serikali kwa kuutendea haki Mkoa wa Iringa kwa kujenga uwanja wa ndege mkoani humo ambapo zaidi ya Sh bilioni 60 zimetumika kufufua uwanja…
TABORA: WANANCHI na wajasirimali wakiwemo wanawake kutoka katika vikundi vya ufugaji nyuki wilaya za Sikonge , Urambo na Kaliua mkoani Tabora wamejengewa mazingira bora ya ufugaji kwa kutumia teknolojia ya…
TABORA: SERIKALI imesema itaendelea kuviwezesha viwanda vya kuchakata mazao ya nyuki ili kuleta tija kwa wananchi na kuongeza thamani ya mazao hayo kukidhi mahitaji makubwa kwa soko la ndani na…
William Kiptoo Sawe aliteuliwa kuwa Mkuu wa Kitengo cha kumlinda baada ya mabadiliko ya usalama kufuatia hofu ya Rais Ruto. Uchunguzi wa kina unaendelea.
IRINGA: NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ameishukuru serikali kwa kuutendea haki Mkoa wa Iringa kwa kujenga uwanja wa ndege mkoani humo ambapo zaidi ya Sh bilioni 60 zimetumika kufufua…
Rais wa Lebanon ametetea uamuzi wake wa kujadiliana na Israel na kuthibitisha kwamba ombi lake la jeshi la Israel kuondoka kusini mwa Lebanon “haliwezi kujadiliwa,” wakati mazungumzo kati ya nchi…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio amependekeza kwa uangalifu kwamba Washington inaweza kuwa na habari njema leo Jumatatu kuhusu uwezekano wa makubaliano na Iran. Imechapishwa: 25/05/2026 –…
DAR ES SALAAM: MORE than seven countries, including Kenya, Democratic Republic of the Congo, Rwanda, Uganda, South Africa and Dubai are expected to arrive in the country for the Pickleball…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio amesema leo Jumatatu kwamba Israel “daima” itakuwa na haki ya kujilinda bila kujali makubaliano yoyote kati ya Washington na Tehran, akirudia…
Wachezaji wawili wa Arsenal walikosa medali za Ligi ya Premia licha ya kushiriki katika utoaji wa kombe hilo, jambo lililozua maswali miongoni mwa mashabiki
DODOMA; SERIKALI imesema Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), itarejesha safari zake za ndege ya abiria kwenye Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita kuanzia Juni 2, 2026. Kauli hiyo imetolewa…
Mchambuzi wa masuala ya kimataifa, Ibrahim Rabhi, amesema maslahi binafsi ya pande zinazohusika ni miongoni mwa vikwazo vinavyochelewesha kufikiwa kwa makubaliano kati ya Iran na Marekani. Rabhi ameeleza kuwa kila…
Serikali mpya ambayo imetangazwa saa chache tu baada ya sherehe ya kuapishwa kwa rais mteule, ina wajumbe 24, wakiwemo mawaziri kadhaa wa zamani waliohudumu katika utawala wa Talon. Ingawa robo…
DODOMA; SERIKALI imesema zabuni ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa shule za michezo imetangazwa ili kupata mkandarasi. Kauli hiyo imetolewa bungeni mjini leo mei 25,2026 na Naibu Waziri wa…
Mkutano mkuu wa All Progressives (APC), chama cha rais wa Nigeria anayemaliza muda wake, umemteua rasmi kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi wa urais utakaofanyika Januari 16 nchini Nigeria.…
Rais William Ruto anakabiliwa na mzozo baada ya viongozi wa UDA kudai uchaguzi wa 2027 utaibiwa, jambo linalozua wasiwasi kuhusu uhuru wa IEBC....
Wanaume, wanawake, na watoto 243 kutoka Côte d’Ivoire ambao walikuwa wameishi nchini Tunisia kwa miezi kadhaa katika mazingira ngumu sana, wameamua kurudi nyumbani na wamerejeshwa Abidjan mwishoni mwa wiki hii…
Gundua jalada kubwa la familia ya Kenyatta, linaloangazia Northlands City, viwanja vya ndege, hoteli za kifahari, na uwekezaji mkubwa, unaoonyesha utajiri wa kweli.
Zaidi ya watu 900 sasa wanashukiwa kuambukizwa virusi vya Ebola, nchini DRC kulingana na takwimu za hivi karibuni zilizotolewa jana na Shorka la Afya Duniani, WHO. Shirika la afya la…
Rubio alisema katika mkutano na waandishi wa habari nchini India, bila kutoa maelezo zaidi, kwamba makubaliano yanayotarajiwa "kwa kiasi kikubwa" yatashughulikia wasiwasi wa Marekani kuhusu Mlango wa Bahari wa Hormuz…
Mkuu wa shirika la afya dunini WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kwamba watu zaidi ya 900 wanashukiwa kuwa wameambukizwa virusi vipya vya Ebola nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo. Imechapishwa:…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Mei 25, 2026 kwenye #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Viwango vya juu vya madeni vinavyodaiwa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na wakopeshaji wengine wa nje vinaweza kusababisha hatari kubwa za kiuchumi za muda mrefu kwa nchi za…
Leo ni Jumatatu tarehe 8 Mfunguo Tatu Dhulhija 1447 Hijria, mwafaka na 25 Mei 2026.
Nchini Uganda, wabunge leo Jumatatu, wanatarajiwa kumchagua Spika mpya, baada ya kuapishwa wiki moja iliyopita, kufuatia uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Januari mwaka huu. Imechapishwa: 25/05/2026 – 05:48Imehaririwa: 25/05/2026 – 06:00…
Spika wa bunge nchini Senegal El Malick Ndiaye, ametangaza kujiuzulu, uamuzi ambao unaiweka nchi hiyo kwenye sintofahamu ya kisiasa. Imechapishwa: 25/05/2026 – 05:43Imehaririwa: 25/05/2026 – 05:43 Dakika 1 Wakati wa…
Rais wa Marekani Donald Trump, amewaagiza wajumbe kutoka nchi yake, wasiwe na haraka ya kusaini mkataba wowote na Iran, licha ya hapo awali kudai kuwa mwafaka ulikuwa unakaribia kupatikana. Imechapishwa:…
Makubaliano yanayojadiliwa yanaripotiwa kuhusisha kuongeza muda wa kusitisha mapigano hadi siku 60, kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz na mpango wa mazungumzo zaidi kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran.