Mafanikio ya afya duniani yako hatarini kurudi nyuma, yaonya WHO dunia ikidemadema kutimiza SDGs
Mafanikio yaliyopatikana katika sekta ya afya duniani katika kipindi cha muongo mmoja uliopita yako katika hatari kubwa ya kudorora, huku mafanikio kuelekea malengo ya afya ya Maendeleo Endelevu (SDGs) yakipungua…