Kamandi Kuu ya Jeshi la Iran yaamuru kufungwa Mlango Bahari wa Hormuz kwa meli zote baada ya mashambulizi mapya ya Marekani
Kamandi Kuu ya Jeshi la Iran imeamuru kufungwa Mlango-Bahari wa Kistratejia wa Hormuz muda mfupi baada ya kuanza hujuma mpya ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran, licha ya Jamhuri…