Wanne waiwakilisha Tanzania maonesho ya sanaa Italia
Wasanii wanne wa Tanzania ambao ni Turakella Editha Gyindo, Amani Abeid, Lazaro Samuel na Valerie Asiimwe Amani, wameipeperusha vyema bendera ya Tanzania katika Maonesho ya 61 ya Kimataifa ya Sanaa…