Kila changamoto huwa ni baraka iliyojificha na muda ndio huwa shahidi mzuri wa siri inayokaa katikati ya mateso na dhiki ingawa si kila mmoja anaweza akaliona hilo.
Mwanamama, Rehema Ndoje ni shahidi wa mateso aliyopitia kwa miaka 26 aliyokaa gerezani kutokana na kushindwa kukata rufaa kupinga hukumu aliyopewa awali kwasababu ya kupotea kwa nayaraka za hukumu hiyo.
Je, imekuwaje ametoka gerezani na haki yake ataipataje?
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)
