Maandamano yameshuhudiwa katika baadhi ya miji ya Senegal kufuatia kufutwa kazi kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Ousmane Sonko na Rais, Bassirou Diomaye Faye ambaye pia ni mshirika wake.
Je, hali hiyo imechangiwa na nini?
Tazama uchambuzi hapa.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)
