Ripoti ya UN yasema hatua za pamoja za kimataifa zinahitajika ili kulinda na kuhifadhi baharí
Katika vyumba vilivyopambwa kwa mbao kwenye Klabu ya Wavumbuzi ya New York, nchini Marekani yenye historia ndefu, ambapo picha za wavumbuzi mashuhuri zimepangwa ukutani, wanadiplomasia, wanasayansi na watetezi wa bahari…