Vladimir Putin apuuzia ugumu wa kiuchumi wa Urusi, anasisitiza juu ya ‘uhuru’ wa taifa lake
Rais wa Urusi Vladimir Putin leo Ijumaa Juni 5, amepuuzia mbali ugumu wa kiuchumi unaoikabili nchi yake, katika jukwaa kubwa la uwekezaji huko St. Petersburg, akipendelea kusifu “uhuru” wake na…