Nyota KMC wataka heshima
INGAWA katika mechi tatu zilizobakiza kwa KMC, ikitokea ikashinda zote hazitabadilisha chochote kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, pamoja na hilo nyota wa timu hiyo, wamesema haimaanishi wamekata tamaa kupambana…
INGAWA katika mechi tatu zilizobakiza kwa KMC, ikitokea ikashinda zote hazitabadilisha chochote kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, pamoja na hilo nyota wa timu hiyo, wamesema haimaanishi wamekata tamaa kupambana…
Mlipuko wa virusi vya Ebola unaendelea kuenea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Nchi hiyo sasa ina wagonjwa 875 waliothibitishwa kuambukizwa virusi vya Ebola, ikiwa ni pamoja na vifo…
Harakati ya Jihadi Islami ya Palestina imesema utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani lazima uwajibishwe kwa ukatili na vitendo vya uchokozi vinavyofanywa na askari wa utawala vamizi wa Israel…
KIUNGO wa Simba, Inno Loemba, amesema ameanza vizuri maisha yake ndani ya kikosi hicho tangu alipojiunga akitokea Colombe ya Cameroon, huku akitamani msimu wake wa kwanza Msimbazi uwe wa mafanikio…
Ugonjwa wa sasa wa Ebola, ambao ulizuka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda mwezi uliopita, ni matokeo ya kuenea kwa wanyamapori. Haya yameelezwa na wanasayansi kutoka nchi hizo…
Mamia ya watu walifanya maandamano jana Alhamisi Brussels, Ubelgiji kabla ya mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya.
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge), Mohammad Baqer Qalibaf, ambaye anaongoza timu ya mazungumzo na Marekani, ameeleza kuwa malipo ya kuvuka katika Lango-Bahari la Hormuz yamejumuishwa…
Bado hakuna makubaliano kuhusu suala la nyuklia la Iran, ambalo limekuwa na utata kwa muda na kuahirishwa katika makubaliano ya hapo awali.
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ameshinda kesi katika uamuzi wa mahakama ya migogoro ya kisiasa dhidi ya kunyang'anywa kiti cha katibu mkuu wa ODM.
WAKATI wengi wakianza kuhesabu siku za mwisho za mastaa waliovuka miaka 30, mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, ameeleza kwamba hana mpango wa kustaafu leo wala kesho na anaamini…
#KombeLaDunia2026 | Leo ilikuwa ni zamu ya Kachero @abissay_stephen kufunga matangazo huku akiwaacha wenzake wakivunjika mbavu kwa kicheko. FT: Mexico 1-0 Korea Kusini. Mzigo ulikuwa LIVE #AzamSports2HD kwa Kiswahili, na…
Wakenya kwenye Facebook wamegeukia uvumi kufuatia mkutano kati ya Wyvliffe Oparanya na Cleophas Malala, wote kutoka kwa mielekeo tofauti ya kisiasa.
#KombeLaDunia2026 | Mexico inakuwa timu ya kwanza kwenda hatua ya mtoano kwa alama sita katika yale mataifa matatu wenyeji. FT: Mexico 1-0 Korea Kusini. Mzigo ulikuwa LIVE #AzamSports2HD kwa Kiswahili,…
Wakati Antonio Rudiger alipoingia kwenye kinyang'anyiro hicho kama mchezaji wa akiba wakati wa ufunguzi wa Kombe la Dunia la Ujerumani - ushindi wa 7-1 dhidi ya Curacao kwenye Uwanja wa…
#KombeLaDunia2026 | Na huu ndio msimamo wa kundi ‘A’ baada ya kila timu kucheza mechi mbili kila moja. FT: Mexico 1-0 Korea Kusini. Mzigo ulikuwa LIVE #AzamSports2HD kwa Kiswahili, na…
Canada ambayo ni wenyeji wa Kombe la Dunia kwa kushirikiana na Marekani na Mexico, ilianza...
Uswisi imefanikiwa kuishushia kipigo kizito Bosnia and Herzegovina ikiichapa kwa mabao 4-1, na...
Jeridah Andayi amemuenzi mamake wa kambo, Mama Sarah, mfanyakazi wa afya ya jamii. Anaangazia uhusiano wao wa karibu na nafasi muhimu aliyocheza katika maisha yake.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli ameagiza makandarasi kutekeleza kikamilifu miradi...
Dodoma: Tanzania and Türkiye have reaffirmed their commitment to strengthening strategic cooperation in agriculture, a move expected to support the country’s long-term development plans in the sector, which employs the…
Wapelelezi wa Mwea Mashariki wamemkamata Samuel Mumo Ngari, mshukiwa wa mauaji ya mjane Sarafina Wanja, baada ya mwana wa marehemu kumtambua kufuatia shambulizi hilo
MOMBASA: ZANZIBAR President and Chairman of the Revolutionary Council, Hussein Ali Mwinyi, has met with Somalia’s Deputy Prime Minister, Salah Ahmed Jama, to discuss ways of further strengthening the longstanding…
MOMBASA: ZANZIBAR President and Chairman of the Revolutionary Council, Dr Hussein Ali Mwinyi, has met with the Executive Director of the United Nations Environment Programme (UNEP), Inger Andersen, to discuss…
DAR ES SALAAM: TANZANIA and the United States of America have reaffirmed their commitment to strengthening bilateral cooperation in health, trade, investment, tourism and governance during celebrations marking the 250th…
Watu 75 wamekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga kufuatia msako maalumu uliofanyika katika...
Serikali imewataka watafiti wa taasisi za elimu ya juu nchini kutumia fursa ya Tuzo za Umahiri...
Hatua hiyo inajiri huku kukiwa na wahisiwa 64 wa ugonjwa wa Ebola nchini kutoka mikoa 21...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, akizungumza na raia wa nchi yake wanaoishi Houston, nchini Marekani, amemshtumu bila kumtaja mtangulizi wake, Joseph Kabila kwa kuchochea hali ya kisiasa inayoendelea…
Mama wa Taifa Rachel Ruto amewavutia watu kwa mwonekano wake wa kuvutia akiwa pamoja na Brigitte Macron katika Mkutano wa G7 akipigia debe ustawi wa watoto katika AI
Lionel Messi alifunga hat-trick ya kihistoria kwa Argentina, lakini alionekana akilia baada ya bao lake la kwanza. Maelezo kuhusu sababu ya kulia yaibuka.
Miongoni mwa sheria zilizopitishwa na kamati hiyo ni pamoja na muswada wa S.4577 wa "Sheria ya...
#HABARI: Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani limeanza kusikiliza shauri namba 47 la mwaka 2026, lililofunguliwa na wananchi 147 wanaopinga kubomolewa kwa makazi yao katika…
Rais wa Namibia, Dk Netumbo Nandi-Ndaitwah, anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kesho Ijumaa...
Bajeti ya Serikali iliyopitishwa leo Juni 18, 2026 na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi ni Sh8...
Katika taarifa yake Waziri amesema hadi kufikia Juni 18,2026, Tanzania haikuwa na mgonjwa wa...
#HABARI: Takwimu za Kimataifa zinaonyesha kuwa takriban watu bilioni 1.2 duniani kote wanaishi na matatizo ya uoni hafifu, huku wengine milioni mbili wakikabiliwa na upofu kamili. Hali hii inazidi kuwa…
#HABARI: Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umezindua mkakati wa kupita "Banda kwa Banda" ili kuwafikia na kuwahudumia wanachama wake katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi…
Hat trick zimeanza kuitika Ligi Kuu baada ya straika wa Pamba Jiji, Mathew Tegisi kufanya hivyo akiiongoza timu yake kuichakaza Mtibwa Sugar mabao 4-0.
Wabunifu na wasanii vijana nchini wametakiwa kutambua thamani ya kazi zao za ubunifu kwa...
Kioja kilizuka huku dereva wa lori na mwanamke wakikabiliana vikali baada ya lifti kutoka Machakos, na kuwaacha umati na watu mitandaoni wakiwa wamshtuka.
DAKIKA mbili za maajabu zimetosha kuirudisha tena Yanga kileleni kibabe baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0, dhidi ya Fountain Gate, katika mechi kali ya kuvutia ya Ligi Kuu,…
Dakika mbili za maajabu zimetosha kuirudisha tena Yanga kileleni kibabe baada ya kuibuka na...
HAPA NA PALE KUTOKA PEMBA, JUNI 18, 2026 : (Feed generated with FetchRSS)
FT: Fountain 0-2 Yanga Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia…
IRINGA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amegiza kusiwe na pngezeko la muda wa kutekeleza mradi wa Umwagiliaji wa Mgambalenga ili wakulima…
DODOMA; Wizara ya Afya imehimiza Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Ebola huku ikisisitiza kuwa bado Tanzania ni salama na wageni kutoka mataifa mengine waje bila hofu. Waziri…