Jeshi la Jamhuri ya Afrika ya Kati lakanusha uvumi kuhusu njama ya mapinduzi
Jeshi la Jamhuri ya Afrika ya Kati limekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa kuna njama ya kutaka kuipindua serikali, na kusisitiza kuwa nchi hiyo ina utulivu wa kutosha,…