Zitto: Chagueni viongozi wanaotekeleza, si wanaoahidi tu
Mgombea ubunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka...
Mgombea ubunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Makambako kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo...
#HABARI: Mgombea mwenza nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Balozi Dokta Emmanuel Nchimbi ameendelea na kampeni zake wilayani Kibondo mkoani Kigoma…
#HABARI: Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama, akiimba wimbo wa hamasa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaounda Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika Kata ya…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 12, 2025 - INEC YAFANYA MABADIRIKO KWENYE BAADHI YA VITUO
Baada ya kuanza kwa majaribio ya Mabasi yaendayo Haraka (BRT) maarufu mwendokasi awamu ya pili...
#HABARI: Siku kadhaa baada ya Rais William Ruto kutangaza ushirikiano mpya wa kisiasa na chama cha KANU cha Gideon Moi, viongozi wa upinzani wameukosoa ushirikiano huo wakiutaja kuwa uliochochewa na…
"Itakapofika tarehe 29 kila mtu, mshike mkono rafiki yako nenda naye kapige kura, achaneni na habari nyingine, tuna kazi moja tarehe 29 ya kuuthibitishia ulimwengu wote kuwa Tanzania ni nchi…
Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Shoka...
#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kishapu, Lucy Mahenga amehimiza upigaji wa kura kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) siku ya 29 Oktoba, amezungumza hayo katika mkutano wa kampeni wa Mgombea…
#HABARI: Watu watatu akiwemo raia wa Kichina wamenusurika kifo baada ya gari aina ya Toyota ‘Kluga’ lenye namba za usajili T327 ELT kuvamia duka maeneo ya makazi ya watu Mtaa…
Bingwa wa marathoni wa Tanzania kwa upande wa wanawake, Magdalena Shauri, ameendelea kuipeperusha vyema bendera ya taifa baada ya kumaliza nafasi ya tatu katika mbio za Chicago Marathon zilizofanyika leo…
Bingwa wa marathoni wa Tanzania kwa upande wa Wanawake, Magdalena Shauri, ameendelea...
Mabosi wa Real Madrid wamewasiliana na kambi ya Erling Haaland ili kuangalia uwezekano wa...
HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Songwe Bwana Jabir Makame amekanusha taarifa zilizoonekana kwenye video fupi katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikionesha wananchi wa Kijiji cha Chitete wilayani Momba wakigombania…
KOCHA Mkuu wa Mashujaa ya Kigoma, Salum Mayanga amefunguka namna timu yake imeyatumia mapumziko mafupi ya Ligi Kuu Bara kujipanga na mambo mawili kwenye kikosi chake.
#HABARI: Mgombea ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Bariadi vijijini, Bwana Masanja Kadogosa amewaahidi wakazi wa Kata ya Gambosi kufikisha huduma ya maji katika vitongoji vyote kupitia mradi…
WAKATI Kiungo wa Singida Black Stars raia wa Nigeria, Morice Chukwu akibakisha mkataba wa mwaka mmoja na kikosi hicho, inadaiwa mabosi wa Esperance Sportive de Tunis ya Tunisia, wako tayari…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameitaka jumuiya ya kimataifa ichukue hatua baada ya nchi yake kushambuliwa na Urusi zaidi ya mara 4000 kutokea angani kwa muda wa wiki nzima.
Maandalizi kwa ajili ya kuingizwa misaada katika Ukanda wa Gaza yanaendelea baada ya kufikiwa makubaliano mapya ya kusimamisha mapigano.
#HABARI: Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyekuwa Mbunge Wa Simanjiro mkoani Manyara Bw. Christophar Ole Sendeka amewataka wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa ambao hawakupata nafasi za kuteuliwa…
Ujenzi wa soko la kisasa, maghala ya chakula na mradi wa maji utakaoondoa adha ya upatikanaji...
MSHAMBULIAJI wa Fountain Gate, Joshua Ibrahim, amesema baada ya kutoonekana tangu msimu huu umeanza kutokana na matatizo mbalimbali, kwa sasa mashabiki wake watarajie mambo mazuri, kwa sababu amejipanga vizuri ili…
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025, Ismail Ussi amepongeza na kueleza kuridhishwa...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA ARUSHA: OKTOBA 12, 2025,
NI JKT Queens inabeba taji la Ngao ya Jamii kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuifunga Simba Queens mabao 2-1, kwenye Uwanja wa KMC.
Mwili wa aliyekuwa mgombea ubunge wa Chama cha Wananchi (CUF) Jimbo la Siha, mkoani...
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, James Ole Millya ameiasa jamii ya wafugaji kusomesha...
Waziri Mkuu wa Ufaransa Sebastien Lecornu anafanya majadiliano ya kuunda serikali baada ya chama chake kumpoteza mshirika wake mkuu wa kisiasa.
JKT Queens imebeba taji la Ngao ya Jamii kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuifunga Simba...
USAJILI inaofanya Yanga kupata wachezaji wa viwango vya juu katika madirisha ya miaka ya hivi karibuni, umemuibua mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo, Said Bahanuzi akiamini inaweza ikawa timu ya…
Wakati kesho Oktoba 13 ni Siku ya Kupunguza Hatari ya Majanga Duniani, Tanzania inaungana na...
Nyota wa Chelsea, Enzo Fernandez, amerejea jijini London, kufuatia hofu ya kuwa na majeraha...
Kupanda ndege imekuwa ni ndoto ya kila mtoto. Hata hivyo, baadhi yao wanakuwa watu wazima bila...
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha Makini, Ameir Hassan Ameir, ameelezea namna...
Samia amesema iwapo atachaguliwa kuendelea kipindi cha pili, Serikali yake itawekeza na kuinua...
NYOTA wa kimataifa, Clara Luvanga anayekipiga Al Nassr ya Wanawake ameendelea kuonyesha kiwango bora kwenye mechi nne za ligi, akiwa anaongoza hadi sasa kwenye msimamo wa wafungaji kwa mabao sita.
KINDA wa ENNPI ya Ligi Kuu Misri, Arafat Masoud ‘Konde Boy’ amesema ameanza na mechi tatu za kirafiki akifunga bao moja na kutoa asisti mbili.
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT - Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema Serikali...
KIUNGO mshambuliaji wa Konya Amputee inayoshiriki Ligi Kuu ya Walemavu nchini Uturuki, Ramadhan Chomelo amesema kuna asilimia 65 za kuondoka klabuni hapo baada ya kupata ofa kubwa kutoka timu mbili…
KINDA wa Kitanzania anayekipiga katika klabu ya Ceu Ciutat Meridiana ya Hispania, Fahmar Santos ameanza mazoezi mepesi ya viungo ikiwa ni sehemu ya kurejea uwanjani baada ya jeraha la goti.
Herminie anawakilisha chama cha United Seychelles, ambacho kiliongoza nchi hiyo kwa miongo minne kabla ya kupoteza mamlaka mwaka wa 2020. Kilikuwa chama tawala kutoka 1977 hadi 2020.
Marekani imekaribisha siku ya Ijumaa wito wa mamlaka ya Kongo kwa wapiganaji wa Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR) kuweka chini silaha zao, ikiona kuwa ni hatua madhubuti…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Arusha linawashikilia watu watano wanaotuhumiwa kuhusika katika mauaji ya Omary Mnandi, mwenye umri wa miaka 30, ambaye alikuwa askari polisi mkazi wa Jiji la Arusha.…
Mkutano wa 8 wa Kimataifa wa Mshikamano na Watoto na mabarobaro wa Kipalestina, umefanyika leo Jumapili kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kiislamu mjini Tehran, kwa kuhudhuriwa na maafisa wa ndani,…
#HABARI: Serikali wilayani Kakonko mkoani Kigoma, imepiga hatua katika masomo ya Sayansi hasa kwa wanafunzi wa kike baada ya kuanzisha shule ya sekondari ya wasichana na kusaidia kunusuru wasichana wengi…
Ndege iliyobeba timu ya Nigeria kutoka Afrika Kusini kuelekea Uyo kwa mechi yao ya mwisho ya kufuzu kwa Kombe la Dunia ililazimika kutua kwa dharura nchini Angola siku ya Jumamosi.
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) sambamba na kueleza kuwa usitishaji vita wa Gaza ni kushindwa kwa mipango michafu ya Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni…