Misri itaandaa mkutano wa kimataifa kuhusu amani ya Gaza
Misri imepanga kuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa juu ya Gaza, baada ya kufikiwa makubaliano ya awamu ya kwanza ya usitishaji mapigano kati ya Israel na wanamgambo wa kipalestina wa…
Misri imepanga kuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa juu ya Gaza, baada ya kufikiwa makubaliano ya awamu ya kwanza ya usitishaji mapigano kati ya Israel na wanamgambo wa kipalestina wa…
Dar es Salaam. Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA) limezitaka serikali na...
Msemaji wa serikali ya Ujerumani Stefan Kornelius, amesema Kansela wa taifa hilo Friedrich Merz ameapa kuishinikiza zaidi Urusi kuachana na vita nchini Ukraine.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kujenga nguvu kazi yenye ujuzi wa kisasa ili kushindana katika soko la ajira la kikanda na kimataifa. Akifungua Kongamano la Kumbukizi ya Mwalimu…
Waziri Mkuu wa Ufaransa Sébastien Lecornu ameelezea kushangazwa kwake na hatua ya Rais Emmanuel Macron ya kumteua tena kuwa waziri mkuu wa taifa hilo baada ya kutangaza kujiuzulu kwake mwanzoni…
Ameongeza kuwa ukosefu wa uzio unaozunguka hospitali hiyo imekuwa kero ya muda mrefu na...
Kundi la wanaharakati wa Sudan limesema shambulio la droni limesababisha mauaji ya watu 30 katika eneo linalohifadhi watu waliokosa makaazi kwenye mji uliozingirwa wa El-Fasher magharibi mwa nchi hiyo.
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Msemaji wa rais wa zamani wa Marekani Joe Biden amesema kiongozi huyo wa zamani anapokea tiba ya mionzi ya aina kali ya saratani ya tezi dume aliogunduliwa kuwa nayo mwezi…
MSHAMBULIAJI wa TRA United, Adam Adam amemzungumzia kiungo wa Yanga, Maxi Nzengeli namna alivyo hatari kutokana na kupatikana maeneo mengi ya uwanja wakati wa mechi, akiamini hilo linamtofautisha na wengine…
Oktoba 11 kila mwaka, dunia huadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike, ambayo kaulimbiu ya mwaka huu...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA : OKTOBA 11, 2025,
Rukwa. Mzee Jelas Lunguya mwenye umri wa (75) mkazi wa Kijiji Cha Nchenje kata ya Kate wilayani...
Jumamosi ya pili ya kila Oktoba dunia huadhimisha ‘Siku ya Tiba Shufaa’ yanayoelezwa kuwasaidia watu wengi waliougua magonjwa ya muda mrefu na yenye maumivu makali ikiwemo saratani huku hapa nchini…
#HABARI: Moto ambao chanzo chake hakijafahamika umeteketeza byumba 12 pamoja na mali zingine zilizokuwa ndani ya nyumba hiyo, katika eneo la Dar es Saalam mtaa wa Kiusa Manispaa ya Moshi…
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo, amesema iwapo atachaguliwa kuwa Rais Oktoba 29, Serikali yake itajenga soko la…
#HABARI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeibuka mshindi wa kwanza wa Tuzo ya Utoaji Bora wa Huduma kwa Wateja kwa mwaka 2025 kwa taasisi za Serikali zinazotoa huduma ya nishati…
Nchini Ufaransa, Sebastien Lecornu, aliyeteuliwa tena kuwa Waziri Mkuu, anaendelea kupata shinikizo za kisiasa, kuhakikisha anapata bajeti itakayoungwa mkono na pande zote. Imechapishwa: 11/10/2025 – 15:40 Dakika 1 Wakati wa…
Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imesema changamoto za wadau waliopo kwenye mnyororo wa thamani wa mazao wakiwemo wakulima, vyama vya msingi, wanunuzi wa mazao, wasafirishaji na…
Maelfu ya raia wa Palestina waliokimbia makazi yao kufuatia mashambulio ya utawala wa kizayuni wa Israel wanaendelea kurejea kaskazini mwa mji wa Gaza kufuatia makubaliano ya usitishaji wa mapigano yaliyofikiwa…
Junza anayetambulika kama ‘mke mkubwa’ kati ya wake saba wa Mzee Nguzu, kwenye Mpali ya Zambezi...
Al-Fashir inazingirwa na RSF wakati ikijitahidi kuteka ngome ya mwisho ya jeshi katika eneo la Darfur.
Kati ya wateule 338, Machado, 58, aliibuka mshindi wa mwaka huu, akiwashinda wagombea wa ngazi za juu akiwemo Rais wa Marekani Donald Trump.
Umoja wa Mataifa leo unaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Msichana 2025 kwa kaulimbiu “Mimi Mtoto wa Kike, Na Mabadiliko Ninayoongoza: Wasichana Katika kitovu cha Migogoro”, ikionesha jukumu la wanandoa kama…
Zaidi ya watu bilioni 1 duniani wanaishi na hali ya afya ya akili. Kuna mikakati ya gharama nafuu, madhubuti na inayowezekana ya kuimarisha, kulinda na kurejesha afya ya akili. Uhitaji…
Usafi huo umefanyika ufukwe wa Bahari ya Hindi, ikiwa ni jitihada za kuunga mkono juhudi za...
Umoja wa Mataifa unajitayarisha kupeleka misaada zaidi katika Ukanda wa Gaza, wakati maelfu ya wapalestina waliokimbia makaazi yao wakirejea nyumbani.
Rais wa Lebanon Joseph Aoun, ameikosoa Israel kwa kushambulia Kusini mwa taifa hilo usiku kucha na kusababisha kifo cha mtu mmoja huku wengine 7 wakijeruhiwa
Kaze ataiongoza timu hiyo kwa kushirikiana na Khalil Ben Youssef.
Maafisa nchini Ukraine wamesema mashambulizi ya usiku kucha ya Urusi dhidi ya miundombinu ya taifa hilo, yameuacha mji wa Kusini wa Odesa bila umeme.
Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameongoza gwaride kubwa la kijeshi akionesha uwezo wake mkubwa wa makombora mbele ya viongozi wa kimataifa waliokuwepo nchini mwake.
Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kukosa Tuzo ya Amani ya Nobel, msemaji wa Ikulu ya White House ameikosoa Kamati inayoandaa Tuzo ya Nobel kwa kutomtunuku rais huyo tuzo…
Amesema Serikali imeanza kuchukua hatua madhubuti kukabiliana na tatizo la wanyama wakali...
Bashungwa amesisitiza akisisitiza kuwa kura zao ni msingi wa kuendeleza mafanikio yaliyopatikana.
ILE Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), ilimalizika wiki iliyopita ikishuhudia Dar City ikiondoka na ubingwa upande wa wanaume ilhali ule wa wanawake ambako DB Lioness ilitetea…
Ahadi hizo zimetolewa na mgombea wa urais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi wakati akizungumza na...
Uturuki imethibitisha utayari wa hali ya juu kwa misheni ya kimataifa, pamoja na Gaza, huku ikipanua ushirikiano wa kiulinzi, kuboresha meli za anga, na kufanya mazoezi makubwa ya NATO na…
Soma zaidi hapa...
Sheria hiyo ilipendekezwa mwaka jana kama sehemu ya rasimu ya sheria, lakini serikali ilikuwa haijasema ni lini itaanza kutekelezwa.
Bila shaka umewahi kuusikia msemo “adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.” Unafikiri msemo huu una ukweli wowote? Mtazamo wako ni upi? #AzamTVUpdates ✍Juliana James Mhariri | John Mbalamwezi
Wapalestina wanakaribisha usitishaji huo wa mapigano kwa afueni na huzuni, wakiwa wamevurugwa kati ya furaha ya kurejea makwao na uharibifu ulioachwa nyuma na mauaji ya kimbari ya Israel.
Polepole, ambaye aliwahi kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, alitekwa usiku wa...
Mdau wa #Hellowikiendi unaweza kuweka desturi ya kufanya mazoezi haya ya viungo ili kuimarisha mwili mzima. @mcjojo__ #AzamTVUpdates ✍Juliana James Mhariri | John Mbalamwezi
Takriban wanajeshi 200 wa Marekani watasaidia kusimamia utekelezwaji wa mapatano hayo, lakini hawataingia Gaza.
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema lengo lake kufikia mwaka 2030 ni kuhakikisha sekta ya kilimo inakua…
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umewakumbusha waajiri wanaosuasua kulipa michango ya wafanyakazi wao kuhakikisha wanalipa mara moja kabla ya kuchukuliwa hatua, ikiwemo kufikishwa katika vyombo vya sheria.…
#HABARI: Utafiti unaofanyika katika mradi wa kimkakati wa Eyasi Wembere unaolenga kutafuta mafuta na gesi katika bonde la ufa la Afrika Mashariki umeonesha matumaini makubwa ya kupatikana kwa Mafuta na…