Trump ataungana na viongozi, wanadiplomasia kutoka Uturuki na wengine kwenye mkutano wa Gaza, Cairo
Mkutano huo unaripotiwa kutarajiwa kufanyika katika eneo la mapumziko la Sharm el-Sheikh na Misri "tayari imetoa mualiko kwa viongozi kadhaa."
Mkutano huo unaripotiwa kutarajiwa kufanyika katika eneo la mapumziko la Sharm el-Sheikh na Misri "tayari imetoa mualiko kwa viongozi kadhaa."
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linaendelea na uchunguzi wa tukio la kupotea kwa Padri Camillus Nikata wa Jimbo Kuu la Songea, ambaye pia ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha…
Mwandishi mashuhuri wa gazeti la kizayuni la Haaretz Chaim Levinson amesema, japokuwa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imepoteza hatamu za uongozi wa Ukanda wa Ghaza, lakini imefanikiwa…
Ukifika mwezi Desemba, kuna vibe ambalo halihitaji tangazo la serikali. Halihitaji sauti ya...
Vuguvugu la GenZ la Morocco linasema kuwa litasitisha kwa muda maandamano mwishoni mwa juma baada ya wiki mbili za maandamano ya kutaka mageuzi ya afya na elimu.
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) jana Ijumaa lilitoa wito wa kutekelezwa juhudi za kimataifa haraka iwezekanavyo ili kukabiliana na mgogoro unaoongezeka wa wakimbizi katika eneo la…
Chombo kimoja cha habari cha Kizayuni kimetangaza kuwa, zoezi la kuachiliwa huru matekani wa Palestina kutoka jela tano za Israel limeanza.
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) imewataka wataalamu wa sekta ya anga sambamba na watumiaji wa huduma za utafiti wa anga akiwemo mashirika na abiria wanaopanda ndege na watumiaji…
Mwigizaji na mwimbaji maarufu kutokea Marekani, Jennifer Lopez (J.Lo), 56, amesema alishiriki...
Maelfu ya raia wa Palestina waliokimbia wakitoroka mashambulio ya Israel waendelea kurejea kaskazini mwa Mji wa Gaza kufuatia makubaliano ya usitishaji wa mapigano yalioongozwa na Marekani wiki hii. Imechapishwa: 11/10/2025…
Muigizaji maarufu kwenye tamthilia ya Mpali ya Zambia, maarufu kwa jina la Junza, aliyekuwa...
Kwa miaka zaidi ya 15, Salama Jabir a.k.a Ece Jay amekuwa akitangaza katika televisheni na ni...
Wadau wa elimu nchini wamehimizwa kuungana katika kuwezesha upatikanaji wa miundombinu mbalimbali ya elimu ikiwemo viti vya waalimu, madawati pamoja na mabweni ya wanafunzi hali itakayosaidia kurahisisha ufundishaji na ujifunzaji…
Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1999, mtandao wa maji taka wa MUWSA umeongezeka kutoka kilomita 13...
🔴WATOTO WETU, SHULE YA MSINGI SARANGA...OKTOBA 11, 2025
Aliyekuwa mwanamuziki wa Konde Music Worldwide kwa takribani miaka mitano, Ibraah ameachia...
Utafiti unaofanyika katika mradi wa kimkakati wa Eyasi Wembere unaolenga kutafuta mafuta na gesi katika bonde la ufa la Afrika Mashariki umeonesha matumaini makubwa ya kupatikana kwa mafuta na gesi…
Duru za habari za utawala wa Kizayuni wa Israel zimekiri kwamba vita vya Ghaza vimeisha na Hamas imepata mafanikio mengi kiasi kwamba licha ya kupita miaka miwili ya mashambulizi ya…
Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amegusia uwezekano wa kutokea vita vya moja kwa moja vya kijeshi baina ya Iran na Marekani…
Mamia ya maelfu ya wananchi wa Yemen walifanya mikutano na maandamano ya nchi nzima kitaifa jana wakielezea kuwa kwao kuendelea kuitandika na kuitia adabu Israel kama haitoheshimu makubaliano ya kusitiza…
Mfalme Mohammed wa Sita wa Morocco jana Ijumaa alitoa amri ya kufanyika mageuzi ya kimsingi ili kulinda haki za kijamii wakati huu ambapo nchi hiyo imekumbwa na maandamano yanayoongozwa na…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) jana Ijumaa lilionya kwamba wakimbizi nchini Ethiopia wako katika hatari ya kuteseka zaidi kwa njaa huku uhaba mkubwa wa…
Mwezi huu tunatimiza miaka ishirini na sita toka kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius...
Ni wazi kuwa baadhi ya mashabiki wa msanii wa muziki wa singeli DJ Mushizo wamepata faraja...
Siku moja kabla ya uchaguzi wa urais nchini Cameroon, serikali imefanya mkutano na waandishi wa habari siku ya Ijumaa, Oktoba 10, ili kusisitiza sheria kuhusu kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi.…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, siku ya Ijumaa, Oktoba 10, ameamua kumteua tena Sébastien Lecornu kama Waziri Mkuu. Mfuasi huyu mwaminifu wa Rais wa Jamhuri, ambaye alijiuzulu mapema wiki hii…
Mradi wa Bonde la Eyasi Wembere ni miongoni mwa miradi ya kimkakati ya Serikali inayotekelezwa...
Jeshi la Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo linatoa wito kwa waasi wa FDLR, wanaochukuliwa na Kigali kuwa “tishio lililopo,” kuweka chini silaha zao, kifungu muhimu cha makubaliano ya amani yaliyotiwa…
🔴KUMEKUCHA: MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA AKILI DUNIANI ...OKTOBA 11, 2025
Katika kulipiza kisasi kwa vikwazo vilivyowekwa na Beijing kwenye sekta ya kimkakati ya juu ya ardhi adimu, Donald Trump ametangaza kwenye mtandao wake wa Truth Social kwamba Marekani itatoza ushuru…
🔴MAGAZETI: LISSU , JAMHURI NI MWENDO WA MAPINGAMIZI / UTATA DILI LA RORO, BENCHI LA FOLZ KUMEGWA...
#KIPIMAJOTO: Wagombea ambao hawaonekani wakinadi sera zao kwa wapiga kura. Je, walijipanga kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao?
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina, HAMAS pamoja na makundi mengine washirika ya Muqawama wa Palestina yamesisitiza kuwa uamuzi wowote kuhusu utawala wa baadaye wa Ghaza ni "suala la…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 11, 2025
Umati mkubwa wa wakazi wa mji wa Tehran na miji mingine kote Iran jana waliandamana kwa lengo la kuiunga mkono Palestina na kuonyesha mshikamano kwa wakazi wa Ukanda wa Gaza.
Somalia na Djibouti zimekaribisha makubaliano ya amani yaliyofikiwa kwa ajili ya kusitisitisha vita katika Ukanda wa Gaza na kupongeza juhudi za kikanda na kimataifa za kufanikisha usitishaji vita, kuhahakisha misaada…
Somalia na Djibouti zimekaribisha makubaliano ya amani yaliyofikiwa kwa ajili ya kusitisitisha vita katika Ukanda wa Gaza na kupongeza juhudi za kikanda na kimataifa za kufanikisha usitishaji vita, kuhahkikisha misaada…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesisitiza kuwa nchi yake itachukua hatua "muhimu" ili kulinda haki halali za makampuni na raia wa China katika kukabiliana na vikwazo…
Mamlaka za afya nchini Senegal zimethibitisha kuaga dunia watu 17 katika kile kinachoelezwa kuwa mlipuko mkubwa wa Homa ya Bonde la Ufa (RVF). Mlipuko huu wa homa ya Bonde la…
Leo ni Jumamosi 18 Mfunguo Saba Rabiuthani 1447 Hijria mwafaka na 11 Oktoba 2025 Miladia.
Miaka minne tangu ilipojiondoa Marekani, kwa mara nyingine tena Afghanistan imegeuzwa nukta kuu inayoangaziwa na madola yenye nguvu duniani.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Shambulizi hilo liliwalenga wanajeshi na magari yao, msemaji wa jeshi alisema.
Ivory Coast imejiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya leo...
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 10, OKTOBA 2025
"Mara hii katika mbio hizi za kuwania kutafuta kura vyama vimekomaa, unakuta chama tangu ianze kampeni chama ambacho hukukitizamia kishatembea saizi mikoa zaidi ya 17, Wilaya zaidi ya 30, unakuta…
"Tumepata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura, na tumefundisha watu kwenda kuelimisha jamii kuhusu elimu ya mpiga kura, watu wanahamasika" Wakili Fransisca Silayo - Mkurugenzi Msaidizi TANLAP Powered by…
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameahidi...
Mgombea Urais wa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewatoa hofu...
Polepole aliyewahi kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo ya Chama cha Mapinduzi (CCM)...