Mshangao Argentina ikimuita kikosini ‘Mmachinga’
Kocha Mkuu wa Argentina, Lionel Scaloni ameibua mijadala nchini humo baada ya kumjumuisha...
Kocha Mkuu wa Argentina, Lionel Scaloni ameibua mijadala nchini humo baada ya kumjumuisha...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MWANZA: OKTOBA 06, 2025
Jumanne ya Oktoba 7, 2025 kwenye kipindi cha Morning Trumpet, tutakuwa na mahojiano maalum na viongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) watakaozungumzia mambo mahususi kuhusu shirika hilo na huduma…
PRIME Hersi, Arafat waachiwa msala hatima ya Folz Yanga PRESHA iliyopo ndani ya Yanga hivi sasa, inamfanya kocha mkuu wa kikosi hicho, Romain Folz kusikilizia hatima yake ndani ya timu…
#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan…
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza huduma yake mpya ya...
#HABARI: Makundi tofauti tofauti ya viongozi na baadhi ya watu wenye ulemavu mkoani Singida, wamejengewa uwezo wa kuwaelimisha watu wenye ulemavu vijijini, jinsi ya uelewa masuala ya uchaguzi ili na…
Ukuaji wa sekta ya kilimo nchini umechangia asilimia 29 ya pato la taifa na kutoa ajira kwa takribani asilimia 60 ya Watanzania...hali inayotajwa kuwa fursa muhimu kwa taasisi za kifedha…
Mkuu wa Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Raymond Mwangwala ametoa wito kwa watafiti nchini...
Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi kuwa katika kipindi cha awamu ya pili ya serikali yake, itapunguza gharama za chakula kupitia mpango wa kununua mpunga…
Kikosi cha Nane cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TANBAT 08) kinacholinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) chini ya mwavuli wa MINUSCA, kimetunukiwa nishani za…
Nyota ya Maalim Seif Sharif Hamad, imeendelea kuwa turufu ya kisiasa kwa Chama cha ACT...
MSANII wa vichekesho nchini, Aman Nzala maarufu kama ‘Anko Nzala’ amesema japo ni shabiki wa Simba lialia, anafurahi kuonA video zake zinafuatiliwa hadi na watu wa upande wa pili akiwamo…
BODI ya Ligi imemtangaza Ahmad Ally wa JKT Tanzania kuwa kocha bora wa Ligi Kuu Bara mwezi uliopita, lakini kocha huyo ameitoa tuzo hiyo kwa wachezaji wa kikosi hicho akisema…
KIPA wa JKT Tanzania, Ramadhan Chalamanda amesema anafurahia nafasi anayopata katika kikosi hicho alichojiunga nacho msimu huu akitokea Kagera Sugar, huku akifichua kinachombeba akimtaja kocha Ahmad Ally.
#HABARI: Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF, umeanza kusajili wanachama kwa njia ya kidijitali huku wanufaika wa mafao nao wakirahisishiwa mchakato wa kufungua madai, mara ajira zao zinapokoma kwa kutumia…
Rais William Ruto aliunda timu ya watu 16, ikiongozwa na mshauri wake Profesa Makau Mutua, kusimamia fidia kwa waathiriwa wa maandamano tangu 2017, huku Faith Odhiambo akiteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti…
Lissu anakabiliwa na kesi ya uhaini, akidaiwa kuwa kwa njia ya uchochezi alishawishi umma...
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza katika taarifa yake ya leo Jumatatu kuwa timu yake ya mazungumzo imeshawasili Misri.
Jumla ya Sh5 bilioni zimetumika kuwakwamua kiuchumi wajasiriamali wadogo 2,000 kupitia kampuni...
Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, imewahukumu kifungo cha miaka 20 na 30 jela ndugu wa...
#HABARI: Zaidi ya wanachama 364 wa Chama cha ACT Wazalendo wamehamia rasmi Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakisema wamevutiwa na sera na dira ya Maendeleo inayotekelezwa na CCM chini ya uongozi…
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi amesema...
#HABARI: Hali ya mvutano imetokea baina ya mawakili wa Jamhuri na baadhi ya mawakili wa upande wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu pamoja wafuasi wa…
#HABARI: Mahakama Mkuu Masjala Kuu Dodoma imeahirisha kutoa hukumu katika kasi yenye shauri namba 24027/2025 aliyofunguliwa na Mgombea Urais aliyeteuliwa na Chama cha ACT-Wazalendo Bw. Luhaga Mpina na chama hicho…
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimeomba Rais atakayechaguliwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa...
#HABARI: Benki ya CRDB Tawi la Moshi mkoani Kilimanjaro, imezindua wiki ya huduma kwa wateja, iliyowakutanisha wateja wa Benki hiyo huku wakiahidi kuboresha zaidi huduma zake, ikiwemo utoaji huduma za…
Inaelezwa kuwa uhusiano wa mbali (Long distance relationship) ndani ya familia unakumbwa na changamoto nyingi ikiwemo kusalitiana na mengineyo. Je, uhusiano wa mbali unaweza kudhoofisha upendo katika familia Na unadhani…
Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ambaye alielekeai Kuwait kuhudhuria Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Usalama na Ushirikiano wa Kikanda kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa…
Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ambaye alielekeai Kuwait kuhudhuria Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Usalama na Ushirikiano wa Kikanda kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa…
Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba ametoa wito wa mchakato wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba kutoingiliwa na vyombo vya dola.
Eswatini imepokea wahamishwaji wengine 10 kutoka Marekani chini ya mpango wa Washington wa kuhamisha wahamiaji kwenda nchi za ulimwengu wa tatu, kulingana na taarifa leo Jumatatu Oktoba6, 2025. Imechapishwa: 06/10/2025…
🔴MEZA HURU: MATUMIZI UMEME NA MIUNDOMBINU...OKTOBA 03, 2025
#HABARI: Mgombea Urais aliyeteuliwa na Chama cha ACT-Wazalendo Bw. Luhaga mpina tayari amefika Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma kusikiliza shauri Lake walilolifungua pamoja na Chama cha ACT- Wazalendo wakipinga kuondolewa…
Uongozi wa kugawana majukumu na mashauriano ya kina na walimu ni mambo muhimu katika kuboresha ustawi wa waelimishaji na matokeo ya kujifunza ya wanafunzi, amesema Carlos Vargas, Mkuu wa Kitengo…
Katika mjadala wa kila mwaka wa wazi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Wanawake, Amani na Usalama, Katibu Mkuu António Guterres amesema ukosefu wa ufadhili endelevu na…
Katika kuhakikisha mama hapotezi maisha wakati wa kujifungua hii leo imezinduliwa miongozo mipya yenye lengo la kuokoa maisha ya maelfu ya wanawake wanaofariki kila mwaka kutokana na kutokwa damu nyingi…
Leo ni Siku ya Makazi Duniani, na Umoja wa Mataifa unatoa wito wa kuchukua hatua za haraka kujenga miji jumuishi, imara na salama hasa kwa mamilioni ya watu waliolazimika kukimbia…
Mashauri yanayohusu mabadiliko ya tabianchi sasa yanafanyika katika nchi nyingi zaidi duniani kuliko wakati mwingine wowote, imebainishwa kwenye ripoti mpya iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira UNEP…
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, ameukaribisha uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) wa kumtia hatiani Ali Muhammad Ali Abd-Al Rahman, maarufu…
Katika hotuba yake ya ufunguzi kwenye kikao cha sabini na sita cha kamati ya Utendaji ya Mpango wa Kamishna Mkuu, Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Wakimbizi, Filippo Grandi,…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) likishirikiana na Shirika la Afya la Pan-America (PAHO) limeripoti kuwa, mwezi wa Julai mwaka jana, katika eneo la mbali la Butête…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imemjibu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
Tuzo ya Nobel ya Tiba imetolewa leo Jumatatu, Oktoba 6, kwa Wamarekani Mary E. Brunkow, Fred Ramsdell, na Mjapan Shimon Sakaguchi kwa uvumbuzi wao kuhusu uvumilivu wa pembeni wa kinga.…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Marekani na utawala wa Israel zinabeba dhima kwa mashambulizi yaliyo kinyume cha sheria zilizoyafanya dhidi ya taasisi za nyuklia…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Marekani na utawala wa Israel zinabeba dhima kwa mashambulizi yaliyo kinyume cha sheria zilizoyafanya dhidi ya taasisi za nyuklia…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Marekani na utawala wa Israel zinabeba dhima kwa mashambulizi yaliyo kinyume cha sheria zilizoyafanya dhidi ya taasisi za nyuklia…
Urusi imedungua droni 251 za Ukraine usiku wa kuamkia Jumatatu, nyingi zikiwa katika maeneo ya Bahari Nyeusi na moja kuelekea mjini Moscow huku umeme ukiripotiwa kukatika mjini Belgorod.
PRESHA iliyopo ndani ya Yanga hivi sasa, inamfanya kocha mkuu wa kikosi hicho, Romain Folz kusikilizia hatima yake ndani ya timu hiyo. Hali hiyo imekuja kufuatia kundi kubwa la mashabiki…