Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima Nigeria
DODOMA – Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Heshima kutoka Nasarawa State University, Keffi nchini Nigeria, kupitia hafla iliyofanyika kwa njia ya mtandao Aprili 11,…