🔴#MEZAHURU: DHAMANA …. DESEMBA 15, 2025
🔴#MEZAHURU: DHAMANA .... DESEMBA 15, 2025
🔴#MEZAHURU: DHAMANA .... DESEMBA 15, 2025
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dodoma umekanusha taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikionesha kipande cha barabara kilichojengwa chini ya kiwango katika eneo la Makaravati Wilayani Kongwa katika…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....DESEMBA 15, 2025
Serikali ya Mkoa wa Mtwara imeishauri Wizara ya TAMISEMI kuangalia namna ya kutoidhinisha vibali vya uhamisho kwa watumishi wanaoomba kuhama vituo vyao vya kazi ndani ya mkoa huo, hatua hii…
Wananchi wa Mkoa wa Kagera wamesema ujenzi wa tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kampasi ya Kagera utafungua fursa mbalimbali za kibiashara na kuwasaidia wazazi kupunguza gharama za…
Kundi la waasi la M23 linadaiwa kujipanga kuendelea na mashambulizi yake nje ya Mkoa wa Kivu Kusini, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), baada ya kudhibiti mji wa…
Bado siku tatu kufika Desemba 18, siku ambayo tamthilia ya Mrs Garcia itaanza. #MrsGarcia #AzamONE
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....DESEMBA 15, 2025
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho wawasili Abasia ya Mtakatifu Benedikto Peramiho, misa ya kumuombea yafanyika Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mhe. Jenista Mhagama, umewasili katika Kanisa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA sita NA DAKIKA 55....DESEMBA 15, 2025
#MEZAHURU: Je unafahamu utaratibu wowote kisheria juu ya kumuwekea mtu dhamana polisi au mahakamani..? na kipi kifanyike kuwapa elimu watu kwenye neon dhamana..?
Ukaguzi uliofanywa na kikosi cha usalama barabarani mkoani Geita umebaini kuwa kuelekea mwisho wa mwaka kuna ongezeko la tabia hatarishi miongoni mwa baadhi ya madereva wanaofanya shughuli zao kwa kuangalia…
#HABARI: Wakili Hekima Mwasipu amesema Mteja wake Geoffrey Mwambe ameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi hapo jana Desemba 14,2025. Mwambe ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, anatuhumiwa…
Ukiachana na mazoea ya muda mrefu ya kuwaandaa na kupamba maharusi wa kike kwa ajili ya ndoa, hivi sasa mambo yamebadilika. Katika nyakati za sasa, hata vijana wa kiume visiwani…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....DESEMBA 15, 2025
Said 'usinene ukamala' 🙂 #NomaSeries
#MEZAHURU:"Kuwekewa Dhamana". Tunaagalia juu ya utaratibu na haki ya kuwekewa dhamana kisheria. Upi utaratibu sahihi wa dhamana
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....DESEMBA 15, 2025
#HABARI: Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Desemba 15, 2025 anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), katika…
"Kwenye vikoba vyetu tuna Idara ya miradi. Kwa mwanachama yoyote ambaye anataka kuanzisha mradi wowote aliyekuwa na elimu na huo mradi anaiona Idara ya miradi ili wamsaidie lile wazo la…
"Kwenye Kikoba, sisi wanawake tunakusanyana pamoja na kupeana elimu ya uwekezaji mdogo wa kuwekeza pesa yetu kidogo kidogo ili baadae tujikwamue kiuchumi sisi na jamii zetu na familia zetu. Kwa…
"Kila wiki siku ya Jumatano tunakutana Kikoba kwahiyo kila mwanamke lazima ajifunze kuweka akiba, asipoweka akiba anapigwa faini. Kwa hiyo lazima ajishungulishe, auze mboga mboga, matunda, maji au afanye shughuli…
Watu waliovalia mavazi ya viumbe wa kutisha ‘Krampus’ kutoka katika simulizi za jadi za maeneo ya Milima ya Alps, wameonekana wakipita mitaani mjini Munich - Ujerumani katika gwaride na kuwaadhibu…
"Mikopo ya Kausha damu inaua wanawake na wanaume pia. Kwa sababu Mimi kama mama nitakwenda kukopa Kausha damu na kila siku lazima urejeshe kitu. Haijalishi unazalisha au la. Lazima inaathiri…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 15,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Orhan atangaza ndoa kwa binti Tekfur. Hehehe mambo yananoga. Wasaliti wameitenda familia ya Osman Bey 🥹 Usikose OTTOMAN leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamTWO
🔴 RAIS MHE.DKT.SAMIA SULUHU HASSAN ANAHUTUBIA TAIFA.... DESEMBA 15, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....DESEMBA 15, 2025
Bado Maryam anaendelea na uamuzi wake wa kuwa mkweli na kuhakikisha anasema kila kitu. Leo amewaambia Razan na mwenzake kuwa sio ndugu yao wa damu. Usikose kutazama UMMY leo saa…
Unadhani nini kifanyike? #LiveonClouds360 #Clouds26Nyoosha #LainiYawana
Usipange kukosa uhondo wa JUANA leo saa 1:00 usiku. Unadhani Camila ataondoka nyumbani kwa Gaby? Tukutane #AzamONE
Bisura anajaribu kuweka sawa na watoto wake. Sheiza ampeleka Shakei kwa kina Hamida 😅 Baba Mussa amuwakia James bila shaka ni kuhusu mtoto wake kutojulikana yupo wapi. Usikose kutazama #PichaYanguSeries…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: .....DESEMBA 15, 2025
Hashmet yamemkuta huku 😅😅 Aziza ameshuhudia upande wake mweusi. Ohoo Zeliha ameiona bangili ya marehemu mama yao ikiwa kwenye vito vya bibi yake Yusuf. Usikose kutazama 6 of Us leo…
#KIPIMAJOTO: Kutaifisha mali za wanaokutwa na hatia ya kujihusisha na dawa za kulevya. Je, ni suluhisho la kukomesha biashara hiyo haramu?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DESEMBA 15, 2025
Mmmh Mashavu 🙌😅 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Aziza amepata kazi lakini ni kama anazongwa na ugonjwa asioufahamu 🥹
Dah eti Bonge la Dada wa #Mbosso ndio shoga yake Mwana 😅😆 #NomaSeries
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania waweka akiba ya chakula walichonacho na waepuke matumizi yasiyofaa kutokana na hali ya kuchelewa kwa msimu wa mvua. Waziri Mkuu amesema hayo leo…
Kazi ya udereva wa abiria na mizigo inatajwa kuwa na changamoto mbalimbali zikiwemo ajali ambazo baadhi ya madereva hukumbwa nazo. Hata hivyo kwa Mzee Faraji Nyembo maarufu kama “Mzee Pozi…
Mkuu wa Wilaya ya Butiama Thecla Mkuchika ameiagiza Mamlaka ya Maji Mugango-Kiabakari kupeleka huduma ya maji katika hospitali mpya ya wilaya hiyo, Kizurira Nyerere Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo Dkt.…
Chama cha Waigizaji wa Filamu Mkoa wa Iringa (TDFAA) kimetoa tuzo ya heshima kwa kampuni ya Azam Media Limited kupitia chaneli ya Sinema Zetu HD, ikiwa ni kutambua mchango wa…
Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na Dawa za kulevya Zanzibar (ZDCEA) imetaifisha nyumba nne zenye thamani ya zaidi ya millioni 169 zinazodaiwa kumilikiwa na Mohamed Omar Ali anayetuhumiwa kufanya biashara…
Shughuli imewachanga wana Kikala nyumba haikaliki 😅 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Malasusa amewataka viongozi wa dini zote nchini kuwa chanzo cha kuwaunganisha Watanzania katika kudumisha amani na si kuwa chanzo…
Tunaendelea tulipoishia 😅🙌 #NomaSeries
#live:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USUKU - 14/12/2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA DESEMBA 14,2025 - WAKAZI WA DAR ES SALAAM WAENDELEA KUTAHABIKA KWA KUKOSA MAJI
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 14/12/2025