Mpango maalum wa wastaafu wazinduliwa Dar
Dar es Salaam: Afisa mtendaji mkuu wa SanlamAllianz Life Insurance Julius Magabe, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa bidhaa yao mpya ya Salama Plan inayolenga kuwahudumia wastaafu…
Tanzania extend ties with Congo DR to the parliamentary level heading to its lawmakers tour of Dar
KINSHASA: TANZANIA has reaffirmed its commitment to strengthening diplomatic and parliamentary relations with the Democratic Republic of Congo , as preparations gather pace for an upcoming visit by Congolese lawmakers…
Tume yabaini njama za kuvuruga uchaguzi, vijana wakiwekwa kambi na kupewa mafunzo
Uchunguzi wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani umebaini kuwa dalili za kupanga na...
Mambo matano makubwa katika ripoti ya matukio ya Oktoba 29 Tanzania
Ni ripoti iliyokusanywa kwa miezi kadhaa chini ya Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande, ambayo imewahoji maelfu ya watanzania, imetumia picha na video za wakati wa Oktoba 9 na siku zilizofua.
Tanzania opens the Mamire Gate, a new entry to Tarangire National Park
BAHATI: THE opening of the Mamire Gate as a new entry point to Tarangire National Park is expected to boost revenue collection, create business opportunities, and improve access to tourism…
The end of ‘unqualified’: Tanzania targets 80,000 skilled artisans
THE government has launched a landmark vocational revolution, pivoting from traditional academic degrees to a skills-first economy. Through the Mama Samia Skills Recognition and Certification Programme, the state aims to…
Chande commission proposes a National Mourning Day for victims of Oct 29 violence
DAR ES SALAAM: THE presidential commission of Inquiry into breach of peace during and a few days after the October 29th, 2025 General Elections has recommended the declaration of a…
Naibu Waziri apatiwa maelezo juu ya Afya Mkopo
Dodoma: Naibu Waziri wa afya Dk Florence Samizi akimsikiliza Mkuu wa kanda ya kati Vodacom Tanzania Plc Chiha Nchimbi (katikati) aliyekuwa akifafanua jambo juu ya mikopo kwa watoa huduma binafsi…
KCMC calls for a continued supporting efforts to construct its major cardiac unit
DAR ES SALAAM: THE leadership of the Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC) has called on citizens both within and outside the country to continue supporting efforts to construct a major…
Gamondi atia neno ushindani Muungano Cup
KOCHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Miguel Gamondi, yupo hapa Zanzibar akiwa na ratiba zingine, lakini alipoangalia mechi mbili tu za Kombe la Muungano akatoka na mambo…
LINAPOTOKEA JAMBO LA HASARA NA KUUMIZA MOYO, MATARAJIO NI KUFARIJIWA – DKT SAMIA
LINAPOTOKEA JAMBO LA HASARA NA KUUMIZA MOYO, MATARAJIO NI KUFARIJIWA - DKT SAMIA (Feed generated with FetchRSS)
Wingu Africa launches WCX in Tanzania
DAR ES SALAAM: Wingu Africa is ramping up efforts to democratise access to cloud technology in Tanzania with the launch of its Wingu Cloud Exchange (WCX), a move the company…
Filamu ya #TheGreenTanzanite unaitazama kwa shilingi 2,000 tu kwenye @azamtvmaxapp
Filamu ya #TheGreenTanzanite unaitazama kwa shilingi 2,000 tu kwenye @azamtvmaxapp @azamtvtz @azamtvburudani #TheGreenTanzanite (Feed generated with FetchRSS)
JKT Queens yaingiza mastaa 10 kufuzu Kombe la Dunia
BAKARI Shime ambaye ni Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite Queens, ameita kikosi cha wachezaji 27 kinachoingia kambini kujiandaa…
Monte Carlo Masters 2026: Tennis preview and betting favorites worth watching this April
Monte Carlo Masters 2026 starts April 5 with Alcaraz defending his crown and Sinner arriving...
#MuunganoCup Katika ziara yao ya kutembelea vivutio mbalimbali hapa Zanzibar, msafara wa wachezaji na viongozi wa Yanga ukapata …
#MuunganoCup Katika ziara yao ya kutembelea vivutio mbalimbali hapa Zanzibar, msafara wa wachezaji na viongozi wa Yanga ukapata mapokezi oia kwa 'vijana wa makachu'. Tazama ilivyokuwa... Ziara hii ni moja…
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaanza kufanyia kazi mara moja mapendekezo ya tume, ikiwemo kuchukua hatua za haraka …
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaanza kufanyia kazi mara moja mapendekezo ya tume, ikiwemo kuchukua hatua za haraka za kuunda tume ya maridhiano ya kitaifa pamoja na kuanzisha chombo…
Mkongomani atoa msimamo Tanzania Prisons
BEKI wa kati wa Tanzania Prisons, Mkongomani Heritier Lulihoshi amesema bado hajajua hatma yake katika kikosi hicho, huku mkataba wake wa mwaka mmoja aliousaini na timu hiyo ukifikia tamati mwishoni…
Watoto watatu wafariki dunia kwa kuzama bwawa la hoteli Dodoma
Watoto watatu wenye umri kati ya miaka mitano na sita wamefariki dunia baada ya kuzama kwenye...
Pamba Jiji yamaliza sakata la Larry Bwalya
KIUNGO wa kimataifa wa Zambia, Larry Bwalya sasa yuko hatua za mwisho kujiunga na Pamba Jiji baada ya pande zote kufikia makubaliano kutokana na sakata la awali lililokuwa limekwamisha dili…
Chande Commission dismisses mass grave claims after scientific inquiry
DAR ES SALAAM: THE Commission of Inquiry into the unrest linked to the 29 October 2025 General Election has dismissed allegations of mass graves in Kondo, saying extensive investigations found…
‘Kinachowavuta shati’ wasichana kwenye ulimwengu wa Tehama hiki hapa
Licha ya ukuaji wa kasi wa teknolojia duniani, ripoti za hivi karibuni, ikiwemo ya Shirika la...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaweka utaratibu maalum wa kugharamia matibabu kwa majeruhi wa vurugu za Oktoba 29, s…
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaweka utaratibu maalum wa kugharamia matibabu kwa majeruhi wa vurugu za Oktoba 29, sambamba na kuchukua hatua za kuwafariji na kuwasaidia wafanyabiashara waliopata hasara…
Nitaubeba Mzigo huu kwa ujasiri, kujiamini na tahadhari kubwa – Rais Samia
Nitaubeba Mzigo huu kwa ujasiri, kujiamini na tahadhari kubwa - Rais Samia (Feed generated with FetchRSS)
No Reform No Election, Oktoba Tunatiki yatajwa kuchochea fujo Oktoba 29
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29 imesema baadhi ya kaulimbiu za kisiasa kama vile ‘Otoba...
Usiku wa Vitasa Aprili 24, 2026
Usiku wa Vitasa Aprili 24, 2026. Moja ya pambano litakalopigwa katika ya Vita Kisasi ni Mchanja Yohana dhidi ya Eric Korley kutoka Ghana. Hizi hapa Takwimu zao Usiku wa Vita…
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema taifa linapaswa kujifunza kwa kina kutokana na matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wak…
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema taifa linapaswa kujifunza kwa kina kutokana na matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akieleza masikitiko makubwa…
Dr Samia pledges a promptly implementation of Chande Commission’s recommendations
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has pledged immediate implementation of recommendations from the presidential commission investigating post-election violence, saying the findings will guide urgent reforms to prevent a…
16 security personnel killed by rioters during the Oct 29 violence
DAR ES SALAAM: At least 16 security personnel were killed during last year’s election-related violence, a presidential probe has revealed, even as it dismissed claims of mass graves in the…
‘Tungeweza, tungefuta maumivu ya Oktoba 2025’
Rais Samia Suluhu Hassan amesema matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya...
KCMC yahimiza uchangiaji ujenzi kituo cha moyo
DAR ES SALAAM: UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) umeomba wananchi wa ndani na nje ya nchi kuendelea kuunga mkono juhudi za ujenzi wa kituo kikubwa…
ICC yathibitisha mashtaka yote dhidi ya aliyekuwa Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte, kesi kuanza kusikilizwa
Majaji wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC wamethibitisha kwa kauli moja mashtaka yote dhidi ya aliyekuwa Rais wa Ufilipino, Rodrigo Roa Duterte, na kuamuru kesi yake kupelekwa katika chumba…
Kutoka Tanzania hadi UN, Irene Kitoti katika mazungumzo ya kumpata Katibu Mkuu mpya
Katika ukumbi wa Baraza Kuu kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani wiki hii, vijana na wawakilishi kutoka asasi za kiraia walipata nafasi adimu ya kuuliza…
Baraza la Usalama: Haiti iko njia panda raia wakiendelea kuteseka
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limekutana kujadili mzozo unaokua nchini Haiti, huku wasiwasi ukiongezeka kuhusu vurugu na mateso ya raia. Mjadala huo unafuatia ripoti ya hivi karibuni…
WHO yathibitisha Bahamas kutokomeza maambukizi ya HIV kutoka kwa mama hadi kwa mtoto
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) limethibitisha kuwa Bahamas imefanikiwa kuondoa maambukizi ya Virusi vya Ukimwi au HIV kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, hatua muhimu katika…
WHO yaripoti mafanikio makubwa ya afya duniani 2025 licha ya changamoto za ufadhili
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) limetoa Ripoti ya Matokeo ya mwaka 2025, ikionesha mafanikio yanayopimika katika kuboresha afya ya watu duniani licha ya kupungua kwa ufadhili…
‘Washirikisheni watoto vikao vya uamuzi’
Katika jitihada za kuimarisha uwajibikaji wa viongozi kuhusu maslahi na ushirikishwaji wa...
UNCTAD: Ukuaji wa uchumi wa nchi hauendani na maisha ya wananchi, takwimu mpya zafichua mianya ya maendeleo
Licha ya baadhi ya nchi maskini kurekodi ukuaji wa uchumi, maisha ya wananchi wengi hayabadiliki kwa kasi inayotarajiwa. Sababu kuu si ukosefu wa rasilimali pekee, bali ni udhaifu wa uwezo…
#MuunganoCup Kwa vibe hili la mashabiki wa Mlandege FC, leo Singida watatoka kweli….!!!!??
#MuunganoCup Kwa vibe hili la mashabiki wa Mlandege FC, leo Singida watatoka kweli....!!!!?? Hapa walikuwa kwenye mechi ya ligi kuu...pata picha kwenye Kombe la Muungano watakuwaje..!! Mechi yao ni saa…
Chande Commission demonizes Oct 29 violence as coordinated acts of lawlessness
DAR ES SALAAM: A presidential probe into post-election incidents has concluded that the unrest witnessed during and after the October 25 General Election did not qualify as peaceful protests, but…
Serikali yajizatiti usalama kwa wachimbaji wadogo
KAHAMA: Serikali imeendelea kusisitiza umuhimu wa kuwawezesha wakaguzi wakuu wa migodi na wachimbaji wadogo nchini ili kuimarisha usalama kazini, kulinda mazingira na kuongeza mchango wa sekta ya madini katika ukuaji…
Jaji Chande afafanua tuhuma matumizi ya silaha kwa Polisi
Jaji Mohamed Chande amefafanua kuwa licha ya askari polisi kuruhusiwa kuwa na silaha, matumizi...
Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu Amani Oktoba 29, imesema ushahidi iliyokusanywa ulibaini vijana wasiopungua 500 walihif…
Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu Amani Oktoba 29, imesema ushahidi iliyokusanywa ulibaini vijana wasiopungua 500 walihifadhiwa msituni, makambi na maeneo mbalimbali nchini kwa siku 28 ili kufanya ghasia…
Wadau wa elimu wahamasisha vijana kujiunga na mtalaa wa amali
Wadau wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) wamewataka wazazi na walezi nchini kuwahamasisha...
Tume: Idadi ya vifo vya matukio ya Oktoba 29 ni 518
Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...
Azania Bank, MOI waingia ushirikiano wa matibabu ya watoto 250
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) na Benki ya Azania PLC, zimekubaliana...
Wachimbaji na kilio cha ongezeko la bei ya mafuta
Wakati dunia ikishuhudia hatua mpya ya tahadhari na matumaini katika mvutano wa Mashariki ya...
Ludewa yatenga Sh130 milioni kila kata mikopo ufugaji wa samaki
Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe imetenga Sh130 milioni kwa kila kata ili...
Kwanini Trump ambaye alitishia kuishambulia Iran ameongeza muda wa kusitisha mapigano?
Marekani inataka kufunguliwa kwa Mlango wa Bahari wa Hormuz, na kudhibiti madini ya urani ya Iran.