Takukuru kuchunguza kampuni zinazodaiwa AMCOS Geita
GEITA: SERIKALI imeiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kufuatilia kampuni zote ambazo zimeshindwa kulipa madeni ya Vyama vya Msingi vya Kilimo na Masoko (AMCOS) mkoani Geita. Mkuu…
Baada ya miaka miwili, Simba vs Mlandege tena
Khatimu Naheka SIMBA leo Aprili 23, 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, imepata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar, huku ikijikatia tiketi ya kwenda…
Makamishna wapya waahidi kusimamia ushindani wa haki sokoni
KILIMANJARO: Mamlaka ya Ushindani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EACCA) zimekutana Mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo Aprili 23, 2026 na kuwaapisha rasmi wajumbe wapya wanne kutoka nchi za Tanzania, Somalia,…
Mbowe amwombea msamaha Ole Sabaya kwa wana Hai, asema amebadilika
Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amemwombea...
Vipi IRGC Imefikia Kuwa na Nguvu na Uwezo Unaoshuhudiwa Hivi Sasa
Maadhimisho ya mwaka huu ya kutimia miaka 48 ya kuasisiwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC yametoa mguso zaidi katika duru za kisiasa na za vyombo vya habari…
Simbu arejea nchini, ataja siri ya kung’ara mfululizo Boston
Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Alphonce Simbu amerejea nchini akitokea Marekani alikokwenda kushiriki mbio za Boston Marathon, huku akisema siri ya kufanya vizuri inatokana na jitihada ambazo amekuwa akifanya kwa…
Mwanamke anayejidai kuwa jamaa ya Kithure Kindiki azungumza wakati wa mazishi ya kakake Karangu
Mwanamuziki Karangu Muraya alimzika kakake akiwa ameshikwa mkono na familia na marafiki, na watu mashuhuri waliohudhuria wakijadili uhusiano wa Naibu Rais Kindiki.
Wananchi wilayani Kisarawe mkoa wa Pwani na maeneo mengine ya jirani wameanza kunufaika na huduma za kibingwa za macho zilizoanz…
Wananchi wilayani Kisarawe mkoa wa Pwani na maeneo mengine ya jirani wameanza kunufaika na huduma za kibingwa za macho zilizoanza kutolewa katika hospitali ya wilaya ya Kisarawe baada ya mwenge…
Mali za Sh125 bilioni ziliharibiwa vurugu za Oktoba 29
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande...
Wananchi wa Mkoa wa Lindi, wamesema wapo tayari kupokea mradi mkubwa wa gesi (LNG), unaotarajiwa kuanza kutekelezwa wakati wowot…
Wananchi wa Mkoa wa Lindi, wamesema wapo tayari kupokea mradi mkubwa wa gesi (LNG), unaotarajiwa kuanza kutekelezwa wakati wowote kuanzia sasa, huku wakimshukuru Rais Daktari Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha…
Serikali, wadau wa afya wasisitiza kuongeza juhudi kutokomeza malaria
Serikali na wadau wa sekta ya afya wamesisitiza umuhimu wa kuongeza uwekezaji, ubunifu na...
Mamcu yajitosa usafirishaji wa mizigo, yazindua mradi wa Sh1.2 bilioni
Chama Kikuu cha Ushirika wa Mazao (Mamcu) kinachohudumia wakulima wa wilaya za Mtwara, Masasi...
Hospitali ya Jiji ilivyopunguza msongamano Dodoma
Kuanzishwa kwa Hospitali ya Jiji la Dodoma kumeanza kuleta nafuu kubwa kwa wananchi baada ya...
Mbunge wa Jimbo la Nanyamba, Abdallah Chikota, ameitaka Serikali kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi wa usambazaji wa gesi maj…
Mbunge wa Jimbo la Nanyamba, Abdallah Chikota, ameitaka Serikali kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi wa usambazaji wa gesi majumbani akieleza kuwa hadi sasa idadi ya wananchi wanaonufaika na huduma…
Mgalu: Rea inasukuma ajenda ya nishati safi vijijini
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na namna ambavyo Wakala wa Nishati...
Mlandege imejinyakulia point 3 muhimu kutoka kwa Singida Black Stars
Mlandege imejinyakulia point 3 muhimu kutoka kwa Singida Black Stars. Timu hizo zimetoana jasho vikali kwenye dimba la New Amaan Complex. Mlandege Fc imeonesha ubabe wake kwaushindi wa magoli mawili…
Hivi hapa vyanzo, vichocheo vurugu za Oktoba 29
Tume hiyo iliundwa na Rais, Samia Suluhu Hassan Novemba 18, 2025, baada ya kutokea vurugu siku...
Mkemia adai unga uliokutwa kwa Mushi ni mchanganyiko wa dawa za kutibu magonjwa ya afya akili
Mkemia wa Serikali daraja la kwanza, Lowasa Erika, ameiambia Mahakama kuwa uchunguzi...
Mlandege yatinga nusu fainali Muungano Cup ikiing’oa Singida BS
HATIMAYE Mlandege FC imefanikiwa kuivalisha nguo Ligi ya Zanzibar, baada ya kuitupa nje ya mashindano ya Kombe la Muungano, Singida Black Stars kwa ushindi wa mabao 2-1.
Dk Mkama atoa agizo mafunzo ya Tehama kwa wasichana
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Switberti Mkama, ameiagiza Wizara...
Mfanyabiashara matatani kwa uchimbaji mahandaki bila kibali
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Evance Bisesagu (47), mfanyabiashara na mkazi wa...
Tume yagusa maridhiano, wachambuzi watia neno
Hatimaye pazia limeanza kufunguliwa kuhusu chanzo, madhara na waliokuwa nyuma ya ghasia...
Mwanafunzi wa Siaya Anayesomea Utabibu Aomba Msaada baada ya Kulemewa na Karo ya Chuoni
Ndoto ya Mary Grace Otieno ya kuwa daktari inazuiwa na matatizo ya kifedha. Soma safari yake ya kusisimua na changamoto zinazomkabili katika kutafuta elimu.
Iran yaituhumu Marekani kwa kukwamisha mazungumzo ya amani
Maafisa wa juu wa serikali ya Iran, wanaishtumu Marekani kwa kukwamisha mchakato wa mazungumzo ya amani, kufuatia hatua yake ya kuzuia meli za Iran kwenye mlango wa Bahari wa Hormuz…
Mahakama yazuia kusafirishwa kwa mbakai ya Edgar Lungu kwenda Zambia
Mahakama nchini Afrika Kusini, imezuia kusafirishwa nchini Zambia mabaki ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Edgar Lungu, aliyefariki dunia, miezi 10 iliyopita. Imechapishwa: 23/04/2026 – 16:54Imehaririwa: 23/04/2026 – 17:09 Dakika…
William Ruto, Oburu Waongoza ODM na Makamanda wa UDA katika Mazungumzo ya Kutuliza Makali ya Mawimbi
Rais William Ruto na makamanda wake wa UDA walikutana na wenzao wa chama cha ODM, wakiongozwa na seneta wa Siaya Oburu Oginga. Mvutano umekuwa ukitikisa ODM-UDA.
William Ruto, Oburu Waongoza ODM na Makamanda wa UDA katika Mazungumzo Mvutano wa Kimaeneo Ukichacha
Rais William Ruto na makamanda wake wa UDA walikutana na wenzao wa chama cha ODM, wakiongozwa na seneta wa Siaya Oburu Oginga. Mvutano umekuwa ukitikisa ODM-UDA.
Watu 518 walifariki katika vurugu za uchaguzi Mkuu Tanzania: Tume
Watu 518 walipoteza maisha wakati wa vurugu za uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Tanzania tarehe 29 mwezi Oktoba mwaka uliopita, kwa mujibu wa ripoti ya tume ya uchunguzi ambayo imewasilisha ripoti…
Ibenge: Yanga SC ndio tunaowataka
AZAM FC imekuwa timu ya pili kukata tiketi ya kutinga hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Muungano ikiifuata Yanga, lakini kocha wa kikosi hicho chenye maskani yake Chamazi jijini…
Samia: Ya Oktoba 29 yalitutikisa
Rais Samia Suluhu Hassan amesema matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati wa Uchaguzi...
Reforms target women in agriculture
DAR ES SALAAM: TANZANIA plans to remove structural barriers facing women in agriculture as it seeks to unlock productivity, strengthen food security and drive eco- nomic growth. Deputy Permanent Secretary…
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar zimesaini mkataba maalum wa kushirikiana katika …
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar zimesaini mkataba maalum wa kushirikiana katika utekelezaji wa miradi ya elimu itakayohusisha ujenzi na ukarabati wa…
Mido aingia anga za Azam
MATAJIRI wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC, wameanza harakati za kukisuka kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao na kwa sasa wanafuatilia kwa ukaribu uwezekano wa kumpata kiungo…
Simba Queens yashusha pumzi, Mnunka yuko salama
KAIMU Kocha Mkuu wa Simba Queens, Mussa Hassan ‘Mgosi’ amesema afya ya kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Aisha Mnunka iko vizuri na hakuna shida kubwa aliyoipata.
Mjadala wa Wanaume Wenye Ndevu: Talaka ya Njugush-Wakavinye Yachochea Gumzo Wanawake Wakifungua Roho
Taarifa ya kutibuka kwa ndoa ya Njugush na Wakavinye, wametengana rasmi umewaacha mashabiki na mioyo iliyovunjika — na gumzo kuhusu ndevu likaibuka.
Mpango maalum wa wastaafu wazinduliwa Dar
Dar es Salaam: Afisa mtendaji mkuu wa SanlamAllianz Life Insurance Julius Magabe, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa bidhaa yao mpya ya Salama Plan inayolenga kuwahudumia wastaafu…
Tanzania extend ties with Congo DR to the parliamentary level heading to its lawmakers tour of Dar
KINSHASA: TANZANIA has reaffirmed its commitment to strengthening diplomatic and parliamentary relations with the Democratic Republic of Congo , as preparations gather pace for an upcoming visit by Congolese lawmakers…
Tume yabaini njama za kuvuruga uchaguzi, vijana wakiwekwa kambi na kupewa mafunzo
Uchunguzi wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani umebaini kuwa dalili za kupanga na...
Mambo matano makubwa katika ripoti ya matukio ya Oktoba 29 Tanzania
Ni ripoti iliyokusanywa kwa miezi kadhaa chini ya Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande, ambayo imewahoji maelfu ya watanzania, imetumia picha na video za wakati wa Oktoba 9 na siku zilizofua.
Tanzania opens the Mamire Gate, a new entry to Tarangire National Park
BAHATI: THE opening of the Mamire Gate as a new entry point to Tarangire National Park is expected to boost revenue collection, create business opportunities, and improve access to tourism…
The end of ‘unqualified’: Tanzania targets 80,000 skilled artisans
THE government has launched a landmark vocational revolution, pivoting from traditional academic degrees to a skills-first economy. Through the Mama Samia Skills Recognition and Certification Programme, the state aims to…
Chande commission proposes a National Mourning Day for victims of Oct 29 violence
DAR ES SALAAM: THE presidential commission of Inquiry into breach of peace during and a few days after the October 29th, 2025 General Elections has recommended the declaration of a…
Naibu Waziri apatiwa maelezo juu ya Afya Mkopo
Dodoma: Naibu Waziri wa afya Dk Florence Samizi akimsikiliza Mkuu wa kanda ya kati Vodacom Tanzania Plc Chiha Nchimbi (katikati) aliyekuwa akifafanua jambo juu ya mikopo kwa watoa huduma binafsi…
KCMC calls for a continued supporting efforts to construct its major cardiac unit
DAR ES SALAAM: THE leadership of the Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC) has called on citizens both within and outside the country to continue supporting efforts to construct a major…
Gamondi atia neno ushindani Muungano Cup
KOCHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Miguel Gamondi, yupo hapa Zanzibar akiwa na ratiba zingine, lakini alipoangalia mechi mbili tu za Kombe la Muungano akatoka na mambo…
LINAPOTOKEA JAMBO LA HASARA NA KUUMIZA MOYO, MATARAJIO NI KUFARIJIWA – DKT SAMIA
LINAPOTOKEA JAMBO LA HASARA NA KUUMIZA MOYO, MATARAJIO NI KUFARIJIWA - DKT SAMIA (Feed generated with FetchRSS)
Wingu Africa launches WCX in Tanzania
DAR ES SALAAM: Wingu Africa is ramping up efforts to democratise access to cloud technology in Tanzania with the launch of its Wingu Cloud Exchange (WCX), a move the company…