Mechi za leo katika Bundesliga
Mechi za leo katika Bundesliga Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama Bundesliga mwezi mzima mbashara kupitia AzamSports2HD. @bundesliga (Feed generated with FetchRSS)
Mtaalamu wa saikolojia, John Ambrose, ameitaka serikali kupitia wabunge kutunga sheria maalum za kuwasaidia watoto wenye changam…
Mtaalamu wa saikolojia, John Ambrose, ameitaka serikali kupitia wabunge kutunga sheria maalum za kuwasaidia watoto wenye changamoto ya akili. Ambrose amesema watoto hao wanakabiliwa na mazingira magumu, huku walezi wao…
Mitazamo sita ya lishe ambayo hufai kuamini
Kuondoa vyakula vya wanga kunaweza kuchangia kupunguza uzito wa mwili, ila kwa mara nyingi huchangia kupoteza kiwango cha maji mwilini kuliko mafuta.
Mazungumzo ya Marekani na Iran yavunjika bila makubaliano
Mazungumzo ya saa 21 kati ya Marekani na Iran yakivunjika bila makubaliano, yakihatarisha usitishaji vita na usalama wa usambazaji wa mafuta duniani. The post Mazungumzo ya Marekani na Iran yavunjika…
Elimu ndogo ya utambuzi wa mapema wa changamoto za ukuaji na ufahamu kwa watoto, imeelezwa kuwa chanzo cha wazazi wengi kuchelew…
Elimu ndogo ya utambuzi wa mapema wa changamoto za ukuaji na ufahamu kwa watoto, imeelezwa kuwa chanzo cha wazazi wengi kuchelewa kubaini matatizo ya watoto wao. Mtaalamu wa saikolojia, John…
Kila ndoa ina staili, tafuta yako idumu
Jitihada za kujaribu kuiga staili ya ndoa ya mwingine mara nyingi huishia kwenye migogoro...
Ndoa majuu zinapogeuka shubiri kwa wengi
Leo tunaongelea kisa kingine cha Mswahili aliyeoa mama wa kizungu na kupata watoto na baadaye...
Magazeti ya Kenya, Aprili 12: Jinsi utawala wa Ruto ulivyochangia uamuzi wa Tuju kuhusu mazishi yake
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje Raphael Tuju aliwashangaza wengi aliposema kwamba akifa angependelea kuzikwa ndani ya saa 48 baada ya kifo chake.
Meneja wa Mradi wa Railway Children Afrika, Kidaha Mohamed, amesema watoto wa mitaani hujikuta katika mazingira hayo kutokana na…
Meneja wa Mradi wa Railway Children Afrika, Kidaha Mohamed, amesema watoto wa mitaani hujikuta katika mazingira hayo kutokana na changamoto za kifamilia na kijamii, si kwa hiari yao. Akizungumza jijini…
All lasting friendships have this one thing in common
USA: WHAT’s the secret to a longlasting friendship? There are lots of things you can point to—common interests, similar personalities, shared experiences. But there’s one thing that no long-term friendship…
Wananchi wa Hungaria waanza kupiga kura huku Viktor Orban akijaribu kuwania muhula wa tano
Wananchi wa Hungary wameanza kupiga kura leo Jumapili katika uchaguzi wa bunge ambao unaweza kumaliza utawala wa miaka 16 wa Viktor Orban au kumuongeza muhula wa tano. Imechapishwa: 12/04/2026 –…
LALIGA leo Jumapili
LALIGA leo Jumapili Big Game saa 4:00 usiku, Athletic Bilbao watakuwa nyumbani wakikipiga na Villarreal. Ila mapema saa 1:30 usiku, Celta Vigo kumenyana na Oviedo. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000…
Klabu ya Gymkhana, Mwananchi wapanda miti 600 kuboresha mandhari
Klabu ya michezo ya Dar es Salaam Gymkhana Club, kwa kushirikiana na Kampuni ya Mwananchi...
Jiongeze:Hapa King Kiba pale Mbosso
Kuna dude linapikwa. Limepikwa. Litapikwa. Sijui lipo hatua gani au linatolewa leo. Kifupi ni...
Simu zikizidi, malezi yanayeyuka kimyakimya
Katika ulimwengu wa leo unaokimbizana na muda, wazazi wengi hasa kinamama wamejikuta wakibadili...
Wabenin wanapigia kura ili kumchagua mrithi wa Patrice Talon
Vituo vya kupigia kura vimepangwa kufunguliwa saa 1:00 asubuhi (sawa na 2:00 asubuhi saa za Afrika ya Kati) na kufungwa saa 10:00 jioni (11:00 jioni saa za Afrika ya Kati).…
State opens window to change combinations, courses
DODOMA: The government has opened a window for 2025 Form Four graduates to change their choices of Form Five subject combinations and courses for middle-level and technical colleges through the…
Sababu tano zinazotajwa kukwamisha mazungumzo ya Marekani na Iran
Kabla ya mazungumzo hayo, kulikuwa na matarajio makubwa kutoka kwa Pakistan na wadau wa kimataifa kwamba huenda yakaleta mwanga wa suluhisho la kudumu.
CRDB Federation Cup hatua ya 16 bora inakamilika Ieo Jumapili kwa michezo minne kupigwa
CRDB Federation Cup hatua ya 16 bora inakamilika Ieo Jumapili kwa michezo minne kupigwa. Saa 10:00 jioni Coastal Union kucheza na Pamba Jiji. Je, timu gani kuungana na Mashujaa, JKT…
Zamalek, FAR Rabat mambo safi CAF
Hekaheka za mashindano ya klabu barani Afrika yamefikia hatua ya lala salama, ambapo miamba ya...
Decoding the global convergence of Biblical prophecy
DAR ES SALAAM: THE contemporary global landscape is currently undergoing a structural transformation that mirrors the ancient “eschatological” warnings found within the Judeo-Christian scriptures. As we observe the “dismantling of…
Marekani na Iran zashindwa kufikia makubaliano
Nchi hizo, zilfanya mazungumzo marefu ya saa 21 huko Islamabad, Pakistan, lakini kwa mujibu wa Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance, pande hizo mbili hazikuweza kukubaliana juu ya masharti…
Edward Masengo na gitaa lake kavu
Wapenzi wa muziki wa miaka ya 1960 mwanzoni watamkumbuka mwanamuziki aliyetamba miaka hiyo...
CAG afichua mkwamo barabara kujengwa hadi miaka minne
Dar es Salaam. Licha ya kuongezeka kwa mahitaji ya barabara nchini, Serikali kwa miaka...
Rais mstaafu wa Malawi, Tume ya Chande wateta
Mwakilishi maalumu wa Sekretarieti wa Jumuiya ya Madola, Lazarus Chakwera, amewapa nasaha...
Mungu ametupa mamlaka ya kushinda nguvu za giza
Bwana Yesu asifiwe, ninaitwa Mwalimu Joseph Felix Joseph wa Kanisa la Moravian Mbeya...
Tetesi za soka Ulaya: Bayern, Arsenal ‘zatoana roho’ kwa Anthony Gordon
Bayern Munich wameonyesha nia ya kumsajili Anthony Gordon, Manchester United wanatarajia kuwazidi wapinzani wao katika mbio za kumsajili Elliot Anderson, huku Liverpool wakimfuatilia Yankuba Minteh wa Brighton.
Rainy season demands action, capture every drop
DAR ES SALAAM: THE rainy season is still with us and as rains fall across our towns and villages, we should not merely watch water flow past. We should harvest…
Nchimbi urges youth to defend Nyerere’s legacy
DODOMA: VICE-PRESIDENT Dr Emmanuel Nchimbi has challenged Tanzanian youth to uphold and safeguard the country’s unity and cohesion, describing it as a priceless foundation laid by the late Father of…
Regional development, urban planning key to boost Africa’s economy
NAIROBI: TANZANIA has underscored the importance of integrating regional development, urban planning and infrastructure as critical drivers of economic growth and regional integration across Africa. Speaking during a technical session…
Zanzibar commits to forging partnership with WHO
ZANZIBAR: ZANZIBAR President Hussein Mwinyi has reaffirmed Zanzibar’s commitment to continue strengthening its collaboration with the World Health Organisation (WHO) to achieve greater progress in improving healthcare delivery. Dr Mwinyi…
Kikwete’s Juba mission boosts peace drive
JUBA: FORMER President Jakaya Mrisho Kikwete has concluded a high-level two-day mission to Juba, marking what observers describe as a promising start in renewed efforts to stabilise South Sudan’s fragile…
‘Commonwealth is with Tanzania’
DAR ES SALAAM: THE Commonwealth has expressed its full support for Tanzania’s ongoing efforts to address the aftermath of the October 29, 2025 incident, pledging to back current initiatives aimed…
Wanaanga wa NASA walioenda mwezini warejea salama duniani
Wanaanga hao walisafiri mbali zaidi kutoka Duniani kuliko mwanadamu yeyote katika historia. Safari ya chombo cha Orion ilitua salama katika Bahari ya Pasifiki
Dk Nchimbi aonya viongozi kutumia vibaya madaraka
Dk Nchimbi amesema viongozi wengi wamekuwa wakitumia madaraka yao kwa kujinufaisha wenyewe...
Video: Wahuni wafunga Southern Bypass Kikuyu kabla ya mkutano wa Gachagua, wapora madereva
Wanaoshukiwa kuwa wahuni waliwasha mioto kwenye barabara ya Southern Bypass, Kikuyu na kuwapora madereva na watembea kwa miguu. Mbunge Ichung'wah amemlaumu Gachagua.
Serikali yataka nyumba za ibada kuhubiri amani
Serikali imewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kutumia nyumba za ibada kuhimiza amani...
Rigathi Gachagua asema hajutii aibu aliyompa William Ruto huko Nyandarua: “Nilimpasha”
Naibu rais wa zamani Rigathi Gachagua alimkabili Rais William Ruto kwa ujasiri wakati wa misa ya wafu, na kugeuza tukio hilo kuwa pambano la kisiasa.
Video: Isaac Mwaura azua tafrani matangani, akatalia kiti cha waziri na kukataa kunyanyuka
Msemaji wa serikali Isaac Mwaura alikataa kuachia kiti kilichotengwa kwa ajili ya Waziri Lee Kinyanjui wakati wa mazishi Kabarak. Alizua hali ya sintofahamu na aibu.
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imeanza kutekeleza mradi wa kusambaza majiko banifu zaidi ya 10, 300 kwa Wana…
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imeanza kutekeleza mradi wa kusambaza majiko banifu zaidi ya 10, 300 kwa Wananchi mkoani Tabora. Mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa Malengo…
Uingereza yasitisha mpango wake wa kurejesha Visiwa vya Chagos kwa Mauritius
Suala hili la kihistoria na nyeti sana limesitishwa. Uingereza imesitisha kurejesha Visiwa vya Chagos nchini Mauritius kutokana na ukosefu wa usaidizi wa Marekani. Hili ni pigo jingine kwa serikali ya…
Mfahamu Marshal Asim Munir, mtu muhimu katika mazungumzo kati ya Washington na Tehran
Akichukuliwa kuwa mtu mwenye nguvu zaidi nchini Pakistan, Marshal Asim Munir amejiimarisha kama mpatanishi muhimu kati ya Marekani na Iran, katikati ya makubaliano ya kusitisha mapigano na mazungumzo yanayofanyika Islamabad.…
Tanzania yachaguliwa kushiriki vipengele 41 vya tuzo za utalii duniani
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imesema uteuzi huo unaonesha namna vivutio vya Tanzania...
Sangu: Mahusiano yanaunganisha Serikali, Watanzania
Sangu ametoa kauli hiyo hivi karibuni wakati wa maadhimisho ya miaka 19 ya Kanisa la Neno la...
CAG abaini huduma duni kwa wazee wasiojiweza
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, changamoto zaidi ipo katika maeneo ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,...