Uwezo wa kifedha wa mtu unavyoakisi uchumi wa familia
Katika mazingira mengi duniani, uwezo wa kifedha mara nyingi huonekana kama mafanikio ya mtu...
Ajali Kariandusi: Wauguzi Waomboleza Mwenzao Mpendwa Aliyefariki Katika Ajali Iliyoua Watu 11
Muuguzi Joseph Simiyu alipoteza maisha katika ajali iliyotokea eneo la Kariandusi na kuacha jumuiya ya wauguzi ikiomboleza mchango wake mkubwa katika huduma ya afya.
Iran yatoa onyo kulipiza kisasi, Israel ikiishambulia Lebanon
Israel imeishambulia Lebanon kwa mashambulizi makali zaidi kuwahi kushuhudiwa Jumatano...
Nyumba ya urithi yagonganisha familia, mjane aomba msaada
Mjane amesema haoni kama Sh8 milioni atakazopata kwenye mgawo huo zitatosha kupata nyumba...
Christina Koch: Mwanamke wa kwanza kusafiri kwenda mwezini
Mwaka wa 1968, Bill Anders, mmoja wa wanamisheni wa Apollo 8, alipiga picha ya Dunia ambayo iliandika historia, kuathiri maisha ya wengi, na kuhamasisha kizazi kizima.
Mafuta, mbolea na athari ya Iran: Jinsi migogoro ya kimataifa inavyoathiri maisha
Kwa mtazamo wa kwanza, machafuko ya Mashariki ya Kati au vita baridi kati ya mataifa makubwa...
Ryan Ogam: Nafuu kwa mshambuliaji wa Harambee Stars huku Wolfsberger ikiajiri kocha mpya
Ryan Ogam anakabiliwa na mwanzo mpya katika Wolfsberger AC akiwa na kocha mpya Thomas Silberberger huku wakilenga kuzuia kushushwa daraja katika Bundesliga.
Makali ya kupanda kwa bei ya mafuta nchini yameanza kuumiza wananchi katika maeneo mbalimbali, ambapo wafanyabiashara katika sok…
Makali ya kupanda kwa bei ya mafuta nchini yameanza kuumiza wananchi katika maeneo mbalimbali, ambapo wafanyabiashara katika soko kuu la Wilaya ya Newala wamelalamikia ongezeko la bei za baadhi ya…
Jeff Koinange ashtuka Maina Kageni kusema amenunua gari la KSh 50m: “Naitamani sana”
Maina Kageni alimshangaza Jeff kwa kununua Range Rover ya KSh 50 milioni, asimulia maarifa kuhusu anasa, kuendesha gari, na chaguzi za maisha zilizomfanya kulinunua.
Mtazamo kuhusu fedha unavyoathiri maisha
Katika maisha ya kila siku, watu hupata mafundisho tofauti kuhusu fedha kulingana na mazingira...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limewakamata vijana saba katika Wilaya ya Sumbawanga, huku wawili kati yao wakipandishwa mahakaman…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limewakamata vijana saba katika Wilaya ya Sumbawanga, huku wawili kati yao wakipandishwa mahakamani na kuhukumiwa kifungo cha miezi sita kila mmoja, kwa kudai kuibiwa…
Nairobi: Huzuni Mwalimu na Mkewe Mpendwa wa Machakos Wakifariki Katika Ajali ya Pikipiki
Msiba katika Barabara ya Ngong huku mwalimu wa Shule ya Upili ya Wavulana ya Machakos Mwalimu Ronald na mkewe wakifariki katika ajali ya pikipiki wakielekea nyumbani
Supercomputer yatabiri mshindi wa Ligi ya Mabingwa baada ya matokeo ya Robo Fainali mkondo wa kwanza
Opta Yatabiri Arsenal, Bayern Munich, Atletico Madrid, na PSG zitafika nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa, huku Arsenal ikitarajiwa kupata taji lao la kwanza.
Christopher Okello amekiri kuwachoma visu watoto wanne hadi kufa katika shule ya awali ya Ggaba iliyoko jijini Kampala nchini Ug…
Christopher Okello amekiri kuwachoma visu watoto wanne hadi kufa katika shule ya awali ya Ggaba iliyoko jijini Kampala nchini Uganda, akidai kuwa alifanya hivyo kama kafara ili kupata utajiri. Waendesha…
Ida Odinga: Winnie, Junior wamsindikiza mama yao kuanza kazi mpya katika ofisi za UN
Ida Odinga anaanza nafasi yake katika UNEP kwa usaidizi wa kifamilia, na kuzua hisia tofauti mtandaoni. Ndugu wa Odinga wanasherehekea wakati wa fahari na urithi.
Kiti mwendo kilivyobadili maisha ya kijana mwenye ulemavu
Safari ya matumaini mapya kwa kijana Mpoki Abraham (32), mwenye ulemavu wa viungo, imegeuka...
Filamu ya wasifu wa Michael Jackson Aprili 24
Baada ya mashabiki kusubiri kwa muda mrefu, hatimaye zimebaki siku 14 kuachiwa kwa filamu ya...
Mwaka mmoja wa Tundu Lissu gerezani; nini kinaendelea
Leo Aprili 9, 2026, imetimia mwaka mmoja tangu Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA), kukamatwa na kuwekwa gerezani kwa mashtaka ya uhaini na uchochezi.
Dk Mwigulu: Watumishi wa umma kipimo ni huduma, siyo muda wa kuajiriwa
Serikali imewapa kipimo watumishi wa umma kwamba hawatapandishwa vyeo kwa kigezo cha kukaa muda...
Mwanafunzi Aliyepata Alama ya A Akataa Fursa ya Kusomea Udaktari Ughaibuni Kwa Sababu ya Dini
Mwanafunzi akataa nafasi ya kusomea udaktari nchini Cuba kwa sababu ya imani yake ya kidini, na hivyo kuzua hisia mseto mtandaoni kuhusu kanisa nchini Afrika Kusini
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba ameliambia Bunge kuwa hakuna zuio la kisheria wala la kikanuni linalozuia utekelezaji wa mradi wa g…
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba ameliambia Bunge kuwa hakuna zuio la kisheria wala la kikanuni linalozuia utekelezaji wa mradi wa gesi asilia (LNG) wenye thamani ya dola za Kimarekani bilioni 42,…
Kwa nini tunahitaji kuulinda uhuru wa vyombo vya habari
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limelaani kitendo cha Mamlala ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)...
Ajali Nyeri: Dereva wa lori aliyenusurika kwenye ajali iliyosababisha vifo vya watu 16 azungumza
Walionusurika walisimulia ajali ya kutisha Nyeri iliyoua watu 16. Dereva wa lori Ken Waweru alinusurika na majeraha, akisimulia hadithi za kuhuzunisha za siku hiyo.
KONA YA MALOTO: Bila usimamizi, udhibiti, bima ni ujambazi uliohalalishwa
Mwanamke mwajiriwa sekta binafsi, alianza kukatwa fedha kutoka kwenye mshahara wake ili...
Serikali kuimarisha shule jumuishi, yakataza tozo holela
WAZIRI Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuimarisha miundombinu ya shule nchini ili kuhakikisha inakuwa rafiki kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum. The post Serikali kuimarisha shule jumuishi, yakataza tozo holela…
FYATU MFYATUZI: Leo Fyatu navifyatua vitegemezi vya vigogo
Baada ya kushuhudia kilichotokea kaya jirani kwa fyatu mwenzangu hayati Ken Aliyeunda kaya...
Chakwera awasili Tanzania, atumwa na Jumuiya ya Madola
Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera amewasili nchini kwa ziara ya kikazi usiku wa kuamkia...
Mbavu Destroyer agawia watu unga siku chache baada ya kupepetwa vibaya na Majembe
Mbavu Mwangamizi alirudi nyumbani kwake na kuwapa wanawake pakiti za unga kama ishara ya shukrani, na kuwaacha watumiaji wa mtandao wakimpongeza kwa ukarimu wake.
Uganda: Mke afariki kwa saratani huku mume aliyezuiliwa akisalia gerezani baada ya kunyimwa dhamana
Mwanamke wa Uganda kwa jina Edith Katende amefariki dunia baada ya kuugua saratani huku mumewe, Alex Waiswa akiendelea kuzuiliwa korokoroni.........
Prof PLO Lumumba: Kenya does not have a political party; rather, it consists of individuals attempting to exploit Kenyans
NAIROBI: 2027 general elections, which are open to all Kenyans, there are numerous enquiries about the existence of genuine political parties in the country. Are these small groups of individuals…
Tanzania home to world’s largest volcanic debris deposits
ARUSHA: TANZANIA is now officially home to the world’s largest volcanic debris avalanche deposits recorded at the foot of the country’s second-highest peak, Mount Meru. The Conservation Officer in charge…
Petroli, dizeli yapanda kwa Sh500 Z’bar, mafuta ya ndege yashuka
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura) imetangaza bei mpya za mafuta,...
MPs push for fuel tax relief
DODOMA: MEMBERS of Parliament (MPs) have urged the government to slash some levies on fuel imports as part of measures to control the rising fuel prices, exacerbated by the ongoing…
Mwanaume wa Bungoma Aondoka Gerezani baada ya Miaka 17, Aelekea Kanisani Moja kwa Moja Kuoa Mkewe
Jackton Masibo, aliyeachiliwa hivi punde kutoka kifungo cha miaka 17, alimuoa mpenziwe mwaminifu, Coleta, katika sherehe naridadi ya kurasmisha penzi lao
Probe extension driven by evidence surge, says Othman
DAR ES SLAAM: CHAIRPERSON of the Commission of Inquiry into the October 29, 2025 incidents, retired Chief Justice, has outlined four key reasons behind the 21-day extension granted to complete…
Rigathi Gachagua alaani shambulio dhidi ya Osotsi, asema kitendo ni vitisho vya kisiasa
Makamu wa rais wa zamani Rigathi Gachagua alidai uchunguzi wa kina kuhusu shambulio dhidi ya seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi na wahuni katika kaunti ya Kisumu.
Kuelekea Usiku wa Vitasa April 24, Jumamosi hii utafanyika utambulisho wa mabomdia watakao panda ulingoni Usiku huo wa Vitasa
Kuelekea Usiku wa Vitasa April 24, Jumamosi hii utafanyika utambulisho wa mabomdia watakao panda ulingoni Usiku huo wa Vitasa Utambulisho huu utafanyika kwenye Viwanja Vya Mabibo mpakani, kuanzia saa 8:00…
Strengthening Tanzania through sovereignty
DAR ES SALAAM: IN today’s interconnected world, where nations collaborate and global decisions influence local outcomes, a country’s ability to chart its own path is increasingly vital and inspiring. For…
Malasusa calls for forgiveness as pillar of national cohesion
DAR ES SALAAM: THE Head of the Evangelical Lutheran Church of Tanzania (ELCT), Dr Alex Malasusa has issued a message that goes beyond a traditional Easter reflection, offering a framework…
UM: Mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon yanaleta “hatari kubwa” kwa usitishaji mapigano
Makubaliano dhaifu kati ya Iran na Marekani yanaingia siku yake ya pili leo Alhamisi, huku jumuiya ya kimataifa ikiwa na wasiwasi kwamba mashambulizi mabaya ya Israel dhidi ya Lebanon yanaweza…
Wiki ya moto wa Soka kwenye Kisimbuzi chako cha AzamTV, kuanzia soka la nyumbani, Afrika mpaka Ulaya
Wiki ya moto wa Soka kwenye Kisimbuzi chako cha AzamTV, kuanzia soka la nyumbani, Afrika mpaka Ulaya. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #SisiNiSoka #Azamtvsports (Feed generated with…
FUEL CRISIS: Samia urges cost cuts, calm
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has directed immediate measures to reduce fuel consumption across government institutions and urged citizens to remain calm as global oil supply disruptions push prices upward.…
Madagascar: Dharura ya nishati yatangazwa kutokana na mgogoro wa Mashariki ya Kati
Madagascar imetangaza hali ya dharura ya nishati. Uamuzi huo ulichukuliwa Jumanne, Aprili 7, katika mkutano wa baraza la mawaziri usio wa kawaida. Serikali inahalalisha hatua hii, ikisema katika taarifa kwa…
Historia ya mauaji ya kimbari Rwanda isipotoshwe
Rais wa Shirika la Manusura wa Mauaji ya Kimbari (Ibuka), Dk Gakwenzire Philbert, amesema...
Liverpool, Barcelona zilivyoanza vibaya robo fainali Ulaya
Klabu ya Liverpool imejikuta katika hali ngumu baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka...
AFCON 2027: Benni McCarthy awalenga wachezaji wa Bundesliga ili kuimarisha ukali wa Harambee Stars
Benni McCarthy amefichua mipango ya kukuruta wachezaji kutoka Ujerumani wenye asili ya Kenya kwa ajili ya Harambee Stars, na kuimarisha kikosi kabla ya AFCON 2027.
William Ruto Azima Mwaliko wa Rigathi Gachagua wa Kusitisha Malumbano: “Mimi ni Rafiki wa Mlima”
Rais William Ruto alisema hatatishwa na aliyekuwa naibu wake, Rigathi Gachagua, ambaye alikutana naye kwenye ibada ya mazishi huko Ol Kalou.......
Kusitisha mapigano kwa muda kunaweza kumaliza vita
Licha ya kuwepo na makubaliano, vita vinaweza kuendelea baada ya vipengele vilivyokubaliwa kutotekelezwa.
Nigeria: Jeshi latangaza kuwaokoa mateka Kaskazini Magharibi, mashirika ya kiraia yakanusha
Jeshi la Nigeria limetangaza Jumapili, Aprili 5, kwamba liliwaokoa waumini 31 waliotekwa nyara wakati wa sherehe za Pasaka katika kijiji cha Ariko, katika Jimbo la Kaduna, kaskazini magharibi mwa Nigeria.…
DRC: Zoezi la kukabidhi serikali wanajeshi wa FARDC wanaoshikiliwa na AFC/M23 limekwama
Imekuwa mwezi mmoja tangu AFC/M23 itangaze kuachiliwa kwa takriban wanajeshi 5,000 wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC), kulingana na takwimu zake, au 2,700 kulingana na vyanzo vingine.…