Filamu gani ya Kanumba unaikumbuka ?
Filamu gani ya Kanumba unaikumbuka ? (Feed generated with FetchRSS)
Mmiliki wa ghorofa ahukumiwa miaka 7 jela kwa jengo lake kuanguka na kuua wapangaji 52
Mmiliki wa ghorofa Nairobi, Samuel Kamau Karanja, amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela baada ya jengo lake kuporomoka mwaka wa 2016, na kuwaua wapangaji 52
Borussia Dortmund wanafikiria kufanya jaribio la tatu kumsajili winga wa England, Jadon Sancho (26), ambaye kwa sasa yuko kwa mk…
Borussia Dortmund wanafikiria kufanya jaribio la tatu kumsajili winga wa England, Jadon Sancho (26), ambaye kwa sasa yuko kwa mkopo huko Aston Villa na anatarajiwa kuondoka Manchester United kama mchezaji…
Mahakama ya Ufaransa kutoa uamuzi Mei 6 kuhusu kufutwa kwa mashtaka dhidi ya Agathe Habyarimana
Kikao cha kusikiliza kesi kilichopangwa kufanyika siku ya Jumatano, Aprili 8, jijini Paris, siku moja baada ya kufunguliwa kwa maadhimisho ya kila mwaka ya mauaji ya kimbari ya Watutsi nchini…
Godfrey Osotsi: Otiende Amollo, viongozi wengine walaani kushambuliwa kwa Seneta wa Vihiga Kisumu
Gavana wa Siaya James Orengo alisema Seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi alishambuliwa katika Java House, Western Mall, Kisumu na wahuni wanaoshukiwa kuwa wa serikali.
#Israel
#Israel Polisi wa Israel wanasema maeneo matakatifu ya Yerusalemu yatafunguliwa tena kwa wageni na waumini kufuatia mpango wa muda wa kusitisha mapigano uliofikiwa katika mzozo wa Mashariki ya Kati. Maeneo…
Magazeti ya Kenya: Mkutano wa usalama chini ya Koskei ulivyosababisha kashfa ya mafuta ya mabilioni
Vuta n'kuvute inaendelea na Rais Ruto na Rigathi Gachagua waligongana matangani, huku kashfa ya mafuta na shambulio la huko Kisumu vikitawala vichwa vya habari.
Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeandaa Mipango ya Matumizi ya Ardhi katika vijiji vyote vinavy…
Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeandaa Mipango ya Matumizi ya Ardhi katika vijiji vyote vinavyozunguka mashamba mwekezaji wa kampuni ya Morogoro Sugar yenye ukubwa wa…
Rigathi Gachagua Aashiria Kuhusu Maridhiano na William Ruto Kabla ya Uchaguzi wa 2027
Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua anaashiria yuko tayari kwa mapatano ya kisiasa na Rais William Ruto, akimtaka kufanya amani na Mlima Kenya.
Patrice Motsepe: Niko tayari kwa uchunguzi kuhusu ufisadi unaoshukiwa ndani ya CAF
Wakati wa ziara yake katika nchi ya Simba wa Teranga, ambao taji lao la Kombe la Mataifa ya Afrika lilifutwa na bodi ya rufaa ya Shirikisho la Soka la Afrika…
Israel yashambuliana na Hezbollah nchini Lebanon
Iran inaonya kuwa itajibu ikiwa Israel haitasitisha mara moja mashambulizi dhidi ya Lebanon, ambapo takriban watu 182 wameuawa.
Wachezaji 7 wa timu ya taifa ya Eritrea wazamia nchini Eswatini
Ushiriki wa timu ya taifa ya Eritrea katika michuano ya awali kufuzu kucheza fainali za kombe la mataifa ya Afrika, sasa umeleta maswali zaidi baada ya wachezaji wake 7 kuzamia…
Mashariki mwa DRC: Qatar kufufua mazungumzo kati ya Kinshasa na AFC/M23 nchini Uswisi
Kulingana na RFI, mfululizo wa mikutano umepangwa nchini Qatar kuanzia Aprili 13 hadi 17, mradi vikwazo kadhaa vitaondolewa. Katika ajenda: kuanza tena mazungumzo ya moja kwa moja kati ya pande…
Gambia yateua mwendesha mashtaka wa kesi za Yahya Jammeh
Gambia imemteua mwendesha mashtaka maalumu ikiwa ni karibu miaka miwili tangu ilipotangaza kuunda nafasi hiyo kwa ajili ya kuendesha kesi za uhalifu uliotekelezwa wakati wa utawala wa kikatili wa kiongozi…
Kwa nini Iran inayaona makubaliano yake na Marekani kuwa ni ushindi?
Taarifa iliyotolewa na Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Iran inasema Iran imefanikiwa katika malengo yake karibu yote katika vita hivi, na adui ameshindwa. Ni kweli?
James Orengo asimulia matukio yaliyopelekea Godfrey Osotsi kushambuliwa, aeleza hali yake
Seneta Godfrey Osotsi alikabiliwa na majeraha mabaya kufuatia shambulio lililochochewa kisiasa Kisumu. Gavana James Orengo alisimulia jinsi kisa hicho kilivyotokea.
NBC Premier League kuendelea leo Alhamis kwa mechi mbili zote kupigwa saa 10:00 jioni
NBC Premier League kuendelea leo Alhamis kwa mechi mbili zote kupigwa saa 10:00 jioni. Katika dimba la Tanzanite Kwaraa wenyeji Mbeya City kuwakaribisha Azam FC. Mechi hii itaruka mbashara kupitia…
Tetesi za soka Ulaya: Arsenal kusajili beki wawili, Martinelli kuondoka
Arsenal inawasaka mabeki Victor Valdepenas na Jacobo Ramon, Borussia Dortmund wanafikiria kufanya jaribio la tatu kumsajili Jadon Sancho, na Tottenham wanamtaka kipa James Trafford.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 9, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
#RSL ‘SIX’
#RSL ‘SIX’ FT: Al Hilal 6-0 Al Kholood Usisahau, kesho ni TRA United vs Simba SC LIVE #AzamSports1HD #RoshnSaudiLeague #SaudiProLeague #LigiKuuSaudiArabia #SaudiRabiaPremierLeague #AlHilal #AlKholood (Feed generated with FetchRSS)
Wachungaji watakiwa kuhubiri ukweli bila kuyumbishwa na maslahi ya kifedha
Wachungaji wametakiwa kuhubiri ukweli wa Neno la Mungu bila kuyumbishwa na maslahi ya kifedha...
MBEYA CITY: “…heshima yetu haiwezi kutuzuia kupata alama tatu”
MBEYA CITY: “…heshima yetu haiwezi kutuzuia kupata alama tatu” Afisa Habari wa Mbeya City, Gwamaka Mwankota anawaita mashabiki mkoani Manyara kulijaza Dimba la Tanzanite Kwaraa katika mchezo wao wa kesho…
Wamunyoro Residence: Ndani ya Makazi ya Rigathi Gachagua Huko Nyeri Yenye Thamani ya KSh 45m
Ndani ya makazi ya Wamunyoro ya Rigathi Gachagua huko Mathira, nyumba ya KSh 45 milioni yenye muundo wa kifahari, nyasi zilizopambwa ambapo anapangia sera zake.
Video: Kanda ya CCTV Yaibuka Ikionesha Seneta Godfrey Osotsi Akishambuliwa na Majambazi Kisumu
CCTV zimefichua shambulio la kikatili dhidi ya seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi katika mkahawa wa Java House Kisumu, na hivyo kuibua hofu kuhusu usalama wa raia.
Cheche za Wantam Zashamiri Hewa Gachagua Akialikwa Kuhutubia Waombolezaji Kabla ya Wetang’ula Kuitwa
Mvutano ulizuka katika mazishi ya Njuguna Kiaraho huku matamshi ya mafumbo ya Mbunge wa Kinangop Zachary Thuku kumhusu Rigathi Gachagua yakizua mkanganyiko.
Ma ‘proo’ wafunika upishi wa mabao Ligi Kuu
KATIKA misimu mitano ya Ligi Kuu Bara, wachezaji wa kimataifa ‘maproo’ wameonekana kutawala kuwa vinara wa asisti, huku mzawa Feisal Salum ‘Fei Toto’ akikataa unyonge.
Mbunge awaombea madiwani nyongeza ya posho ifike 500,000
Mbunge wa Monduli (CCM), Isack Capriano ameiomba Serikali itafakari njia bora ya kuwasaidia...
Dr Samia insists on fairness in setting goods prices amid rising fuel prices
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has urged traders across the country to exercise fairness in setting prices of goods, particularly during this period of rising global fuel prices. Speaking today,…
Dr Samia swears in Prof Kabudi, two other ministers
DODOMA: President Samia Suluhu Hassan has today, April 8, 2026, sworn in several leaders she recently appointed in a ceremony held at Chamwino State House in Dodoma. Among those sworn…
Serikali kuimarisha uwezo wa maofisa uvuvi
Serikali imezindua rasmi mafunzo ya siku tano kwa maofisa uvuvi na wakaguzi wa mazao ya uvuvi...
Muda wa Pedro, ‘No Diarra, No Problem’
YANGA imeendeleza ubabe katika Ligi Kuu Bara ikiichapa Pamba Jiji mabao 3-0 yaliyofungwa na Mudathir Yahya mawili na Maxi Nzengeli moja na kutanua rekodi ya mabingwa hao huku ikiivunja ya…
William Ruto aomba radhi baada ya kuidhalilisha timu ya Gachagua Nyandarua: “Nimepitisha kidogo”
Seneta wa Nyandarua, Methu aliongoza mashambulizi hayo, akifuatwa na Gachagua, ambaye alimshutumu Ruto kwa kusaliti Mlima Kenya na kumtaka asahau uungwaji mkono wao.
Shughuli inaanza upya! Simba, Azam katika msako mgumu
LIGI Kuu Bara Alhamisi hii, Aprili 9, 2026, inaendelea na kama utafuatilia basi tambua kwamba macho yote yatakuwa kule Kaskazini katika mikoa ya Arusha na Manyara ambapo kutakuwa na dakika…
Simba, Azam katika msako mgumu Ligi Kuu ya NBC
LIGI Kuu Bara Alhamisi hii, Aprili 9, 2026, inaendelea na kama utafuatilia basi tambua kwamba macho yote yatakuwa kule Kaskazini katika mikoa ya Arusha na Manyara ambapo kutakuwa na dakika…
Sababu tume ya Oktoba 29 kuongezewa muda
Tume hiyo iliundwa na Rais Samia Suluhu Hassan na kuanza kazi Novemba 20, mwaka jana, ikapewa...
Yanga yavunja rekodi ya Pamba Jiji ikiipiga tatu
Rekodi ya Pamba Jiji FC kutopoteza mechi nyumbani katika Ligi Kuu ya NBC msimu huu imefikia...
Tehran kuruhusu meli kuanza kupita Hormuz
Baada ya Marekani na Iran kukubaliana kusitisha vita kwa wiki mbili, ili kupisha mazungumzo, Tehran sasa inatarajiwa kufungua mlango wa Bahari wa Hormuz siku ya Alhamisi au Ijumaa, kuruhusu meli…
Dr Mwinyi directs Tanzanian envoys to promote their country’s investment attractions globally
ZANZIBAR: Zanzibar President, Dr Hussein Ali Mwinyi, has directed Tanzanian ambassadors to prioritise economic diplomacy by aggressively promoting investment opportunities abroad. Speaking at State House in Zanzibar today, April 8,…
SMZ yatoa ukomo kujisajili mfumo wa taarifa za biashara
Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA)...
Samia ataja sababu Profesa Kabudi kumrithi Lukuvi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema uamuzi wake wa kumteua Profesa Palamagamba Kabudi, kumrithi...
William Ruto Amfokea Gachagua Aliyedai Wakazi wa Mlima Kenya Wamemtoroka: “Mimi Si Wazimu”
Rais Ruto amekanusha madai ya Gachagua ya kupoteza uungwaji Mlima Kenya, akiangazia hatua za maendeleo huku akitetea miungano yake ya kisiasa malumbano yakichacha.
Jeshi la polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata Abdul Mongola (24) mkazi wa Saba saba Mkoani hapo dereva boda boda kwa tuhuma za ku…
Jeshi la polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata Abdul Mongola (24) mkazi wa Saba saba Mkoani hapo dereva boda boda kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ameibiwa nyeti zake.…
Straika KMC akataa unyonge
WAKATI KMC hali ikiendelea kuwa tete kwenye Ligi Kuu Bara, straika wa timu hiyo, Adam Uledi amesema iwapo atashindwa kuipigania timu kubaki basi kazi kubwa itakuwa ni kujipagania mwenyewe kubaki…