William Ruto: Bosi wa KPA kwa uchungu amuomboleza binti yake kwa ujumbe mzito
Ajali mbaya ya barabarani yagharimu maisha ya bintiye Kapteni Ruto, Mitchell, eneo la Taita Taveta. Heshima ya dhati huangazia hasara na kumbukumbu za baba.
RUWASA sets 15.54bn/- for water projects
DODOMA: THE Rural Water Supply and Sanitation Agency (RUWASA) in Dodoma Region plans to spend approximately 15.54bn/- in the 2026/27 financial year to implement five key priorities aimed at expanding…
Agroecology drive to boost food, nutrition security
MOROGORO: MINISTRY of Agriculture will step up efforts to collaborate with research institutions and universities in implementing the National Agroecology Strategy (2023– 2030), aimed at strengthening food and nutrition security…
Meru: Mfungwa wa zamani Kamiti akamatwa kwa tuhuma za uhalifu wa mtandaoni, akutwa na na SIM Card 39
DCI huko Meru wamemkamata Morris Kithinji Tirimiti, mfungwa wa zamani katika gereza la Kamiti kwa tuhuma za uhalifu mtandaoni. Walinasa simu sita na kadi 39 za simu.
Bayern ilivyoituliza Madrid Bernabeu, Arsenal ikitamba ugenini
Mabingwa wa Ulaya mara 15, Real Madrid, wamejikuta wakipoteza baada ya kukubali kipigo cha...
Wawili wajinyonga Tabora, ng’ombe watajwa chanzo
Watu wawili mkoani Tabora inadaiwa wamejinyonga hadi kufa, akiwemo mkazi wa Igembensabo, Kata...
Mafuta yashuka bei soko la dunia
Hatua hiyo ilifuatia ahadi ya Iran kuruhusu tena usafirishaji wa mafuta kupitia mlango wa...
TMDA warns against sharing misleading health videos online
DODOMA: THE Tanzania Medicines and Medical Devices Authority (TMDA) has cautioned the public against sharing unverified and misleading health-related videos on social media, warning that the trend is fuelling unnecessary…
Siaya: Kizaazaa Wakazi Wakiwafumania Wanaume 2 Wakitupa Mwili Katika Barabara Kuu ya Busia-Kisumu
Polisi Kaunti ya Siaya wanachunguza kisa cha mauaji baada ya washukiwa wawili kufumaniwa wakitupa mwili ambao haukutambuliwa kwenye Barabara ya Busia-Kisumu.
Caring for children not charity, says PM
DAR ES SALAAM: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has stressed that caring for children with special needs is not an act of charity, but a shared national responsibility essential for…
Rais Kagame atoa ujumbe akitahadharisha maisha ya chuki
Rwanda imeanza rasmi maadhimisho ya miaka 32 tangu kutokea kwa mauaji ya Kimbari dhidi ya...
Familia ya Gachagua yamjibu William Ruto, yaanika maelezo ya wosia wa marehemu kaka yake
Familia ya Gachagua ilipuuza madai ya wosia wa Rais William Ruto, ikifafanua maelezo ya urithi wa marehemu gavana wa zamani wa Nyeri Nderitu Gachagua.
Govt stresses unity, cites Rwanda genocide lessons
DAR ES SALAAM: AT a time when hatred, extremism, and division are rising globally, societies are being urged to invest in civic education as a tool to combat intolerance. They…
Msururu wa FIFA: Australia yawasili Kenya kabla ya mechi ya ufunguzi dhidi ya Malawi
Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanawake ya Australia, ikiongozwa na Sam Kerr, imetua rasmi Kenya kwa mashindano ya Msururu wa FIFA ya Wanawake.
Tunachokijua kuhusu ndege ya “Doomsday” yenye kustahimili mashambulizi ya nyuklia
Ndege ya "Doomsday" inaweza kuwa kwenye mashambulizi kwa siku saba mfululizo bila kutua.
Sababu Zaiylissa kumficha mumewe
Mwigizaji wa filamu za Bongo, Zaiylissa amesema kwa sasa anaamini sana ndoa kama njia sahihi ya...
Wakenya wamsaidia askari aliyefutwa kwa kushiriki maandamano ya Gen Z ambaye anauza mahindi chemsha
Wakenya wamesimama na Dennis Munyao, askari aliyefutwa kazi kwa sababu ya kushiriki maandamano ya Gen Z ambaye sasa ameambulia huuza mahindi chemsha.
CCM demands fuel price safety net amid global oil shocks
DODOMA: THE ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) has called on the government to introduce a fuel subsidy programme to shield citizens from soaring pump prices, driven by escalating geopolitical tensions…
Ikulu ya White House inasema inafikiria ‘mazungumzo ya ana kwa ana’ na Iran
Marekani inafikiria “mazungumzo ya ana kwa ana” na Iran, msemaji wa Ikulu ya White House Karoline Leavitt amesema, baada ya Washington na Tehran kukubaliana kusitisha mapigano kwa wiki mbili badala…
Magazeti ya Kenya, Aprili 8: Kampuni yahesabu hasara ya KSh 12b kutokana na kashfa ya mafuta haramu
Waziri wa Nishati Opiyo Wandayi aliamuru kuregeshwa yalikotoka mafuta yaliyoagizwa nchini kiharamu nje ya mpango wa G2G, na kusababisha mhusika kupoteza KSh 12 b.
Karume vision remains alive
Samia, Mwinyi lead nation in honouring his legacy ZANZIBAR: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan and Zanzibar President Hussein Mwinyi joined hundreds of citizens and members of the Karume family in a…
Katibu Mkuu wa NATO kukutana na Donald Trump baada ya kusitishwa kwa mapigano na Iran
Mkuu wa NATO, Mark Rutte, atakutana na Donald Trump huko Washington siku ya Jumatano, siku moja baada ya rais wa Marekani kutangaza kusitisha mapigano kwa wiki mbili na Iran. Wakati…
Donald Trump: Suala la uranium la Iran ‘litatatuliwa kikamilifu’
Katika mahojiano ya simu na shirika la habari la AFP, Rais wa Marekani Dnald Trump aesema kwamba suala la uranium la Iran “litatatuliwa kikamilifu” kama sehemu ya makubaliano ya kusitisha…
Commission of inquiry granted 21 more days to complete task
DAR ES SALAAM: THE Independent Commission of Inquiry into the October 29, 2025 incidents has been granted an additional 21 days to complete its work, extending its deadline to April…
Waathiriwa wa mauaji ya kimbari bado wanakabiliwa na msongo wa kimwazo
Nchi ya Rwanda inaendelea na kumbukizi ya miaka 32 ya mauaji ya Kimbari ya mwaka 1994, ambapo watu zaidi ya laki 8 waliuawa wengi wao wakiwa ni Watusi. Imechapishwa: 08/04/2026…
WARIDI WA BBC: Mama kwanini ulinizaa hivi?
Mama Daltona anasema ilimchukua muda mrefu moyo wake kukubali kuwa mtoto wake ni huntha.
Vita vya Mashariki ya Kati: Israel inasema usitishaji mapigano hauijumuishi Lebanon
Ofisi ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu imesema Jumatano kwamba makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyoratibiwa na Marekani na Iran “hayaijumuishi Lebanon,” ambayo iliingizwa katika vita vya Mashariki ya Kati kufuatia mashambulizi…
Benin: Uchaguzi wa rais wa Aprili 12 unaibua matumaini ya uhusiano mpya na Niger
Ingawa uhusiano kati ya majirani hao wawili umekuwa mgumu tangu mapinduzi dhidi ya Rais Mohamed Bazoum huko Niamey mnamo mwezi Julai 2023, kuwasili kwa rais mpya nchini Benin kunaweza kubadilisha…
Urusi na China zapinga azimio la kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz
Urusi na China siku ya Jumanne zimepinga azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kuufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz. Azimio hilo lilikuwa limecheleweshwa kwa mara kadhaa kwa…
Zimbabwe: Chama tawala Zanu-PF chapendekeza mabadiliko ya katiba
Vyama vya upinzani nchini Zimbabwe vimeibua wasiwasi wake kuekekea mabadiliko ya katiba yanayopendekezwa na chama tawala Zanu-PF. Imechapishwa: 08/04/2026 – 06:20 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma…
CAR: Mtafiti raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Ureno Joseph Figueira aachiliwa huru
Karibu miaka miwili baada ya kukamatwa kwake huko Zémio, kusini-mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati, mtafiti, raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Ureno na mtetezi wa haki za kibinadamu…
Tanzania: Muda wa tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi mkuu waongezwa
Mamlaka nchini Tanzania zimetangaza kuongeza muda zaidi wa siku 21 kwa tume maalumu inayochunguza vurugu za wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa mwezi Octoba mwaka uliopita. Imechapishwa: 08/04/2026 –…
“Kusitisha mapigano na Iran ni ushindi wa muda mfupi kwa Trump unaoweza kumgharimu”
Mpango huo unajumuisha jeshi la Marekani kuondoka katika ukanda huo, kuondolewa vikwazo kwa Iran, fidia ya vita, na kuruhusu Tehran kuendelea kudhibiti mlango bahari wa Hormuz.
Rigathi Gachagua Aapa Kuepukana na Siasa za Uchaguzi wa Ol Kalou Hadi Mbunge Aliyefariki Azikwe
Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua amewaonya maafisa wa serikali dhidi ya kugeuza shughuli ya mazishi ya mbunge wa Ol Kalou David Kiaraho kuwa uwanja wa kisiasa.
Mjumbe mpya wa katibu Mkuu wa UN nchini DRC aanza kazi
Mwanadiplomasia wa Marekani James Swan ameanza kazi rasmi siku ya jumanne kama Mjumbe maalum wake Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na mkuu wa…
Wataalamu waipa Serikali mbinu kukabili makali bei ya mafuta
Dodoma. Tanzania kama yalivyo mataifa mengine, inakabiliwa na jukumu la kusaka mbinu za...
Tetesi za soka Ulaya: Enzo kutimka Chelsea
Kiungo wa Chelsea Enzo Fernandez, 25, kuwaislisha ombi la kuondoka. Tottenham wanamtaka James Trafford, kama mbadala wa Guglielmo Vicario na Liverpool wanamfuatilia Marco Palestra.
Marekani na Iran zakubali kusitisha mapigano kwa wiki mbili
Rais wa Marekani Donald Trump amesema atasitisha mashambulizi dhidi ya Iran kwa muda wa wiki mbili, huku juhudi za upatanishi zikionyesha dalili za makubaliano ya masharti.
SIMBA SC: “…Elie Mpanzu anaumwa….na imemuuma sana kuikosa mechi dhidi ya Azam FC”
SIMBA SC: “…Elie Mpanzu anaumwa....na imemuuma sana kuikosa mechi dhidi ya Azam FC” Je, kuna tatizo gani kati ya Simba SC na kiungo wake Elie Mpanzu?? Mwenyekiti wa Bodi ya…
Sasa ni rasmi, fainali za #AFCON2027 zitafanyika Juni 19 hadi Julai 18, 2027 katika mataifa ya Kenya, Uganda na Tanzania
Sasa ni rasmi, fainali za #AFCON2027 zitafanyika Juni 19 hadi Julai 18, 2027 katika mataifa ya Kenya, Uganda na Tanzania. Hii hapa taarifa kamili... (Feed generated with FetchRSS)
SIMBA SC: “…tumekuja na kikosi kizima….tuko tayari kwa mapambano”
SIMBA SC: “…tumekuja na kikosi kizima….tuko tayari kwa mapambano”. Kikosi cha Simba kimepata mapokezi ya nguvu baada ya kuwasili Jijini Arusha kuelekea mechi tatu mfululizo watakazocheza kwenye dimba la Sheikh…
KMC FC: “…kwetu hakuna kingine zaidi ya ushindi”
KMC FC: “…kwetu hakuna kingine zaidi ya ushindi” KMC wamefanya mazoezi yao ya mwisho leo kwenye Dimba la Airtel kuelekea mchezo wao wa kesho dhidi ya Singida BS. Kocha wa…
Video ya jinsi mjane wa Albert Ojwang alivyobadilika miezi 9 baada ya mazishi ya mume yaduwaza watu
Nevnina Omondi, mjane mwalimu aliyeuawa Albert Ojwang', amewaduwaza watu kwa anavyong'aa huku familia ikiadhimisha kumbukumbu yake kwa sherehe ya kitamaduni ya dhati
Bidhaa bandia za bil 4/- zanaswa, sasa kuteketezwa
DAR ES SALAAM: Serikali imekamata na kuziondoa sokoni bidhaa bandia 99,100 zenye thamani ya Sh bilioni 4 zilizokuwa zikiuzwa kinyume cha sheria nchi nzima. Akizungumza leo Aprili 7 2026, Waziri…
Chama cha Kudhibiti Tumbaku Tanzania kimeiomba Serikali na wadau kuhakikisha kuwa muswada wa sheria ya kudhibiti matumizi ya tum…
Chama cha Kudhibiti Tumbaku Tanzania kimeiomba Serikali na wadau kuhakikisha kuwa muswada wa sheria ya kudhibiti matumizi ya tumbaku unapelekwa bungeni ili kuokoa wananchi wanaopata madhara makubwa kutokana na uvutaji…
Paul Kagame atoa wito wa ‘kujiunga na Rwanda katika mapambano dhidi ya ukabila’
Maadhimoisho ya kumbukumbu ya miaka 32 ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa dhidi ya Watutsi yameanza Leo JUmanne Aprili 7, 2026, nchini Rwanda. Kipindi cha siku 100 cha ukumbusho kimezinduliwa ili…
Kithure Kindiki Amuandama Gachagua Kuhusu Uchaguzi Mdogo wa Ol Kalou: “Nitamnyorosha Vibaya Sana”
DP Kithure Kindiki alianzisha mashambulizi dhidi ya kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua kabla ya uchaguzi mdogo wa Ol Kalou, akitilia shaka rekodi na dhamira yake.