Former Kilwa South MP, Bwege, passes away
DAR ES SALAAM: THE Former Kilwa South Member of Parliament, Seleman Bungara, popularly known as Bwege, has passed away today, Monday, March 30, 2026. According to a statement confirmed by…
Gervas aibuka kinara gofu arusha
MCHEZA gofu, Gervas Wilbroad, ameibuka mshindi wa jumla katika mashindano ya saba ya kimataifa ya Diplomatic Golf mjini hapa baada ya kujikusanyia pointi 43 kwa siku mbili.
Dar City, Al Ahly kukiwasha tena leo BAL
WAKATI mashabiki wa mpira wa kikapu barani Afrika wakielekeza macho yao huko Afrika Kusini kwenye michuano ya Basketball Africa League (BAL), timu ya Dar City iko katika nafasi nzuri ya…
Dar City kukiwasha tena leo BAL
WAKATI mashabiki wa mpira wa kikapu barani Afrika wakielekeza macho yao huko Afrika Kusini kwenye michuano ya Basketball Africa League (BAL), timu ya Dar City iko katika nafasi nzuri ya…
Call for NEMC to be equipped with helicopters, drones for operational efficiency
DAR ES SALAAM: THE Minister of State in the Vice President’s Office (Union and Environment), Hamad Yusuf Masauni, has called for the National Environment Management Council (NEMC) to be equipped…
Masauni ataka NEMC ipewe helkopta, awaonya wanaochafua mazingira
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais; Muungano na Mazingira, Hamad Yusuf Masauni, amesema Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linatakiwa kupatiwa…
Simba Queens yapata pigo, Nke kukosa mechi WPL
Ligi ya Wanawake (WPL) inatarajiwa kurejea Aprili 03 kwa mechi za mzunguko wa pili, huku Simba Queens ikianza kampeni yao kwa kuvaana na Bilo Queens.
Ligi ya Wanawake kuendelea wiki hii
Ligi ya Wanawake (WPL) inatarajiwa kurejea Aprili 03 kwa mechi za mzunguko wa pili, huku Simba Queens ikianza kampeni yao kwa kuvaana na Bilo Queens.
Teknolojia kuchangia mapinduzi ya elimu
KATIBUMkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, amesema kuwa Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo inaendelea kuimarisha sekta ya elimu nchini kupitia matumizi ya teknolojia…
Wananchi Maswa waomba ushirikiano utunzaji mazingira
Wananchi wa mji wa Maswa mkoani Simiyu wametoa wito kwa jamii kushiriki kikamilifu katika...
Hasara yazidi kuziandama ATCL, TRC
Mashirika mawili ya kimkakati kwenye usafirishaji – Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na Shirika...
Tanzania commends the ITEC project for building capacity in Tanzanian youth
DAR ES SALAAM: THE Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Ambassador Mahmoud Thabit Kombo, participated in the recent commemoration of the Indian Technical and Economic Cooperation (ITEC) Programme…
CAG aibua ‘madudu’ Uwanja wa Samia Arusha
Kichere amesema kuwa kiwango cha fedha kilichotarajiwa kutumika katika ujenzi wa Uwanja huo ni kidogo kulinganisha na kile kilichosainiwa katika mkataba wa ujenzi huo.
Rais Samia aagiza kuchukuliwa hatua taasisi zilizopata hati chafu
Rais Samia Suluhu amesema Serikali itasimamia kikamilifu mapendekezo yaliyotolewa na Mdhibiti...
Mshindi wa mil 10/- aahidi kujenga msikiti
DAR ES SALAAM: Mshindi wa hundi ya Sh milioni 10 Umriya Omari amesema fedha hizo atazielekeza katika ujenzi wa kujenga Msikiti. Amesema msikitini ambao alishaanza kujenga na sasa anaenda kukamilisha…
Tanzania’s public debt soars to 110tri/- an increase of 12.7tri/-
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S public debt has climbed to 110tri/- as of June 30, 2025, marking an increase of 12.7tri/- equivalent to 13 per cent within a single year. The…
CUF, NRA noted as CAG reports financial weaknesses in some political parties
DAR ES SALAAM: THE Controller and Auditor General (CAG) has highlighted many financial reporting weaknesses in some political parties, issuing qualified audit opinions to the Civic United Front (CUF) and…
CAG exposes pockets of financial control weaknesses in several institutions
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S public sector audit findings for 2024/25 have exposed pockets of financial control weaknesses in several government institutions, even as the majority of entities received clean audit…
Samia: Tudhibiti ubadhirifu wa fedha za umma
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itaendelea kusisitiza uzingatiaji wa sheria katika shughuli zake ili kudhibiti mianya ya ubadhirifu wa fedha za umma.…
Serikali kuipa ‘meno’ NEMC, wachafuzi mazingira…
Serikali imetoa onyo kali kwa wanaochafua mazingira wakiwemo wazalishaji wa mifuko ya plastiki...
Dk Mwinyi: Mfumo huduma za afya kidijitali umeanza kuleta matokeo Zanzibar
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya...
Coal demand increases as Tanzania values it as a vital player in the manufacturing sector
DODOMA: TANZANIA’S push for industrial growth is set to significantly increase demand for coal, with Mining Minister Anthony Mavunde saying the resource will play a central role in powering value…
Rais wa Marekani Donald Trump anapanga operesheni ya kijeshi kwa lengo la kuchimba pauni 1,000 za urani nchini Iran, Jarida la W…
Rais wa Marekani Donald Trump anapanga operesheni ya kijeshi kwa lengo la kuchimba pauni 1,000 za urani nchini Iran, Jarida la Wall Street linaripoti. Operesheni hiyo "huenda ikaviweka vikosi vya…
Tanzania’s ICT in education drive benefits schools in nine regions
DODOMA: THE Tanzanian government has distributed ICT equipment worth over 769m/- to 19 primary and secondary schools across nine regions in the country as part of its ongoing commitment to…
CAG ataja sababu baadhi hoja zake kutotekelezwa
Amesema mwenendo huo ni ishara kwamba mfumo wa ufuatiliaji wa utekelezaji wa mapendekezo ya...
Bwege afariki dunia
Familia inaendelea na kikao cha ndani kupanga taratibu za mazishi, na taarifa rasmi zitatolewa...
Robert Alai Ashutumu ODM kwa Kumruhusu Winnie Odinga Kuzungumza Wakati wa Kongamano la NDC
MCA Robert Alai ameikosoa ODM kwa kumruhusu Winnie Odinga kuzungumza katika kongamano la NDC, akisisitiza kuwa chama hicho si urithi wa familia wanachama.
ECOSOC: Umoja wa Mataifa wafanya mkutano maalum kuhusu viwango vya mikopo
Umoja wa Mataifa leo umetaka mabadiliko makubwa katika mfumo wa viwango vya mikopo duniani ili kuchochea maendeleo.
Kuwa na orodha ya manunuzi kunasaidia kupunguza utupaji wa chakula
Wakati hii leo dunia ikiadhimisha siku ya Kimataifa ya kutozalisha taka, Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa kila mtu kujifunza upya namna ya kufanya manunuzi ya vitu na mapishi ambayo…
Katikati ya ukame, FAO Kenya yajengea uwezo kaya ili zisiyumbe kiuchumi na kijamii
Nchini Kenya katika kaunti za Isiolo, Garissa, Samburu na Mto Tana, shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO limeendesha kampeni ya upatiaji mifugo dawa za minyoo na…
UN yaonya hali inaendelea kuwa mbaya Mashariki ya Kati ikikatili zaidi maisha ya watu
Vita vya Mashariki ya Kati vimeingia mwezi wa pili huku ghasia zikiongezeka katika maeneo kadhaa, ikiwemo Lebanon, Iran na Ghuba. Mlinzi wa amani wa Kikosi cha Mpito cha Umoja wa…
SIMULIZI: Alitekwa nyara na kuteswa katika njia hatari ya uhamiaji kutoka Pembe ya Afrika
Alifunga safari kumsaka mpwae aliyepotea Yemen Alikamatwa na kupitia mateso makali Mapigano baina ya wasafirishaji haramu yakamnusuru Anasubiri kurejea nyumbani Ethiopia
Serikali yaingilia kati mgogoro wakulima, wafugaji Korogwe
Mvutano kati ya wakulima na wafugaji katika vijiji vya Magungacheki na Mkokola wilayani Korogwe...
Vita vya Marekani, Israel na Iran vinaonyesha kuwa sheria za kimataifa za vita zimekiukwa
Luis Moreno-Ocampo, mwendesha mashtaka mkuu wa kwanza wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), anasema sheria za kimataifa ziliundwa ili kuwalinda raia na kuzuia nchi kuanzisha vita isipokuwa kwa kujilinda…
PCCB saves 14.5bn/-, uncovers 147.5bn/- through intensified anti-graft operations
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) has saved over n 14.5bn/- through intensified anti-graft operations, while uncovering a massive 147.5bn/- bank card fraud scheme in…
CRDB yapata tuzo benki bora ya uwezeshaji wa biashara Afrika Mashariki
Benki ya CRDB imetunukiwa na Shirika la Fedha Duniani (IFC), tuzo ya kimataifa ya ‘Benki Bora...
Teknolojia mpya kukabili wahalifu wa misitu
Tanzania ikiwa na zaidi ya hekta milioni 48.1 za misitu, sawa na asilimia 55 ya eneo lote la...
TLS kujadili utekelezaji Dira 2050, lishe bora na maisha nje ya mahakama
Wakati Tanzania ikijiandaa kwa mabadiliko ya kimaendeleo kufikia dira ya Taifa 2050, wanasheria...
William Ruto aihakikishia haki familia ya marehemu Gachagua huku kukiwa na mzozo wa urithi
Rais William Ruto aliapa kuhakikisha familia ya aliyekuwa gavana James Nderitu inapata mali yake inayodaiwa kutapeliwa na aliyekuwa DP Rigathi Gachagua.
DSE, UDSM zasaini makubaliano kurahisisha wanafunzi kufanya tafiti
Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) limesaini mkataba wa makubaliano na Chuo Kikuu cha Dar es...
Awamu ya pili ya wimbi la 86 la Oparesheni Ahadi ya Kweli-4; ulipizaji kisasi dhidi ya maeneo ya viwanda ya adui
Idara ya Uhusiano wa Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imetoa taarifa ikitangaza kuwa jeshi hilo limetekeleza awamu ya pili ya wimbi la 86 la Oparesheni…
Marhaha ya pili ya wimbi la 86 la Oparesheni Ahadi ya Kweli-4; ulipizaji kisasi dhidi ya maeneo ya viwanda ya adui
Idara ya Uhusiano wa Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imetoa taarifa ikitangaza kuwa jeshi hilo limetekeleza marhala ya pili ya wimbi la 86 la Oparesheni…
Takukuru yachunguza matumizi katika miradi 66
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imesema imeanzisha uchunguzi wa miradi 66...
Rais Mwinyi kuzindua mbio za Mwenge Pemba
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi anatarajiwa kuzindua mbio za Mwenge za Uhuru 2026, katika...
CUF, NRA vyapata hati zenye mashaka, Chadema haikukaguliwa
Katika kaguzi hizo, amesema ametoa jumla ya hati 1,339 ukilinganisha na hati 1,301 alizotoa...
Serikali kuanzisha Ligi ya wazawa tu, Makonda ataja sababu
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amefichua mpango wa kuanzishwa kwa Ligi ya Soka ambayo itahusisha wachezaji wazawa tu.
Serikali kuanziasha Ligi ya wazawa tu, Makonda ataja sababu
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amefichua mpango wa kuanzishwa kwa Ligi ya Soka ambayo itahusisha wachezaji wazawa tu.