Tanzania directs researchers to focus on resolving real challenges of inclusive development
DODOMA: THE Permanent Secretary of the President’s Office – Planning and Investment and Executive Secretary of the National Planning Commission, Dr Tausi Kida, has urged researchers in the country to…
Taasisi za fedha zatakiwa kubuni huduma rafiki kwa wanawake
Serikali imezitaka taasisi za kifedha nchini kubuni bidhaa na huduma zinazozingatia mahitaji ya...
Tanzania tasks EWURA to monitor fuel hoarding as energy crisis threatens the globe
DODOMA: THE Energy Minister, Deogratius Ndejembi, has directed the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) to conduct thorough inspections of fuel storage facilities to ensure that no traders are…
TTCL kuimarisha huduma za mawasialiano Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) David Nchimbi Ikulu Zanzibar.…
Serikali yaonya watakaoficha mafuta kusubiri yapande bei
Serikali inatoa onyo hilo ikiwa ni mwezi mmoja tangu kuanza kwa vita katika ukanda wa Mashariki...
Zanzibar, Marekani kuimarisha ushirikiano
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, na kufanya mazungumzo yaliyojikita katika kuimarisha ushirikiano…
Raphael Tuju Akamatwa kwa Kutoa Taarifa ya Uongo Kuhusu Kutoweka Kwake
Raphael Tuju amekamatwa baada ya kutoweka kwa saa 24 na kujitokeza huku mawakili wakidai vurugu za polisi na maswali yakiibuka kuhusu madai ya kutekwa nyara.
Mjane Marehemu Mbunge Ngeno Ajiondoa Katika Uchaguzi Mdogo wa Emurua Dikirr
Mjane wa marehemu Johana Ng’eno Naiyanoi Ng’eno amejiondoa katika uchaguzi mdogo wa Emurua Dikirr UDA, Bernard Ngeno aibuka kinara kabla ya uchaguzi mdogo wa Mei 14.
Athari 3 za kiuchumi za vita na Iran mbali na kupanda kwa bei ya Mafuta
Ongezeko la bei ya mafuta limetokana kwa kiasi kikubwa na kufungwa kwa Mlango-bahari wa Hormuz, ambapo karibu 20% ya mafuta na gesi duniani husafirishwa.
Dosari za kisheria zamnusuru kifungo cha miaka 30 jela
Mahakama ya Rufani imebatilisha hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela alichokuwa amehukumiwa...
Kida: Tafiti zisaidie kuimarisha uchumi
KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji anayeshughulikia Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk. Tausi Kida amewataka watafiti nchini kuelekeza tafiti zao katika kutatua…
Zanzibar, US holds talks to broaden ties in health, climate change, trade sectors
ZANZIBAR: THE President of Zanzibar and the Chairman of the Revolutionary Council, Dr Hussein Ali Mwinyi, met with the Acting United States Ambassador to Tanzania, Ambassador Andrew Lentz, for talks…
SMZ kutumia teknolojia kuwanasa wanaokata misitu Zanzibar
Kutokana na kasi ya ukataji misitu inayoendelea, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)...
Wakulima wahimizwa kutumia taarifa za TMA kuongeza tija
Kila ifikapo Machi 23, TMA huungana na mamlaka nyingine za hali ya hewa duniani kusherekea siku...
NLP Chasisitiza Vita Dhidi ya Kalonzo Musyoka na Kusisitiza Kuondolwa Azimio
NLP ilipinga kuyumba kwa uongozi wa Azimio, ikitoa mfano wa ukiukaji wa katiba. Mzozo huo unazua wasiwasi kuhusu umoja huku mirengo hasimu ikihoji uhalali wa Kalonzo
Viongozi wa Umoja wa Mataifa waonya dhidi ya ubaguzi wa rangi
Viongozi wakuu wa Umoja wa Mataifa wameonya kuwa ubaguzi wa rangi unaendelea kuwa tishio kubwa duniani, wakitoa wito wa hatua za haraka na za pamoja kukabiliana nao, huku wakisisitiza kuwa…
Je ilikuwaje jiji la New York likafungua milango kuwa mwenyeji wa UN?
Iliyozaliwa kutoka kwenye mabaki ya Vita vya Pili vya Dunia, ndoto ya dunia yenye amani zaidi na haki zaidi iliyakusanya mataifa pamoja mwaka 1945 chini ya maono mapya kwa ajili…
Kenya yajivunia hatua nzuri katika kuwaondolea wanawake changamoto ya maji
Jana Machi 22, Ulimwengu umeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Maji. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa katika nchi 53 na Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoratibu masuala ya maji na usafi,…
‘Tamu chungu’ ya mitandao ya kijamii kwa vijana
Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Furaha ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 20 Machi, wakazi wa kata ya Luchelele, jijini Mwanza, kaskazini-magharibi mwa Tanzania, wameeleza maana ya furaha katika maisha…
Mwenendo wa tabianchi duniani wazidi kukosa uwiano – WMO
Tabianchi ya dunia inazidi kukosa uwiano kuliko wakati wowote ule katika historia iliyowahi kurekodiwa, huku viwango vya gesi chafuzi vikichochea kuendelea kwa ongezeko la joto katika anga la juu na…
Wiki ya nne ya vita Mashariki ya Kati UN yaonya kuhusu janga zaidi la kibinadamu na kiuchumi duniani
Mzozo wa Mashariki ya Kati ukiingia wikiya nne tangu ulipoanza Februari 28, Umoja wa Mataifa leo umeonya juu ya athari mbaya za kibinadamu na uchumi wa kimataifa zinaongezeka wakati mzozo…
Tanzania yatumia Sh23 bilioni kuagiza maziwa nje ya nchi
Wakati Tanzania ikijivunia kuwa na idadi kubwa ya mifugo, bado inalazimika kutumia zaidi ya...
Waislamu watoa wito kudumisha maadili
DAR ES SALAAM: WAUMINI wa dini ya Kiislamu wametakiwa kuendelea kuishi kwa kuzingatia maadili mema waliyojifunza katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa kudumisha matendo mema na kujiepusha na maovu katika…
EU donates 443,989 Euros to enable health workers to control border-crossing diseases
DAR ES SALAAM: THE European Union (EU) has provided 443,989 Euros to four institutions in the country for a project to train doctors and health workers on how to control…
‘Tumieni taarifa sahihi za hali ya hewa’
KATIKA kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi zinazoendelea kuathiri maisha na uchumi, wananchi wametakiwa kuzingatia na kutumia taarifa sahihi za hali ya hewa ili kujikinga na majanga na kufanya…
Polisi Morogoro yachunguza vifo viwili ikiwemo mtoto aliyejinyonga
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linachunguza matukio mawili ya vifo yaliyotokea kwa nyakati...
SDA Yamtimua Mshukiwa katika shambulio la asidi la mwimbaji Mary Clare
Kundi la Lighthouse Nairobi limemtimua mpenzi wa zamani wa Mary Clare kutokana na uchunguzi wa kumwagiwa asidi huku akipigania maisha yake katika hospitali ya KNH.
Police clear IPTL chairman Sethi of criminal records
THE Police Force has officially confirmed that Harbinder Singh Sethi, Chairman of Independent Power Tanzania Limited (IPTL), has no recorded criminal convictions in the country. The Forensic Bureau issued a…
Mchengerwa named the chief guest as Dodoma braces for the Charity Marathon
DODOMA: THE Health Minister, Mohamed Mchengerwa, is expected to flag off a 21km charity half-marathon organized by the Tanzania Nursing and Midwifery Council (TNMC), scheduled to take place on April…
Vodacom, wadau wakabidhi vyoo shule za Simiyu, Mara
Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na wadau wake, wakiwemo Benki ya...
Zanzibar pledges trust in the TTCL network for communication services in the Isles
ZANZIBAR: THE Revolutionary Government of Zanzibar has pledged to continue collaborating with the Tanzania Telecommunications Corporation (TTCL) to strengthen communication services in Zanzibar through the various services provided by the…
Raphael Tuju: Waziri wa Zamani Apatikana Saa Kadhaa Baada Ya Kutekwa Nyara
Aliyekuwa waziri Raphael Tuju aibuka tena baada ya kutoweka, akifichua kiwewe na kuhofia maisha yake kufuatia gari linaloshukiwa kuwa likimkabili.
Nairobi: Mrembo Akwama Baada ya Jamaa Kuagiza Chakula na Vinywaji na Kumwachia Bili ya KSh 77k
Mwanamke wa Nairobi alisalia na bili ya hoteli ya KSh 77,300 baada ya tarehe yake kutoweka. Alijitolea kulipia agizo lake mwenyewe, lakini mkahawa uliita polisi.
Stanbic yashinda tuzo benki bora kwa wateja maalumu
Benki ya Stanbic imeibuka kinara kwa kushinda tuzo tatu za kimataifa za Benki Bora ya Kimataifa...
Hospitali ya Uingereza Yamfukuza Muuguzi Mwafrika Baada ya Kugundua Hakujua Matumbo Yalipo
Hospitali ya Uingereza ilimfuta kazi muuguzi Mwafrika baada ya kushindwa kujibu swali la msingi ni wapi utumbo ulipo, na kusababisha uchunguzi uliobaini uzoefu feki
Msemaji wa Kamandi Kuu ya Jeshi: Vita na Iran si filamu ya Hollywood
Msemaji wa Kamandi Kuu ya Jeshi Iran ya Khatamul Anbiyaa (SAW) amesema kuiambia Marekani na Israel kwamba: Munafanya makossa kufananisha vita vyenu na taifa lenye ghera na jeshi imara la…
Mufti Mkuu wa Libya awataka Waislamu kuinga mkono Iran
Mufti Mkuu wa Libya ametoa taarifa kuhusu mashambulizi na uchokozi wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran akisisitiza kuwa: Ni wajibu kuwahami Waislamu pale vita vinapotokea…
Hofu ya silaha hatari kutengenezwa kwa kutumia AI na kampuni inayoajiri wataalamu wa silaha
Kampuni ya ujasusi ya akili mnemba, Anthropic yenye makao yake Marekani inatafuta kuajiri mtaalamu wa silaha za kemikali na vilipuzi vyenye nguvu nyingi.
Waziri Mkuu wa Uhispania ataka kulindwa vyanzo vya nishati katika Mashariki ya Kati
Waziri Mkuu wa Uhispania ametahadharisha kuhusu mgogoro wa nishati wa muda mrefu kwa wanadamu wote kutokana na vita vya uchokozi vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya…
Qalibaf azitahadharisha taasisi za fedha zinazodhamini bajeti ya kijeshi ya Marekani
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amezitahadharisha taasisi za fedha zinazodhamini bajeti ya kijeshi ya Marekani.
Sauti na nara za kupinga vita dhidi ya Iran zasikika kuanzia Uhispania hadi Canada
Wananchi wa Uhispania wameandamana kulaani vita vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran. Maelfu ya wananchi wa Uhispania wamemiminika katika mji mkuu wa nchi hiyo, Madrid,…
Makonda ataka historia Dar City
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameikabidhi bendera timu ya mpira wa kikapu ya Dar City na kuitaka kwenda kufanya vizuri katika michuano ya…
Maafisa wa DCI wakamata wanaume wawili na simu 213 za wizi huko TransNzoia
Maafisa wa upelelezi huko Trans Nzoia waliwakamata washukiwa wawili kuhusiana na kushughulikia simu za rununu zilizoibwa, kupata vifaa 213 na mashine ya kupanga upya
From construction to community: The making of Tanga’s new university hub
TANGA: ON a stretch of land in Gombero Village, Mkinga District, the future of higher education in Tanga Region is steadily rising from the ground, lecture halls, administrative blocks and…
JKCI yazindua kampeni magonjwa yasiyoambukiza
DAR ES SALAAM: TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imeanzisha kampeni maalumu ya “Jua Namba Zako” katika kliniki ya Kariakoo, ikiwa na lengo la kuwahamasisha wananchi kupima na kutambua…
NCBA yawekeza kwa vijana, yawapa matumaini mapya kupitia mchezo wa gofu
Kuna nyakati ambazo hubadilisha kabisa mwelekeo wa maisha ya kijana na mara nyingi huanza pale...
Soko Ilala Boma kuboreshwa, wafanyabiashara wajipanga mapema
Wakati Serikali ikianza michakato ya uboreshaji wa Soko la Nguo na Vyakula Ilala Boma jijini...
Mkinga farmers embrace a new tide of opportunity
MKINGA: FOR years, seaweed farmers along the shores of Mkinga relied on the sun, the tides and patience, often watching part of their harvest spoil before it could reach the…