Skip to content
  • Sun. Jul 12th, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

‘Timiza majukumu yako la sivyo utalipa gharama’: Spika Qalibaf aionya Marekani Mfungwa wa Kipalestina aelezea unyanyasaji wa wanawake katika magereza ya Israel Lake Zone sees epic Rock City Festival, a big boost for its arts, sports, tourism GGML Kili Challenge targets 2.6bn/-funding for fight against HIV/AIDS Caravans T20 Cup raises standard for Tanzania cricket
HABARI ZA KIPEKEE

‘Timiza majukumu yako la sivyo utalipa gharama’: Spika Qalibaf aionya Marekani

July 12, 2026 mjombazecoder
HABARI ZA KIPEKEE

Mfungwa wa Kipalestina aelezea unyanyasaji wa wanawake katika magereza ya Israel

July 12, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

Lake Zone sees epic Rock City Festival, a big boost for its arts, sports, tourism

July 12, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

GGML Kili Challenge targets 2.6bn/-funding for fight against HIV/AIDS

July 12, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

Caravans T20 Cup raises standard for Tanzania cricket

July 12, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
‘Timiza majukumu yako la sivyo utalipa gharama’: Spika Qalibaf aionya Marekani
HABARI ZA KIPEKEE
‘Timiza majukumu yako la sivyo utalipa gharama’: Spika Qalibaf aionya Marekani
Mfungwa wa Kipalestina aelezea unyanyasaji wa wanawake katika magereza ya Israel
HABARI ZA KIPEKEE
Mfungwa wa Kipalestina aelezea unyanyasaji wa wanawake katika magereza ya Israel
Lake Zone sees epic Rock City Festival, a big boost for its arts, sports, tourism
LTV ENGLISH NEWS
Lake Zone sees epic Rock City Festival, a big boost for its arts, sports, tourism
GGML Kili Challenge targets 2.6bn/-funding for fight against HIV/AIDS
LTV ENGLISH NEWS
GGML Kili Challenge targets 2.6bn/-funding for fight against HIV/AIDS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
LTV ENGLISH NEWS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
HABARILEO
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva kufanyika Mlimani City
MWANANCHI
Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva kufanyika Mlimani City
‘Timiza majukumu yako la sivyo utalipa gharama’: Spika Qalibaf aionya Marekani
HABARI ZA KIPEKEE
‘Timiza majukumu yako la sivyo utalipa gharama’: Spika Qalibaf aionya Marekani
Mfungwa wa Kipalestina aelezea unyanyasaji wa wanawake katika magereza ya Israel
HABARI ZA KIPEKEE
Mfungwa wa Kipalestina aelezea unyanyasaji wa wanawake katika magereza ya Israel
Lake Zone sees epic Rock City Festival, a big boost for its arts, sports, tourism
LTV ENGLISH NEWS
Lake Zone sees epic Rock City Festival, a big boost for its arts, sports, tourism
GGML Kili Challenge targets 2.6bn/-funding for fight against HIV/AIDS
LTV ENGLISH NEWS
GGML Kili Challenge targets 2.6bn/-funding for fight against HIV/AIDS

Huku kimewaka, njooni muamue #AzamTWO

January 30, 2026 mjombazecoder

Huku kimewaka, njooni muamue #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)

Ukute ndio mzungu wa Bibie 🙌😅

January 30, 2026 mjombazecoder

Ukute ndio mzungu wa Bibie 🙌😅 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2 (Feed generated with FetchRSS)

MWANANCHI

Wazazi wahimizwa kuzungumza na watoto kuhusu afya ya uzazi

January 30, 2026 mjombazecoder

Mila potofu, ukosefu wa mawasiliano kati ya wazazi na watoto, pamoja na mitandao ya kijamii...

TRT SWAHILI

Serikali za Afrika zinaangazia mifumo ya fedha ya Kiislam baada ya mafanikio ya sukuk nchini Benin

January 30, 2026 mjombazecoder

Hatifungani za Sukuk za 2026 kufikia sasa ni zaidi ya dola milioni 580, kiwango kikubwa kikiwa ni cha nchini Benin cha dola milioni 500, kulingana na wataalamu.

TUKO SWAHILI NEWS

Rigathi Gachagua akutana na IG Douglas Kanja, aapa kuandaa mkutano wa Othaya uliotibuka: “Tunarudi”

January 30, 2026 mjombazecoder

Rigathi Gachagua ameapa kurudi Othaya baada ya machafuko katika Kanisa la Witima ACK, akiwashutumu polisi kwa kushirikiana, kutishia demokrasia ya Kenya.

MWANANCHI

Wawili sekondari za kata waula ufadhili Samia Scholarship kujinoa na AI

January 30, 2026 mjombazecoder

Wanafunzi wawili waliohitimu kidato cha sita kwenye sekondari za kata ni miongoni mwa wanafunzi...

MWANANCHI

DC Itunda atoa mwelekeo miradi ya maendeleo Halmashauri ya Jiji Mbeya

January 30, 2026 mjombazecoder

Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya wametakiwa kusimamia kwa karibu miradi yote...

ASTV TANZANIA ITVBONGO

TAARIFA YA HABARI SAA MBILI JANUARI 30, 2026 – BOT YAKANUSHA KUUZA DHAHABU KUFADHILI MIRADI

January 30, 2026 mjombazecoder

TAARIFA YA HABARI SAA MBILI JANUARI 30, 2026 - BOT YAKANUSHA KUUZA DHAHABU KUFADHILI MIRADI

ASTV TANZANIA ITVBONGO

#KIPIMAJOTO:UTEKELEZAJI BIMA YA AFYA KWA WOTE AWAMU YA KWANZA

January 30, 2026 mjombazecoder

#KIPIMAJOTO:UTEKELEZAJI BIMA YA AFYA KWA WOTE AWAMU YA KWANZA. JE, NINI VIGEZO NA MASHARTI KWA WALENGWA?

MWANANCHI

Mkakati wa kuboresha miundombinu ya Tanzania

January 30, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametangaza mpango kabambe wa kuboresha miundombinu ya...

MWANASPOTI

Dakika 720 bila ushindi Mbeya City, Maxime, Baraza waenda kujipanga upya

January 30, 2026 mjombazecoder

MBEYA City imeendeleza ukame wa ushindi katika Ligi Kuu Bara baada ya kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Pamba Jiji na kuendelea kuwa miongoni mwa timu tatu za mkiani…

MWANANCHI

Serikali yaagiza tathmini ya nyumba zilizojengwa eneo la mwekezaji

January 30, 2026 mjombazecoder

Serikali imeagiza kufanyika kwa tathmini ya nyumba zilizojengwa katika eneo la mwekezaji...

MWANANCHI

Amcos zisizozalisha kilo 10,000 za pamba kufutwa

January 30, 2026 mjombazecoder

Vyama vya msingi vya ushirika (Amcos) vitakavyoshindwa kuzalisha angalau kilo 10,000 za pamba...

ASTV TANZANIA ITVBONGO

#HABARI: Waziri wa Afya nchini Tanzania Mhe

January 30, 2026 mjombazecoder

#HABARI: Waziri wa Afya nchini Tanzania Mhe. Mohamed Mchengerwa Jumatatu Februari 02, 2026, anatarajiwa kuwa na ziara ya Kikazi kwenye Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Jijini Dar es Salaam…

ASTV TANZANIA ITVBONGO

#HABARI: Serikali ya Tanzania, kwa kushirikiana na Shirika la Ushirikiano la Kimataifa la Korea (KOICA), imezindua mpango kabamb…

January 30, 2026 mjombazecoder

#HABARI: Serikali ya Tanzania, kwa kushirikiana na Shirika la Ushirikiano la Kimataifa la Korea (KOICA), imezindua mpango kabambe wa barabara za kasi (Expressways) unaolenga kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha…

DW SWAHILI

Je, EU inaweza kumkabili Musk kwa AI yake ya “kuvua nguo”?

January 30, 2026 mjombazecoder

Umoja wa Ulaya unaichunguza AI ya Grok ya Elon Musk baada ya kipengele chake cha deepfake kuzalisha mamilioni ya picha za ngono za wanawake na watoto. Hatua hii ni mtihani…

LTV ENGLISH NEWS

RC orders Arusha City to rely on internal revenue to improve vendors’ markets

January 30, 2026 mjombazecoder

ARUSHA: THE Arusha Regional Commissioner, Amos Makalla, has directed the Arusha City Council to use its internally generated revenue to improve the Ulezi and Machame street vendors’ markets so they…

MWANANCHI

Othman: Jitihada za kuondoa mkwamo wa kisiasa Zanzibar zipo hatua muhimu

January 30, 2026 mjombazecoder

Mwenyekiti wa Taifa wa ACT Wazalendo, Othman Masoud amesema jitihada za kupata suluhisho la...

DW SWAHILI

Marekani yapanua kambi yake ya kijeshi nchini Kenya

January 30, 2026 mjombazecoder

Marekani imezindua ujenzi wa kupanua kambi yake ya kijeshi nchini Kenya katika eneo la pwani la Manda lililopo umbali wa kilomita 12 kutoka kusini mwakisiwa ch Lamu kwa ajili ya…

DW SWAHILI

Uturuki yaitaka Marekani kupuuza shinikizo la Israel

January 30, 2026 mjombazecoder

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Hakan Fidan ameitaka Marekani kupuuza shinikizo la Israel la hatua ya kijeshi dhidi ya Iran.

DW SWAHILI

Israel kufungua kwa muda kivuko cha Rafah siku ya Jumapili

January 30, 2026 mjombazecoder

Israel imetangaza kuwa itafungua tena kivuko muhimu cha Rafah kati ya Gaza na Misri siku ya Jumapili baada ya miezi kadhaa ya wito wa Umoja wa Mataifa, mashirika ya kibinadamu…

DW SWAHILI

Marekani yapanua kambi ya jeshi Kenya kuimarisha usalama

January 30, 2026 mjombazecoder

Marekani imezindua mradi wa upanuzi wa njia ya kurukia ndege wenye thamani ya dola milioni 70 katika kambi ya jeshi la anga ya Manda Bay iliyoko kaunti ya Lamu karibu…

DW SWAHILI

Niger yashtumu baadhi ya mataifa kwa kuwafadhili ”mamluki”

January 30, 2026 mjombazecoder

Kiongozi wa jeshi Niger, Jenerali Abdourahamane Tchiani, amewashutumu marais wa Ufaransa, wa Benin na Ivory Coast kwa kuunga mkono makundi yenye silaha yaliyoshambulia kambi ya jeshi la anga katika mji…

ASTV TANZANIA ITVBONGO

#HABARI: Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imetangaza kuwa itaendesha zoezi la upimaji wa viashiria vya saratani ya tezi dume b…

January 30, 2026 mjombazecoder

#HABARI: Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imetangaza kuwa itaendesha zoezi la upimaji wa viashiria vya saratani ya tezi dume bila malipo wakati wa tamasha la IST Festival litakalofanyika Februari 14,…

SERIKALI imetangaza mpango kabambe wa kuboresha miundombinu ya usafirishaji kwa njia ya barabara wenye lengo la kurahisisha usaf…

January 30, 2026 mjombazecoder

SERIKALI imetangaza mpango kabambe wa kuboresha miundombinu ya usafirishaji kwa njia ya barabara wenye lengo la kurahisisha usafiri, kuongeza ufanisi na kukuza Pato la Taifa. Akizungumza na waandishi wa habari…

DW SWAHILI

Iran itazungumza na Marekani kama haki, usawa vitazingatiwa

January 30, 2026 mjombazecoder

Waziri wa mambo ya Kigeni wa Iran Abbas Araqchi amesema nchi yake iko tayari kuanza tena mazungumzo ya nyuklia na Marekani kama majadiliano hayo yatajikita katika msingi wa haki na…

LTV ENGLISH NEWS

Why BoT sells gold

January 30, 2026 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: THE Bank of Tanzania (BoT) has confirmed plans to sell part of the country’s national gold reserves, dismissing claims that the move is intended to finance government…

ASTV TANZANIA ITVBONGO

#MICHEZO: Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe kuhusu nyota wa timu hiyo kutakiwa kuwafurahisha mashabiki na Wana-Afrika Mashari…

January 30, 2026 mjombazecoder

#MICHEZO: Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe kuhusu nyota wa timu hiyo kutakiwa kuwafurahisha mashabiki na Wana-Afrika Mashariki waliokuja na wanaofuatilia kuona Yanga ikiwawakilisha mechi dhidi ya Al Ahly…

ASTV TANZANIA ITVBONGO

#HABARI: Rais wa Baraza la Usimamizi wa Mkataba wa Lusaka na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe

January 30, 2026 mjombazecoder

#HABARI: Rais wa Baraza la Usimamizi wa Mkataba wa Lusaka na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, amewaagiza watendaji wa Sekretarieti ya mkataba huo (LATF) kuhakikisha idadi…

ASTV TANZANIA ITVBONGO

🔴HAPA NA PALE KUTOKA PWANI – JANUARI 30, 2026

January 30, 2026 mjombazecoder

🔴HAPA NA PALE KUTOKA PWANI - JANUARI 30, 2026

ASTV TANZANIA ITVBONGO

#HABARI: Umoja wa Madereva Bodaboda Jijini Mbeya umeiomba Serikali kuingilia kati mgogoro unaofukuta kati yao na Mwenyekiti wa u…

January 30, 2026 mjombazecoder

#HABARI: Umoja wa Madereva Bodaboda Jijini Mbeya umeiomba Serikali kuingilia kati mgogoro unaofukuta kati yao na Mwenyekiti wa umoja huo, Aliko Fwamba, anayetuhumiwa kushindwa kuitisha Mkutano Mkuu. Wanachama hao wameeleza…

MWANASPOTI

Usitingishe waya, wikiendi ya wakubwa!

January 30, 2026 mjombazecoder

Soma hapa

MWANANCHI

Iringa kupanda miti milioni 42

January 30, 2026 mjombazecoder

Mkoa wa Iringa umeimarisha usimamizi wa kampeni ya upandaji miti kwa kuweka mfumo madhubuti wa...

LTV ENGLISH NEWS

BoT says it won’t sell gold reserves to finance strategic projects

January 30, 2026 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: The Bank of Tanzania (BoT) has dismissed reports circulating on social media claiming that it plans to sell part of its gold reserves to finance strategic government…

TRT SWAHILI

Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika aeleza wasiwasi wake kuhusu kuongezeka kwa uhasama jimbo la Tigray

January 30, 2026 mjombazecoder

Mahmoud Ali Youssouf ametaka kuwepo kwa utulivu, na kuonya dhidi ya kukiuka makubaliano ya amani ya Pretoria ya 2022 huku kukiwa na wito wa kuepuka mapigano eneo la Tigray

DW SWAHILI

Je, Ujerumani inawarejeshaje wahamiaji waliokataliwa

January 30, 2026 mjombazecoder

Ujerumani haina maafisa wa ICE waliofunika nyuso wala wakala sawa na huo, lakini Kansela Friedrich Merz na mtangulizi wake wameharakisha kadiri walivyoweza michakato ya kuwafukuza wahamiaji. Hivi ndivyo wanavyofanya.

MWANASPOTI

Pedro awatangazia vita Ahly, wenyewe wajibu

January 30, 2026 mjombazecoder

Yanga itakuwa na mchezo mgumu kesho dhidi ya Al Ahly, huku kocha Pedro Goncalves akitangaza kwamba wapo tayari kucheza na mabingwa hao wa kihistoria wa Afrika.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda, @baba_keagan amesema Wizara imepatiwa kiasi cha TZS bilioni 2 itakay…

January 30, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda, @baba_keagan amesema Wizara imepatiwa kiasi cha TZS bilioni 2 itakayowawezesha watengenezaji wa maudhui mbalimbali mitandaoni kuimarisha kazi zao na kuwaongezea kipato…

MWANASPOTI

Ni raundi ya lala salama, kisasi Championship 2025/26

January 30, 2026 mjombazecoder

BAADA ya kupisha mapumziko ya wiki moja, raundi ya pili ya Ligi ya Championship inaendelea tena leo Jumamosi kwa mechi tatu kupigwa na nyingine kesho Jumapili, huku kila timu ikipambana…

LTV ENGLISH NEWS

Tanzania’s Expressway Master Plan is set to transform the transport system

January 30, 2026 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: TANZANIA has taken a decisive step towards transforming its road transport system and accelerating its journey to a high-income economy following the launch of the Tanzania Expressway…

ASTV TANZANIA ITVBONGO

#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali imefanikiwa kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu, w…

January 30, 2026 mjombazecoder

#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali imefanikiwa kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu, wanaoingia nchini baada ya Idara ya Uhamiaji kufunga jumla ya vipenyo 1,777…

MWANANCHI

Latra yafungia kampuni nne za mifumo ya tiketi mtandao

January 30, 2026 mjombazecoder

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imetangaza kusitisha huduma kwa kampuni nne za...

MWANASPOTI

Joto lawatingisha Al Ahly Amaan

January 30, 2026 mjombazecoder

Mapema tu leo Al Ahly imeonyesha kuanza kutishwa na hali ya joto kwenye Uwanja wa New Amaan Complex mjini Unguja ikisaka maji kwa haraka kabla ya kuanza kwa mazoezi.

MWANASPOTI

Ahly yathibitisha kumuacha nyumbani staa wake

January 30, 2026 mjombazecoder

Al Ahly imethibitisha kwamba kiungo wake Emam Ashour hayupo kwenye kikosi kitakachoivaa Yanga kesho kutokana na makosa ya kinidhamu.

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mtandaoni kuhusu benki hiyo kuwa na mpango wa kuuza hifadhi ya dhaha…

January 30, 2026 mjombazecoder

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mtandaoni kuhusu benki hiyo kuwa na mpango wa kuuza hifadhi ya dhahabu yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.3 kwa ajili…

MWANANCHI

BoT yaeleza mpango wa kuuza sehemu ya dhahabu iliyohifadhi

January 30, 2026 mjombazecoder

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeweka wazi mpango wake wa kuuza sehemu ya dhahabu iliyohifadhi...

ASTV TANZANIA ITVBONGO

#HABARI: Wananchi Mkoani Geita watakiwa kuchangamkia fursa ya umeme kwenye Vitongoji vyao ambapo Wakala ya Nishati Vijijini (REA…

January 30, 2026 mjombazecoder

#HABARI: Wananchi Mkoani Geita watakiwa kuchangamkia fursa ya umeme kwenye Vitongoji vyao ambapo Wakala ya Nishati Vijijini (REA) inatarajia kusambaza umeme kwenye vitongoji 528 vitakavyo fikia jumla ya kaya 17,014…

LTV ENGLISH NEWS

Tanzania injects 25bn/- to connect power to 218 hamlets in Njombe

January 30, 2026 mjombazecoder

NJOMBE: THE Rural Energy Agency (REA) has begun the implementation of providing electricity to 218 hamlets in Njombe Region, where the project worth 24.9bn/-. The move is part of the…

MWANANCHI

TCRA: Tuwaandae vijana kuchochea mfumo wa kidijiti

January 30, 2026 mjombazecoder

Ili kuongeza wataalamu wa usalama wa mtandao watakaolinda mustakabali wa mazingira ya...

MWANANCHI

RC Songwe apiga marufuku uchomaji mkaa

January 30, 2026 mjombazecoder

Makame amewahimiza wananchi kuachana na matumizi ya kuni na mkaa, na badala yake kutumia...

Posts pagination

1 … 531 532 533 … 1,056

Recent Posts

  • ‘Timiza majukumu yako la sivyo utalipa gharama’: Spika Qalibaf aionya Marekani
  • Mfungwa wa Kipalestina aelezea unyanyasaji wa wanawake katika magereza ya Israel
  • Lake Zone sees epic Rock City Festival, a big boost for its arts, sports, tourism
  • GGML Kili Challenge targets 2.6bn/-funding for fight against HIV/AIDS
  • Caravans T20 Cup raises standard for Tanzania cricket

Recent Comments

  1. nedvijimiimoti.blog on Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva kufanyika Mlimani City
  2. Phillippaica on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  3. EdithUrili on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  4. Nancyurike on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  5. ChaelLah on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit

Archives

  • July 2026
  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • June 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • May 2023
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

HABARI ZA KIPEKEE

‘Timiza majukumu yako la sivyo utalipa gharama’: Spika Qalibaf aionya Marekani

July 12, 2026 mjombazecoder
HABARI ZA KIPEKEE

Mfungwa wa Kipalestina aelezea unyanyasaji wa wanawake katika magereza ya Israel

July 12, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

Lake Zone sees epic Rock City Festival, a big boost for its arts, sports, tourism

July 12, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

GGML Kili Challenge targets 2.6bn/-funding for fight against HIV/AIDS

July 12, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS